Nissan Dualis vs Nissan Qashqai

ZENITH

JF-Expert Member
Feb 5, 2012
908
604
Habarini wakuu.

Bila kupoteza muda niende moja kwa moja kwenye mada. Kuna hizi gari ambazo tunazi consider kama ni gari za aina moja, kwamba zinafanana kwa kila kitu.

Naongelea Qashqai vs Dualis. Kuna tofauti yoyote kati ya hizi gari mbili? Kuna jamaa aliwahi kuniambia kwamba Nissan Qashqai ni bora zaidi ukiilinganisha na Nissan Dualis. Kwamba hata zile changamoto za gari kuungua ungua,kwa Qashqai haipo.

Mimi tofauti pekee niliyoiona ni Nissan Qashqai top speed yake inafika 240 km/h na Dualis inaishia 180km/h.Je kuna tofauti zipi significant kati ya hizi gari mbili?
 
Ninavyojua mimi,hizi ni gari ya aina moja,hakuna tofauti yoyote,ila ngoja waje wajuzi wa mambo!
 
Habarini wakuu. Bila kupoteza muda niende moja kwa moja kwenye mada. Kuna hizi gari ambazo tunazi consider kama ni gari za aina moja, kwamba zinafanana kwa kila kitu.

Naongelea Qashqai vs Dualis.Kuna tofauti yoyote kati ya hizi gari mbili? Kuna jamaa aliwahi kuniambia kwamba Nissan Qashqai ni bora zaidi ukiilinganisha na Nissan Dualis.Kwamba hata zile changamoto za gari kuungua ungua,kwa Qashqai haipo.

Mimi tofauti pekee niliyoiona ni Nissan Qashqai top speed yake inafika 240 km/h na Dualis inaishia 180km/h.Je kuna tofauti zipi significant kati ya hizi gari mbili?
Ukiona maximum speed ni 180km/hr hiyo ni toleo la domestic Japan,240km/hr top speed ni la soko la nje ya Japan
 
Tofauti unaweza usiione lakini jaribu kuendesh zote mbili utajua qashqai ni Bora sana kuliko dualis sababu imetengenezwa special kwa soko la ulaya Ina viwango vyote vya usalama na ubora chukua usiogope
 
Back
Top Bottom