nishati

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Ndaisaba Ruhoro Ameishauri Wizara ya Nishati Kuweka Fedha za Kutosha kwa Ajili ya Nishati Safi ya Kupika

    MHE. NDAISABA RUHORO AMEISHAURI WIZARA YA NISHATI KUWEKA FEDHA ZA KUTOSHA KWA AJILI YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA "Rais Samia ameona ni muda muafaka tuendeleze rasilimali ya Gesi Asilia ambayo MUNGU ametupatia Watanzania. Wananchi wa Ngara tunamuunga mkono Rais na timu nzima ya Wizara ya Nishati...
  2. F

    JamiiForums Tanzania Kwanini wabunge wengi wamesusia mjadala wa bajeti ya Wizara ya Nishati? Wengi hawapo

    Naangalia Bunge lipo tupu. Viti vingi havina watu. Hadi wabunge wameomba iangaliwe akidi kama imetimia. Spika kadai linafanyiwa kazi.
  3. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Nishati yaomba Bajeti ya Tsh. Trilioni 3 kwa mwaka 2023/24

    Bajeti hiyo imewasilishwa Bungeni na Waziri #JanuariMakamba ikiwa ni makadirio ya matumizi ya mwaka 2023/24 ambapo kuna ongezeko la Tsh. Bilioni 142.65 kutoka Tsh. Trilioni 2.91 zilizoombwa mwaka 2022/23. Kuhusu hali ya Umeme Nchini, amesema hadi kufikia Mei 15, 2023 uzalishaji ni Megawati...
  4. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Nishati January Makamba afanya historia, Awasilisha Hotuba ya Bajeti yenye QR Code mara ya kwanza kwenye Historia ya Bunge la Tanzania!

    Wanabodi, Mnyonge mnyongeni, haki yake mpeni!. Kabla hujasoma hoja za bandiko hili, naomba uanzie hapa kwa kuangalia hili ni bandiko la lini January Makamba Top The List of Most Interactive Politician in Tanzania! Sasa leo katika Bunge la Bajeti, Waziri wa Nishati Mhe. January Makamba afanya...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Wabunge wapigwa darasa kuhusu nishati safi na salama ya kupikia. Kila mbunge kupewa mitungi 100 ya gesi

    Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo, tarehe 27 Mei, 2023 wamepata nafasi ya kujifunza kuhusu nishati safi ya kupikia pamoja na kupitishwa kwenye Rasimu ya Dira ya Taifa ya Matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia pamoja na Mpango Mkakati wa Utekelezaji kupitia semina maalum...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Mume wa Spika kuwa Bosi wa EWURA haiwazuii wabunge kuisimamia Wizara ya Nishati

    Kitendo cha MUME wa Spika wa Bunge, Dk. Tulia kuteuliwa kuwa Mkurugenzi Mkuu wa EWURA haiwazuii wabunge kujadili matatizo yaliyoko kwenye Wizara ya Nishati hasa yatokanayo na mambo ya mafuta eti kwa sababu Spika anamgongano wa kimaslahi na Wizara ya Nishati. Wabunge mko bungeni kwa ajili ya...
  7. Street Hustler

    JamiiForums Tanzania UWAJIBIKAJI: Tra&polisi ilala, Mawaziri Biashara, Fedha na Umeme bungeni waziri Nishati na kamati bungeni

    Hii sio nchi ya mtu mmoja au kikundi Cha watu fulani wachache hvyo likitokea Jambo tunaunga kwa pamoja kutatua changamoto. Kero za Tra na Askari kukamata mizigo ovyo ovyo sio kariakoo tuu ni swala la kitaifa. Kero za umeme kukatika bila mpangilio sio let bungeni tuu Bali swala la kitaifa...
  8. A

    JamiiForums Tanzania SoC03 Andiko kuhusiana na suala zima la matumizi ya chanzo mbadala cha Nishati

    Suala la nishati ni muhimu sana katika maendeleo ya nchi na ustawi wa wananchi. Hata hivyo, nishati ya mafuta na gesi imekuwa ikileta changamoto kubwa katika suala la mazingira na afya ya binadamu. Kuna haja ya kuangalia chanzo mbadala cha nishati ambacho kitakuwa salama kwa mazingira na afya ya...
  9. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    JamiiForums Tanzania Mjue Rais wa zamani wa Haiti, François "Papa Doc" Duvalier aliyewahi kuwa mchawi kuliko Marais wote Duniani

