2021 Nissan Patrol 5.6 V8 LE Premium - Hospitali ya Wilaya inayotembea

Michewen

JF-Expert Member
Jun 27, 2012
24,781
32,593
Wakuu hii kitu ya moto sana, gharama za kuinunua hii chuma ni sawa na hospitali ya Wilaya (pamoja na Assets zote) huko BUHIGWE. Hakika duniani wapo viumbe (akiwemo Mstaafu) wanafurahia maisha.

NB: Tupeleke watoto CHIPUKIZI aisee. Haya mambo ya kukomaza Komwe ufaulu NECTA sijui SUA ndo uje utoboe sahau.
1703588531981.png
1703588469913.png

1703588423998.png
 
Wakuu hii kitu ya moto sana, gharama za kuinunua hii chuma ni sawa na hospitali ya Wilaya (pamoja na Assets zote) huko BUHIGWE. Hakika duniani wapo viumbe (akiwemo Mstaafu) wanafurahia maisha.

NB: Tupeleke watoto CHIPUKIZI aisee. Haya mambo ya kukomaza Komwe ufaulu NECTA sijui SUA ndo uje utoboe sahau. View attachment 2853595View attachment 2853593
View attachment 2853591
Magari ya serikali yananifanya nisilipe kodi. Hakuna mfanyabiashara mwenye akili timamu atalipa kodi serikalini. Hio hela ya kodi bora niiipeleka katika kiungocha kijijini kwetu . Kuna maendeleo makubwa tunafanya kijijini kwetu kwa kushirikiana.
 
Back
Top Bottom