Car4Sale Nissan Patrol inauzwa Milioni 45 tu. Ipo Dar

Pfizer

JF-Expert Member
Mar 25, 2021
305
519
1. Hali ya Gari: Gari halina shida yoyote, ila halijatembea kwa muda. Ni Nissan Patrol
2. Gari lilipo: Gari lipo Goba Mkoani Dar es Salaam
3. Bei ya Gari: Ni Tsh milioni 45
5. Mawasiliano: Piga simu au tuma Meseji kwenda: 0713208669
IMG-20240403-WA0009.jpg
IMG-20240403-WA0011.jpg
IMG-20240403-WA0012.jpg
IMG-20240403-WA0010.jpg
 
Hivi huo mgari costly in every aspect - mafuta, service, spare, worse enough hayanaga mwendo kwa hela hiyo why not buy Vanguard, Harrier, Audi, or Benz namba "E" at even a cheaper price!
 
hili hata 20M nikushukuru iwapo utampata mteja, hii nayo ni ndoa ya kikristo. tulilitoa letu mwezi juzi kwa 23M tena lilikuwa zimaa na linatembea. usiombe lianze kutaga maana naona lako halina hata upepo.
 
Jamani hiyo ni Nissan bei yake ziko juu tusiibeze ni jambo la mtu kuwasiliana na Muuzaji basi mkaelewana bei yeye kasema mwenye kuiihitaji aombe pungufu mambo ya songe.
 
Gari y Milioni 45 halafu unashindwa kujaza upep0.Hiyo Kula milioni 5 Kama mtu akija maana inavoendelea kukaa hapo Inaliwa na Panya tu...
Bila shaka unatania. Hakuna kitu kizuri kama kuheshimu biashara ya mtu. Acha kukejeli riziki yangu..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom