nissan

  1. BEST 001

    JamiiForums Tanzania Nauza Nissan Dualis nzuri sana Arusha

    GARI INAUZWA TSH 13,500,000/= TU Car name : Nissan Dualis Year 2007 CC 1990 / 6 GEAR COLOR SILVER NB , Full android TV 10 inches + Subwoofer, Sunroof , 2W + 4wheel Price Tsh 13,500,000/= Location : Arusha. 0764313877 (CALLS/ TEXTS/WHATSAPP) KARIBUNI SANA. ZINGATIA MKOA ARUSHA
  2. Mshasha wane

    JamiiForums Tanzania Nissan dualis na Qashqai

    Wakuu naomba kuuliza kuna mtu anatumia gari aina ya Nissan Qashqai au Dualis na kukutana na adha ya gari kushtuka baada ya kuwekewa oil feki kwenye gearbox. Kama yupo naomba kujua alitatuaje hilo tatizo
  3. Deinstein 01

    JamiiForums Tanzania Honda na Nissan zaungana

    Habari wakuu. Jana kampuni za magari ya Honda na Nissan zilifanya mazungumzo ya kibiashara na kuungana ili kukabiliana na ushindani uliopo kwenye soko la magari. Muungano huu unalenga kutoa magari yanayoendana na teknolojia ya sasa yaani magari ya umeme(EV) na Autonomous cars (magari...
  4. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Mwakani nahamia Nissan: Either Leaf, Note au Ariya!

    Bado uwezo wa kumkimbia Mjapan sina, ingawa Mchina na Mmarekani wanashawishi ila hamna jinsi. Kwa trend anatoenda nayo Nissan kutokea 2020 aisee nadhani ndio kituo kifuatacho. Kama nitabaki na ICE (magari ya mafuta) nitamfikiria Nissan Note 2020. Engine ndogo 1.2L hybrid itafaa sana hapa...
  5. X

    JamiiForums Tanzania Nissan na Honda kuungana kufuatia ushindani mkubwa kutoka China katika utengenezaji wa magari

    Kampuni namba 2 na namba 3 kwa utengenezaji wa magari nchini Japan baada ya Toyota, Honda na Nissan zinafikiria kuunganisha mitaji yao ili kuziunganisha na kuwa kampuni moja. Lengo ni kuwasaidia kushindana dhidi ya watengenezaji wa magari ya umeme (EV), hasa nchini China. Huu utakuwa...
  6. God knows

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Nissan X-Trail

    Nahitaji Nissan X-Trail ya 2010 used. Nina bajeti ya 9m. Unaweza kunitumia PM
  7. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Anaehusika na kuset kodi za magari used TRA aangalie vizuri ushuru wa Nissan Leaf 2019 EV nataka ivuta Februari!

    Najua kwa namna moja au nyingine muhusika atapata huu ujumbe, na sio tu kwa hii chuma na kwa vyuma vingine. Kwa mfano Nissan Leaf 2019 naona kwenye kikokotoo chenu mme-estimate kwamba CIF yake ni $16,600 kitu ambacho sio kweli, market price sahivi ya hii gari kwa huo mwaka ni CIF ya $8,000...
  8. shakidy

    JamiiForums Tanzania Vipi kuhusu ufanisi na uimara wa Nissan X-trail (Hybrid)

    Wataalamu, Kuna hizi gari NISSAN XTRAIL-HYBRID zimeongezeka sana hapa mjini. ni gari SUV nzuri sana kwa kuzitazama lakini vipi kuhusu ufanisi na uimara wake ukilinganisha na SUV zingine?
  9. JituMirabaMinne

    JamiiForums Tanzania Tatizo la gari za Nissan kushtukashtuka(misfire) kati ya speed 40Km/h mpaka 60Km/h

    Shida hii ipo karibu kwenye kila gari ila kwenye Nissan Hali ni mbaya mno. mfano wa gari zenye hiyo shida ni Dualis, Xtrail T31, Note, Juke na Tiida. Gari inawaka vizuri, Ila ukianza kuitafuta 40kph ndio unaona hiyo shida hasa kama hujaikanyagia sana na hasa maeneo ya vilima, hata kama ni...
  10. KING MIDAS

