Watoto 13 wafariki kwa njaa Ethiopia

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Aug 2, 2021
1,023
1,609
Afisa wa Wilaya ya Konso, Kusini mwa Nchi hiyo amethibitisha vifo vya takriban Watoto 13 kutokana na njaa huku ukame na migogoro ikiendelea kuathiri eneo hilo

Afisa huyo amesema kuwa idadi ya Watoto wenye utapiamlo katika Wilaya hiyo inaongezeka, ambapo zaidi ya 240 kati yao wamelazwa hospitalini

Kusini mwa Ethiopia ni mojawapo ya maeneo yaliyoathiriwa pakubwa na ukame ambao umesababisha takriban wakazi Milioni 18 kukosa chakula cha kutosha.

......................................................................

At least 13 children in southern Ethiopia have died due to hunger as drought and conflicts continue to affect the area, local authorities have said.

A local official from Konso district confirmed the deaths.

He told the BBC that crop failure continued to push many away from their homes and farms.

The official said the number of malnourished children in the district was growing, with more than 240 of them admitted to hospitals.

The government’s relief agency told the BBC that aid was being provided to those affected.

The Horn of Africa region is facing the worst drought in decades with aid agencies saying that seven million children under the age of five are facing acute malnutrition.

Southern Ethiopia is one the areas severely affected by the drought that has left at least 18 million people across the region without enough food.

SOURCE: BBC
 
Inasikitisha sana😔😔😔,moja kati ya nchi yenye historia kubwa barani ila inakumbana na tatizo lile la bara hili,VIONGOZI WA OVYO WASIO NA UTASHI NA WENYE UTASHI HAWANA UTU NA UZALENDO. Nchi ina ukame wa mara kwa mara hakuna jitihada za kutosha kutatua hilo wakati nchi za jangwani kama Middle East huwasikii wakilia njaa. Something has to be done kwa viongozi wa ovyo namna hii haya matatizo yaishe.
 
Back
Top Bottom