Habari zenu marafiki.Nina mpango wa kuagiza gari aina ya Nissa Serena toka Japani.Kutokana na uzoefu wenu naomba mnipe Changamoto za gari hii.Hiyo gari ina cc1990
Wakuu naombeni mwenye fundi mzuri wa gari za nissan wa uhakika, gari yangu ni nissan cube.
vipengele:
inachemsha
inachoma coil (nimebadili mara mbili)
inakosa nguvu (hai-accelerate)
gari inavuta upande mmoja speed ikiongezeka
Naomba msaada wenu wakuu.
Kichwa cha habari chajitosheleza...
1. Bei sio kali sana
2. Muonekano ni luxury sana
3. Space ndani ya kutosha
Ila wamiliki ni wachache sana shida ni nini?
Nissan wako serious sana kwenye issue ya EV na hybrids hivi karibuni. Kwa sisi wapenzi wa magari madogoa na economy, wametugusa sana na Nissan Note (hybrid) na Nissan Ariya (EV).
Sasa wametuletea all new Nissan Leaf 3rd gen, soon inaingia masokoni.
Wamefanya mapinduzi makubwa sana kuanzia...
Hii Gari ina body design nzuri same to Interior ila wabongo wengi wanaikimbia. Sasa Unataka kujua sababu ni nini kaa vizuri funga Mkanda nikupe madini.
.
Qashqai ni Dualis [Maarufu kama Kiberiti though siku hizi haziungui tena ] iliyochangamka ikiwa imetengenezwa na Nissan Kampuni Ya Kijapan...
Reference Number:24254079890
Make:NISSAN
Model:CIVILIAN BUS - DCW41/DJW41/DVW41
Body Type:BUS
Year of Manufacture:2011
Country:JAPAN
Fuel Type:PETROL
Engine Capacity:2501 CC
Mileage 90,994km
Price 45M
🔋✨ Honda Inachagua Njia Yake! 🚗💨
Badala ya kwenda 100% EV kama kampuni nyingine za magari, Honda imesema inawekeza zaidi kwenye magari ya Hybrid na kusitisha mpango wa EV!
Honda na Nissan zilikuwa zimekubaliana kuungana na kuwa kampuni moja lakini mwanzo wa mwaka huu zilisitisha mpango huo...
Wakuu salaam.
Wako niko kwenye wazo la kutafuta usafiri. Mwanzoni nilikuwa nawaza kuhusu Mitsubishi Outlander, Hata hivyo, watu wengi wamekuwa na ushauri hasi kuhusu gari hilo. Kwa sasa nina mawazo mawili baina ya Nissan X traeil na Subaru Forester XT. Bajeti yangu 25 -30 M, Ni mtu wa kipato...
Habari ya ushindi nguvu moja
Any way niende kwenye mada kwa sasa naona hizi gari ndogo Aina ya nissan juke zinakuja kwa Kasi zaidi apo badae soko la ist hapa bongo litakufa
Ni ipi Siri ya nissan juke wakuu
Nissan Note Hybrid 3rd generation (E13) yenye engine (generator) ya cc 1200 na e-Power hybrid system ya Nissan ni chuma ambayo watu wanajifanya hawaioni.
Kwa CIF ya Mil 20+ na kodi ya mil 13+ unapata hii hatchback moja kali sana.
Model ya 3rd gen imeanzia 2020+ na una options za FWD au AWD...
Nissan March ilianzishwa na kampuni ya Nissan Motor Co. Ltd na ilizinduliwa kwa mara ya kwanza katika nchi ya Japan mwaka wa 1982
Nissan March ilikuwa ni gari la aina ya hatchback linalolenga soko la magari madogo (compact cars). Lengo kuu la gari hili lilikuwa kutoa chaguo la kiuchumi kwa...
Wakubwa mtakumbuka hapo juzi niliwandikia kuhusu xtrail yangu kushtuka shtuka ikikfika rpm ya 40 kwenda 60 hapo n mkanishauri kuwa tafuta plug og na kuna member aliniambia kuna jamaa wanaitwa gathani to limited nikaongea nao , kwanza kabla ya kuongea nao nikangalia plug ambazo zilitoka na gari...
Nissan Patrol V8 ni toleo la juu la Nissan Patrol, ambalo linajivunia injinia ya V8 yenye nguvu na uwezo bora wa off-road. Gari hili linatumika sana katika mazingira magumu na linalotambulika kwa uimara, uwezo mkubwa wa kuvuta, na matumizi ya kifahari. Hapa chini ni sifa muhimu za Nissan Patrol...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.