nje

Nje (Њ њ; italics: Њ њ) is a letter of the Cyrillic script.
It is a ligature of the Cyrillic letters En ⟨н⟩ and Soft Sign ⟨ь⟩. It was invented by Vuk Stefanović Karadžić for use in his 1818 dictionary, replacing the earlier digraph ⟨нь⟩. It corresponds to the digraph ⟨nj⟩ in Gaj's Latin alphabet for Serbo-Croatian.It is today used in Macedonian, variants of Serbo-Croatian when written in Cyrillic (Bosnian, Montenegrin, and Serbian), Itelmen and Udege, where it represents a palatal nasal /ɲ/, similar to the ⟨ny⟩ in "canyon" (cf. Polish ⟨ń⟩, Czech and Slovak ⟨ň⟩, Galician and Spanish ⟨ñ⟩, Occitan, Portuguese and Vietnamese ⟨nh⟩, Catalan and Hungarian ⟨ny⟩, and Italian and French ⟨gn⟩).

View More On Wikipedia.org
  1. H

    JamiiForums Tanzania Kwa Uadilifu wa Warioba, Ikitamkwa Kuna Tume ya Kuchunguza Mauaji ya 29 OCt Itakayoongozwa na Warioba, Kelele za kutaka Tume ya Nje zitapungua Sana

    Siku zote, historia ya mtu, na anavyotenda siku zote, ndiyo hujenga mazingira ya mtu huyo kuaminika au kudharaulika. Ni jambo lililo wazi kuwa watu wengi, hasa waliopo Serikalini, hawaaminiki kutokana na kuonekana kuwa wapo kwaajili ya tamaa ya matumbo yao, hata siku moja hawapendi kuwa wakweli...
  2. JamiiForums Tanzania Kumbe kwenye biblia kuna mtu alimwaga nje na hamsemi

    Mwanzo 38:9 Lakini Onani alijua kwamba hao watoto wasingekuwa wake. Kwa hiyo, alipolala na mke wa nduguye, alimwaga chini mbegu ya uzazi, asije akampatia nduguye watoto.
  3. JamiiForums Tanzania Wasanii wa hip hop ninao wakubali, nje ya mipaka ya Tanzania

    1. Sarkodie from Ghana. 2. Nyashisnki from kenya. 3. Khaligraph jones from Kenya. Hapo ni wa kwanza mpaka wa mwisho. Nimesikiliza marapper wengi, ila ni hao tu ninao wakubali. Hakuna mwingine
  4. JamiiForums Tanzania Waziri Mchengerwa: Wizara ya Afya imefikia 72% ya Makusanyo, Fedha za Nje zaendelea kuimarisha Huduma Za Afya

    Wizara ya Afya pamoja na taasisi zake imeendelea kuimarisha utoaji wa huduma za afya nchini kupitia ukusanyaji wa mapato na matumizi ya fedha katika utekelezaji wa miradi na huduma mbalimbali za afya kwa wananchi. Hayo yamesemwa na Waziri wa Afya, Mohamed Mchengerwa leo Mei 11, 2026, wakati...
  5. JamiiForums Tanzania KMC FC yadhulumiwa Penati: Sasa mechi zote tunataka refa toka nje ya nchi

    Katika mchezo wa KMC dhidi ya Yanga, Shedrack Boka alifanya faulu ya wazi na ni penalty lakini kwakuwa refa kwa sababu alizo nazo pekee na woga kwa mashbiki wa Yanga akaamua kufunika na kusababisha KMC kukosa pointi moja na imewaadhiri sana. Kuanzia msimu ujao tunaomba Mechi zote tutumie marefa...
  6. JamiiForums Tanzania Niweke Mlango wa Nje? Inanitatiza sana

    1. Mlango wa mbele ni mkubwa 2. Sipendi kuweka mlango wa mbao halafu kwa nje niweke grill naona kama ni uchafu, halafu unauondolea thamani mlango wa mbao, ambao ni lazima uwe mkali 3. Sometimes nafikiria milango ya chuma, ile steel security door. Ina show nzuri sana, Lakini vipi kutu na...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Jaji Chande: Upo ushahidi waliopigwa risasi nje ya ghasia sebuleni, yapo majina yametajwa waratibu na waliopeleka fedha

    Mwenyekiti wa Tume ya Kuchunguza Matukio Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025, Mhe. Jaji Mkuu Mstaafu Mohamed Chande Othman, akizungumza na waandishi wa habari tarehe 28 Aprili 2026
  8. JamiiForums Tanzania Waziri wa mambo ya nchi za nje wa Iran Abbas Araghchi akutana na Putin.

