nissan

  1. C

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Used gear box ya Nissan Caravan

    Salamu wana bodi, Nina shida na gear box ya nissan caravan. Natafuta used. Msaada tafadhali. Hata kwa asiye nayo ningeoenda nipate mchango kuwa bei zake zikoje. Asanteni
  2. Mb-one

    JamiiForums Tanzania Fuel consumption ya Nissan x trail 2007/2008 ikoje?

    Wakuu habari, Poleni na janga la corona. Nilikuwa nauliza kuhusu matumizi ya mafuta ya hi gari Nissan xtrail 2007 au 2008 ikoje kiuhalisia kwa wale waliotumia hii gari au wanijua vizuri. Kutokana na specification Yake ni 1990CC Nitashukuru \
  3. hp4510

    JamiiForums Tanzania Wapi kuna fundi mzuri wa magari ya Nissan?

    Jamani leo asubuhi nimeona jambo la ajabu kwenye gari yangu Pale kwenye top cover Kuna vuja oil ambayo inaenda kuungua chini na kutoa Moshi mwingi Sana So please wandugu kama kuna mtu anajua fundi mzuri wa hizi Nissan teana au gereji mzuri naomba connection
  4. Bonlove

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada au ushauri juu ya Fundi wa Nissan X-trail

    Habarini na poleni na majukumu, Ninaomba msaada/ Ushauri juu ya Tatizo la gari langu (Nissan X- trail) nimetumia hili gari zaidi ya miaka 6, shida ilijitokeza kwenye Engine nikafanya uamuzi wa kubadilisha Engine na gear box (niliweka nyingine). Baada ya kukamilisha hilo zoezi cha ajabu (shida)...
  5. ElectronicSalim

    JamiiForums Tanzania Nissan X-trail new model

    xtrail new model Bei 15.5 Million 78,000 KM Petrol Engine 1990cc 1 owner , the car has been well taken care of. Call 0762 53 578
  6. K

    JamiiForums Tanzania Msaada: Mafundi wazuri wa Nissan X-Trail

    Wanabodi, Leo asubuhi wakati nawasha gari yangu ya Nissan X Trail ikatoa muungurumo usio wa kawaida yake. Muungurmo wa gari uliotoa ni kama ule wa magari ya mashindano au kama ule unaofanana na Subaru Forester. Nimeshindwa kuondoka nalo kwenda nalo ofisini imenibidi nilipaki nyumbani. Naomba...
  7. Nukta5

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nissan Bluebird Sylphy

    Habari wakuu ninaomba msaada wa kuzijua hizi gari za nissan bluebird kwenye ulaji wa mafuta na upatikanaji wa spare parts nimeona bei inaridhisha nikaona nije kwa wataalamu kwa ushauri zaidi ahsante. Engine size: 1490cc
  8. bwegebwege

    JamiiForums Tanzania Msaada: Natafuta injini ya Nissan Patrol (Turbocharged) 4.2L TD42T3

    Wadau, Mimi ni mpenzi wa Nissan. Natafuta hiyo Engine hapo juu (TURBOCHARGER SYSTEM NISSAN PATROL 4.2L TD42T3) DIESEL
  9. A

    JamiiForums Tanzania Kati ya Subaru Forester na Nissan X-trail, ipi bora?

    Wadau, salamu kwenu. Naomba ushauri toka kwenu. Mimi ni mgeni wa magari ila nayapenda haya magari, sasa je gari gani kati ya Nissan X-tail na Subaru Forester ni bora zaidi kwenye: 1. Uimara 2. Kuhimili barabara za vumbi na tope 3. Upatikanaji wa spea
  10. R

    JamiiForums Tanzania Nissan X-trail imekataa kuwaka, haitupi spark kwenye cylinder, mashine inasema hakuna error code yoyote

    Habari wanabodi Nna Nissan X-trail, haijawahi kuniletea shida yoyote kabisa, ila mwezi mmoja kabla engine ili-heat kwa uzembe wangu mwenyewe, nikabadilisha head, gari ikarudi sawa, nikatembelea zaid ya mwezi, kama wiki moja iliyopita taa ya check engine iliwaka, nikaona isiwe tabu, nikapeleka...
Back
Top Bottom