Habari ndugu zangu
Nakumbuka ilikuwa 2019 wakati natafuta mwanamke wakuingia nae kwenye mahusiano ya mapenzi, nilikutana na manzi mmoja kwenye daladala nikamuomba number ya simu akanipa nikawa nachart naye sana baada ya kupita kama wiki mbili nikaomba meet demu akakubali ila akaniomba nimpe...