    Leo, Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Abbas Araghchi alikutana na Rais wa Urusi Vladimir Putin huko St. Petersburg kujadili kuongeza uratibu kati ya nchi hizo mbili, kwani mataifa yote mawili sasa yamepeana ndege zisizo na rubani, hasa ndege zisizo na rubani za Shahed-pattern, na ujasusi katika...
  9. JamiiForums Tanzania Wizara ya Nje: Hakuna Mtanzania aliyeshambuliwa Afrika Kusini katika ghasia dhidi ya Wageni

    HAKUNA RAIA WA TANZANIA ALIYESHAMBULIWA NCHINI AFRIKA KUSINI Wizara inapenda kuufahamisha umma wa Watanzania kuwa hakuna raia wa Tanzania anayeishi Afrika Kusini aliyeshambuliwa kutokana na ghasia dhidi ya wageni nchini humo (xenophobia). Aidha, Wizara inauhakikishia umma wa Watanzania kuwa...
  10. H

    JamiiForums Tanzania Jaji chande: Sababu za waliotekwa ni za nje ya siasa

    Mwenyekiti wa tume ya kushughulikia maandamano ya October 29 Jaji Chande amesema kupitia report yake hiyo kuwa wote waliohusishwa na kutekwa chanzo chake ni kwasababu ya mapenzi, madeni, ugomvi binafsi, uchawi ambazo ni nje na mambo ya kisiasa.
  11. JamiiForums Tanzania Kuna bank Amana mkombozi na maendeleo

    Hizi ni bank za taasisi za dini . Azania ni bank ya waislamu .. Maendeleo ni bank ya kkkt.(kanisa la kiinjili la kilutheri tanzania) Na mkombozi ni bank ya Rc (roman katholic) Sasa hizi bank 2 yaani mkombozi na maendeleo ukoenda kukopa unakopeshwa bila kujali dinije!kwa nini hii ya azania y...
  12. JamiiForums Tanzania Uchagani bhana! Unakuta bonge la mjengo hakuna mtu anaeishi hapo. Ukicheki nje, kuna makaburi 9 au 10

    Utafikiri ni burial center.
  13. JamiiForums Tanzania TANROADS: Barabara ya Mzunguko wa Nje ya Dodoma (Outer Ring Road) haijakamilika rasmi, inatumika kwa dharura

    Barabara ya Mzunguko wa Nje ya Dodoma (Outer Ring Road) inayozungumziwa bado haijakamilika rasmi, na matumizi yake kwa sasa yameruhusiwa kwa dharura kufuatia changamoto iliyojitokeza katikati ya Jiji la Dodoma , hususan kufungwa baadhi ya njia kutokana na matengenezo ya miundombinu ya maji ya...
  14. H

    JamiiForums Tanzania Waziri Kombo akutana na Waziri Mambo ya Nje wa Seychelles

    Waziri Kombo akutana na Waziri Mambo ya Nje wa Seychelles Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo(Mb), amekutana na kuzungumza na Waziri wa Mambo ya Nje na Diaspora wa Jamhuri ya Seychelles Mhe. Barry Faure pembezoni mwa Mkutano wa Tisa Bahari...
  15. JamiiForums Tanzania CAG: Viwanja vya Tsh. Bilioni 4.09 Manispaa ya Kibaha viliuzwa nje ya Mfumo, Tsh. Milioni 481 ililipwa kwa Watu binafsi wasio watumishi

    Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), CPA Charles Kichere ameeleza hayo Machi 30, 2026 wakati akisoma Ripoti ya ofisi yake ya Mwaka 2024/2025 kuhusu uuzwaji wa viwanja katika eneo la Pangani lililopo Halmashauri ya Manispaa ya Kibaha. CPA Charles Kichere amesema Viwanja 168...
  16. JamiiForums Tanzania Picha: Kuku mwenye manyoya yaliyojigeuza nje ndani. Je, wanakazi Gani hasa huko ulimwenguni?

    Nimekuwa nao lakini ajabu kila mtu akiwaona anashangaa na wengi wananituhumu labda ninao kwa ajiri ya kazi flani za kishirikina ikizingatiwa na kwamba wakihitaji niwauzie siuzi maana mie ni kwa ajiri ya mapambo na kula tu nje na kuku wengine. Kwani Hawa kuku nilichongundua wanauzito sana. Pia...
  17. JamiiForums Tanzania Elibariki Kingu: Tunashindwa nini kujenga Maghala ya Mafuta ili tuwe na akiba kubwa tuuze hata nje ya nchi?

  18. JamiiForums Tanzania Huu ndiyo mwezi wetu unavyoonekana kwa nje!!!!

    Toa maoni yako!!!!!!!!! https://x.com/elonmusk/status/2041328344499888579
  19. JamiiForums Tanzania Kila unayemuana Duniani na hali zote unazozipitia ni mtokezo wa mawazo yako kwa nje

    Hakuna hali unayoipitia inayotoka nje yako ila ni taswira zako wewe mwenyewe unazozitoa nje yako .Hali ya kutolielewa kwa mapana yake na uhakika wake thabiti ni gereza kubwa la maisha yetu tulio wengi kwa sababu tumezoezwa sana na mazingira ya nje kiasi cha kuamini tunayoyaona ndiyo halisi na...
  20. JamiiForums Tanzania SI KWELI Jenerali wa IRGC Mohammad Zolghadr aliyeshika nafasi ya larjan aangamizwa

    .Jenerali wa IRGC Mohammad Zolghadr, aliyechukua nafasi ya Larijani, kuna uwezekano mkubwa aliangamizwa jana usiku baada ya maficho yake kusambaratishwa!!
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…