    JamiiForums Tanzania Nissan wafanya kufuru, waunda injini yenye uzito wa kilo 40, ina piston 3, zenye kuzalisha horsepower 400

    Nissan creates a small engine weighing 40kg. It's a 3 cylinder block that produces 400 horsepower.
  11. M2flan

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Nissan X-Trail T30 inauzwa

    SOLD
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mwenye Nissan Serena anicheki

    Jamani Nina shida na gari Nissan Serena. Anayeuza yake anistie PM. Nina sh 5M
  13. 0

    JamiiForums Tanzania Swali kuhusu Nissan Serena

    Habari ya Sunday Mimi nimekuwa nikijaribu kutafuta gari kwa ajili yaatumizi ya ngu na napendelea minivans. Nikawa natafuta mtu anayeuza hilp gari bongo ili ninunue. Lakini ñayapata mtandaoni hàya magari yanauzwa bei ndogo sana. Ni kama thamani yake inashuka haraka kuliko mfano Noah na Alphard...
  14. L

    JamiiForums Tanzania NISSAN JOURNEY INAUZWA KWA BEI NAFUU MNOOOO (11,350,000/=)

    HABARI JAMII FORUM --Gari aina ya Isuzu Journey inauzwa na Benki kwa njia ya Mnada. --Sababu ya kuuza ni, mdaiwa ameshindwa kurudisha mkopo katika muda aliopangiwa hivyo mali zake zimekamatwa zinauzwa kufidia deni. -MAWASILIANO: 0679781081 (Simu/sms), 0784379396 ( Whatsaap only) -Email...
  15. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Nissan Dualis zitajiondoa zenyewe sokoni

    Ni kama mamlaka za ukaguzi na KUSIMAMIA UBORA wa vyombo vya moto vinavyoingizwa nchini zimeshindwa Kazi, ama kuna uzembe mahali ama rushwa. Kwa modeli za magari yanayoingia nchini kwasasa NISSAN DUALIS zinaongoza kwa kuwaka moto.. Hivi mamlaka halilioni hili tatizo? Ama kwa vile nyingi...
  16. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Land Cruiser J300 ijipange, hii next gen Nissan Patrol ni habari nyingine!

    Naona Nissan wako serious, wanaleta generation nyingine ya Patrol ambayo tunaamini ndio itacompete na LC J300! Itakuja 2025, Nissan wameipa model code Y63 na ni generation ya 7 ya Patrol tokea waanze 1951. Inakuja na twin turbo V6 mambo ya V8 yashapitwa na wakati, na engine ndogo ya 3.5L sio...
  17. and 998 others

    JamiiForums Tanzania 2012 Nissan Xtrail Vs 2010 Subaru Forester

    Wakuu nimejipata nataka nichukue usafiri kati ya Nissan xtrail ya 2012 au 2010 Subaru Forester (isio na turbo). Msaada wa uimara, spea, mafuta, re-sale value
  18. jijiletushop

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Gari inauzwa Nissan Patrol

    Nissan patrol Engine D 45 Ac Available Fully working Halogen Lights Tsh 16,000,000 haina shida yyte Maongezi yapo🙏 0774446553 Location Arusha
  19. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini watanzania wanalichukia Nissan Serena?

    Habari zenu. Nataka kuulizq nimegundua kuwa watu wengine walifuata mkumbo wa kununua nissan Serena lakini siku za hivi karibuni zi.ekuwa hazinunuliwi na resale value yake imeshuka sana. Ndio imekuwa kawaida kusikia watu wakiuza Nissan Serena zao kwa bei chee mfano sh 5m nk. Zimeshuka thamani...
  20. X

    JamiiForums Tanzania Ifikie wakati Nissan Dualis na moto wamalize tofauti zao

    Ukiwa na Dualis usihesabu una gari wewe jua una chanzo cha moto. Leo saa 9 usiku imewaka maeneo ya Kimara Kibo Visa vya Dualis kuwaka vimekuwa vingi sana ikichanganyikiwa inawaka popote
Back
Top Bottom