nissan

  1. R

    JamiiForums Tanzania Spare za Nissan Serena

    Nitapata wapi spare used za Nissan Serena au written off gari aina hiyo ambayo mtu anauza spares
  2. zyuho

    JamiiForums Tanzania Nissan Xtrail diesel, manual transmition

    Ndugu waheshimiwa habari za majukumu kama sio shughuli za kila siku, Kama title hapo juu nimevutiwa sana na specification za extrail manual, maana nataka ku shift kutoka auto nipate gari yenye pulling na economy engene. Najua kuna watao sema nissan sio gari mara ugonjwa wa moyo ila kiufupi...
  3. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Nissan Juke 2nd Generation: Upgrade ya Kibabe

    Mwaka 2010, Nissan walitengeneza Nissan Juke 1st generation iliokuwa designed na Kenji Kawasaki na mwenzie, wakaja na hii design: Ni gari nzuri, nje na ndani, comfortability, efficiency na practicability. Sasa kuanzia 2019 kuna madesigner watatu wakaambiwa waunde 2nd generation ya hii Nissan...
  4. Sudi jr

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Nissan dualis inahitaji milioni 15 namba E

    Habari ndugu zangu, Nissan Dualis ipo sokoni inaenda kwa Tsh mil 15 Mwaka 2009 CC 1990 Km 90k Haina kipengele Location Dar es Salaam-Tabata Simu ziite ndugu zangu 0752463715 0776363230 Biashara maelewano.
  5. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Nissan Patrol inauzwa Milioni 45 tu. Ipo Dar

    1. Hali ya Gari: Gari halina shida yoyote, ila halijatembea kwa muda. Ni Nissan Patrol 2. Gari lilipo: Gari lipo Goba Mkoani Dar es Salaam 3. Bei ya Gari: Ni Tsh milioni 45 5. Mawasiliano: Piga simu au tuma Meseji kwenda: 0713208669
  6. MUBENDE

    JamiiForums Tanzania Nissan Y60

    Moja ya gari nayoiamini ktk utendaji wangu wa kila siku Nissan Y60
  7. Teremaro

    JamiiForums Tanzania Mafundi wazuri wa Nissan Duals

    Habari ndugu wana jamii forum, Nimejikongoja kidogo nimenunua Nissan Duals naombeni ushauri kuhusu mafundi wazuri maana hii gari naipenda sana japo watu wanadai ina changamoto nyingi ila kwa upande wangu naikubali sana hii gari
  8. Collin Butondo

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Nissan Dualis for sale

    Maker: Nissan Model: Dualis Body Type: Station Wagon Color: Black Year of manufacture: 2007 Engine Capacity: 1990 Fuel Used: Petrol Imported from: Japan Asking price: 16m Previous Owners: 0 The price is Negotiable, Karibu tufanye biashara.
  9. and 998 others

    JamiiForums Tanzania 2021 Nissan Patrol 5.6 V8 LE Premium - Hospitali ya Wilaya inayotembea

    Wakuu hii kitu ya moto sana, gharama za kuinunua hii chuma ni sawa na hospitali ya Wilaya (pamoja na Assets zote) huko BUHIGWE. Hakika duniani wapo viumbe (akiwemo Mstaafu) wanafurahia maisha. NB: Tupeleke watoto CHIPUKIZI aisee. Haya mambo ya kukomaza Komwe ufaulu NECTA sijui SUA ndo uje...
  10. ZENITH

    JamiiForums Tanzania Nissan Dualis vs Nissan Qashqai

    Habarini wakuu. Bila kupoteza muda niende moja kwa moja kwenye mada. Kuna hizi gari ambazo tunazi consider kama ni gari za aina moja, kwamba zinafanana kwa kila kitu. Naongelea Qashqai vs Dualis. Kuna tofauti yoyote kati ya hizi gari mbili? Kuna jamaa aliwahi kuniambia kwamba Nissan Qashqai...
  11. N'yadikwa

    JamiiForums Tanzania Nissan fuga inauzwa very cheap. Low mileage

    NISSAN FUGA 🚘 ✔️PRICE 7 MIL ✔️YEAR 2004 ✔️CC 2490 ✔️COLOUR PEARLY WHITE ✔️LOW MILAGE ✔️FULL AC ✔️FULL DOCUMENT ✔️GARI MKWAJU SANA HAINA TATIZO LOLOTE ✔️LOCATION DSM, BUNJU CALL +255 734 766 126
  12. salehe magari mazuri

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Tunauza Magari aina mbalimbali

    Price/Bei 15.7mls Cont: Bmw 3 Series ECY Year 2008 Cc 1990 Low Km 99000 Full Options✅ Sports & New Tyres Clean Condition 0688591584 Navunja Na Gari yoyote°° Location Dar es salaam
  13. Amaizing Mimi

    JamiiForums Tanzania Ni upi ubora na changamoto za Nissan Teana?

    Kwa wazoefu wa hii gari naomba mitazamo yenu. Ina ubora gani na zipi ni changamoto zake. Gari ni ya mwaka 2003 lakini sijui ukubwa wa injini.
  14. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Nissan Pathfinder ipoje? SPEA?

    Wakuu Naja Kwa UNYENYEKEVU mkubwa kutaka kujua undani wa Nissan pathfinder nimeiona kwenye mnada nataka niichukue vipi spea bongo?
  15. Gotze Giyani

    JamiiForums Tanzania Kuendelea kuungua kwa magari aina ya Nissan Dualis nchini Tanzania

    Mtu mmoja Mwajuma Mohamed mwenye umri wa miaka 30 mkazi wa Veta Jijini Mbeya amenusurika kifo usiku wa kuamkia leo Julai 31 baada ya gari alilokuwa akiendesha aina ya Nissan Dualis kuteketea kwa moto katika eneo la Kabwe kata ya Iyela Jijini Mbeya Afisa habari wa Jeshi la Zimamoto na uokoaji...
  16. T

    JamiiForums Tanzania Ushauri kati ya Nissan X-trail Fourth Generation na Subari Foresta Fourth Generation

    Wakuu salama? Mfano mtu anataka ku experience the difference, ahame kutoka Toyota Rav 4/Harrier/Vanguard. Je kati ya hizi gari mbili ipi nzuri zaidi ama abakie tu kwa Toyota? Gari hizo ni Foresta Toleo la nne na X-trail toleo la nne. Ahsante sana
  17. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Nissan Navara ipoje? Spea, Reliability, consumption?

    Mwenye kuijua Nissan Navara Double Cabin. Naona budget yangu unacheza hapo tu. Bei imenibana Siwez Kununua Hilux Double Cab, wala Amarok achilia mbali Mnyama Ford Ranger/RAPTOR. Wajuzi njooni Extrovert Isanga family raraa reree
  18. Valencia_UPV

    JamiiForums Tanzania Nissan Patrol Y61 mwenye uzoefu nayo - Spea, Mafuta

    Wakuu ikiwa mtu ana uzoefu wa umiliki wa hii Nissan Patrol Y61 SUV naomba msaada wake kwenye mafuta na spea Tanzania. Wenu Mtiifu.
  19. salehe magari

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Nauza magari ya aina mbalimbali

    NISSAN DUALIS *CROSS RIDER Price :17.5mls (GARI NI MPYA 100%) Year 2010/2011 Engine Cc 1990 Full Ac Low mileage Rim sports 0688591584
  20. Mukulu wa Bakulu

    JamiiForums Tanzania Je, ni wazo zuri kubadili gari kutoka Toyota Vanguard 2011 kwenda Nissan Extrail Third Generation ya 2016?

    Wakuu naomba kufahamu wataalamu wa magari, je ni wazo jema mtu kutaka kuuza Vanguard ya mwaka 2011 na kutaka kununua Nissan Extrail ya mwaka 2016. Naomba uzoefu na ujuzi wenu wakuu. Gari zote hizi hapa chini.
Back
Top Bottom