Wakuu
Kuliko kuikataza mikutano ya hadhara kwa visingizio Mbali mbali ni bora kuifanyia spinning ili isilete madhara makubwa kwa wanaoiogopa!
CCM kama chama kikongwe bado kina vichwa vyenye uwezo wa kujenga hoja kwa kuanzisha mikutano ya ku spin hoja za wapinzani. Vichwa kama wasira, Kinana...
1. Pitia picha zako zako za zamani kidogo, Picha za tukio moja wapo lililokufurahisha au za mtu mwingine yeyote wa karibu yako!
2. Fungua madirisha na kuruhusu mwanga na hewa kupita kwa kiasi kikubwa. Epuka kukaa sehemu yenye mwanga mdogo kwani hufanya hali yako ya uchovu au stress kuwa juu...
Habari zenu wana JF wenzangu,
Wakati wabongo wakiwa busy kulaumiana kuhusu Panya Road, tozo, kuendekeza siasa uchwara na kuangalia video za porn ili baadae wakajichue.
Kwa upande wa Burundi maelfu kwa maelfu wanazidi kujilipua katika nchi mbali mbali za Ulaya kupitia Serbia.
Kinachotakiwa ni...
Kila mmoja anaona mwenendo mbovu w serikali na Bunge letu. Mijadala haieleweki. Serikali haina msimamizi kabisa
Kwa ninavyoona upinzani msilambe asali mkatusaliti 2025 naomba mtupe nafasi tuende bungeni.
Najua mmepigwa stop mikutano ya hadhara lakini tunawasubiri Kwa hamu 2025 mkiliamsha...
Serikali sikivu ya Rais Samia Suluhu baada ya kufanyia kazi maoni ya wananchi kuusu tozo sasa imekuja na njia zitakazofidia tozo njia moja wapo ni kupunguza matumizi ya serikali yasiokua na ulazima ambayo ni:
-Semina zimepunguzwa ili kubana matumizi
-Misafara, (magari) machache kubakizwa...
Hicho ndicho kilichotokea hicho kinachoitwa Bunge! Serikali ilikuwa inawaibia wananchi, wanasimamisha wizi huo wanasema tumekusamehe. By principle, wamesisitisha kukuibia and then wanasema tumekusamehe! Mmenisamewhe kuniibia? Maajabu ya CCM for 60 yrs!
Tozo zinatozwa kwenye service rendered...
Makamu wa Rais yuko Marekani kuhudhuria mkutano, Rais yuko Uingereza kwenye msiba.
Kuna mawaziri wako nje ya nchi kwa ziara mbalimbali. Mambo haya ni tofauti na awamu iliyopita.
Natamani kufahamu umuhimu wa hizi safari hasa hii ya makamu wa rais. Ikiwa baadhi ya marais wako msibani kuhudhuria...
Mkutano wa kilele wa kutafuta fedha za kukabiliana na mabadiliko ya tambianchi barani Afrika umefanyika hivi karibuni mjini Rotterdam, Uholanzi, na kuhudhuriwa na viongozi wa nchi sita za Afrika, lakini kwa upande wa nchi za Magharibi, ni waziri mkuu wa Uholanzi pekee ndio amehudhuria mkutano...
Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Godfrey Kasekenya amesema TANROADS imetangaza zabuni ya ujenzi wa barabara ya njia 4 kutoka Kibaha hadi Morogoro ambayo itajengwa kwa utaratibu wa Engineering, Procurement, Construct and Finance (EPC + F).
Kasekenya alisema gharama za ujenzi wake zitatolewa...
Natumain wazima?
Kama kichwa cha habari kilivyo. Maisha yanahitaji akili ichangamke na kujituma hakuna janja janja,Kwa mlioajiriwa muda mwingi ofisi zinawahitaji muhudimie na Kwa muda sahihi ulioangwa.Mnawezaje na mnatumia mbinu gani kuweza kubalance mambo na mkakua kiuchumi na kazi zikaenda...
Mkutano wa kilele wa kutafuta fedha za kukabiliana na mabadiliko ya tambianchi barani Afrika umefanyika hivi karibuni mjini Rotterdam, Uholanzi, na kuhudhuriwa na viongozi wa nchi sita za Afrika, lakini kwa upande wa nchi za Magharibi, ni waziri mkuu wa Uholanzi pekee ndio amehudhuria mkutano...
Kuna njia mbalimbali za kuhifadhi vyakula ili visiharibike mapema vitufae kwa misimu mingine ambayo vyakula vinakuwa adimu sokoni na bei kuwa ghali au kutopatikana na pia kuokoa matumizi makubwa ya fedha na muda.
Mimi nitazungumzia njia za asili ambayo hazihitaji gharama na hata mtu wa chini...
Jamani za leo?
Mimi kwangu nipo sawa tunashukuru Mungu.
Sasa wanaume mnanishangaza sana walahi tuanze hawa wanaume namba 1 .
1. Wanaume msiojielewa.
Hivi inakuwaje unampa mtu mimba anakuzalia mtoto halafu matunzo unasua sua halafu unaenda kuoa halafu unazaa na mkeo unaenda kuzaa na mchepuko...
“Kweli natafuta na napata… lakini fedha hazitoshi kabisa…”. Hizo ni kawaida kuzisikia kauli hizi katika maisha ya kila siku ya watanzania wengi hususan huku uswahilini kwetu ambapo wengi tunafanya kazi za kipato cha chini.
Ingawa kuweka akiba ni mtihani mkubwa kwa watanzania wengi, lakini ni...
Ni ukweli usiopingika kwamba tatizo la mfumko wa bei limekua ni sugu kiasi kwamba linakoelekea litawashinda viongozi.
Pengine kuna njia ambazo zimefichika ambazo wakizigusa zinaweza kusaidia kupunguza mfumko.
Najua humu ndani kuna wachumi,
wanasiasa na wazoefu wanaweza kutaja njia...
CHANGAMOTO NA NJIA ZA KUPATA ELIMU BORA VIJIJINI
Ikisiri.
Lengo la makala haya ni kudhihirisha kwa uwazi changamoto mbalimbali ambazo hukabiliana nazo wanafunzi hususani wa maeneo ya vijijini katika kupata elimu iliyo bora. Wapo waandishi wengi tofautitofauti ambao wametoa machapisho mbalimbali...
Chanzo picha:TechCrunch
Habari yako, mimi ni Hadija Mlacha, Karibu katika makala haya yanayoangazia umuhimu wa sayansi na teknolojia katika afya ya binadamu, yapo mengi ya kujifunza.
Maendeleo ya sayansi na teknolojia yamekuwa na mchango mkubwa kwa binadamu katika nyanja zote, hapa namaanisha...
Umoja wa waendesha huduma za simu za mikononi (TAMNOA) umebainisha kuwa kutokana na tozo za miamala ya simu zilizoanza mwaka 2021 mwezi Julai, na kwa kuangalia mlolongo wa matukio tangu kuanzishwa kwa tozo hizi, pamoja na kupungua kwa matumizi ya huduma za kifedha, hali ya mwaka huu wa fedha ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.