    KUMBUKUMBU: JE, WAJUA? KWAMBA HAITI NDILO TAIFA LINALOSEMEKANA KUONGOZA KWA UCHAWI DUNIANI? Rais wa zamani wa Haiti, Dikteta François "Papa Doc" Duvalier, aliyechaguliwa na wananchi wa taifa hilo kuwa rais wa 32 wa Jamhuri ya Haiti, kuanzia mwaka 1957 hadi mwaka 1971, anasemekana kuwa mchawi...
  10. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    JamiiForums Tanzania CHAKRA: Gurudumu la nishati katika mwili wa mwanadamu

    UTANGULIZI Chakra ni vituo vya nishati katika mwili wa mwanadamu. Vituo hivi vinaaminika kuunganishwa na ustawi wa kimwili, kiroho, na kihisia! Kulingana na Patanjali, baba wa sayansi za kiyoga, katika kitabu chake kiitwacho "The Yoga Sutras", kuna jumla ya chakra 114. Lakini katika somo letu...
  11. U

    JamiiForums Tanzania Tukubali au tukatae, lipo tatizo kubwa sana katika sekta ya nishati ya umeme hapa nchini kwetu Tanzania

    Hili la umeme kwangu mimi Uzima Tele ndilo pekee hunifanya nimkumbuke kwa uzuri hayati Rais John P. Magufuli kuwa alifanya vyema chini ya u - Rais wake. Honestly, katika kipindi cha uongozi wake ni kama aliona tatizo lilipokuwa, akachukua hatua na kulidhibiti na kukawa na hali ya utulivu ya...
  12. BUSH BIN LADEN

    JamiiForums Tanzania Ni udongo gani ambao ukikaushwa unatumika kama chanzo cha nishati?

    Habari wana jukwaa? Naomba niende moja kwa moja kwenye mada. Leo nikiwa naangalia mapokezi ya Rais Kagame wa Rwanda nchini, TBC walirusha kipindi flani cha historia kikionyesha ziara ya Mwalimu Nyerere nchini Rwanda enzi za Rais Habyarimana. Katika ziara yake hiyo, mwalimu alitembelea kiwanda...
  13. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Kuongeza Ufanisi na Kukuza Sekta ya Mafuta na Gesi Tanzania: Mapendekezo ya Kuanzisha Wizara ya Mafuta na Gesi

    Kuongeza Ufanisi na Kukuza Sekta ya Mafuta na Gesi Tanzania: Mapendekezo ya Kuanzisha Wizara ya Mafuta na Gesi Na Elia Wilinasi Sikanyika Mheshimiwa Rais Dkt. Samia, Napenda kuwasilisha maoni yangu kuhusu umuhimu wa kuanzisha Wizara ya Mafuta na Gesi (Ministry of Oil and Gas) katika Serikali...
  14. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Orodha ya nchi 10 zinazoongoza kwa kuzalisha nishati ya joto ardhi duniani

    Nishati ya joto ardhi ni aina ya nishati mbadala na endelevu, inayozalishwa kwa kuchukua joto kutoka kwenye miamba yenye joto chini ya ardhi. Kutokana na Chama cha Kimataifa cha nisahati ya joto ardhi, nchi kumi zinazoongoza kwa uzalishaji wa nishati ya joto ardhi duniani ni kama ifuatavyo...
  15. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Stephen Byabato, Naibu Waziri wa Nishati Azindua Mpango wa Miaka Minne wa Masuala ya Jinsia wa TANESCO

    STEPHEN BYABATO NAIBU WAZIRI WA NISHATI AZINDUA MPANGO WA MIAKA MINNE WA MASUALA YA JINSIA WA TANESCO Naibu Waziri wa Nishati, Wakili Stephen Byabato amezindua Mpango wa miaka minne wa masuala wa jinsia wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) ambao utawezesha masuala mbalimbali ikiwemo kuboresha...
  16. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge, Judith Kapinga: Wizara ya Nishati Iwajengee Uwezo Wakandarasi REA

    MHE. JUDITH KAPINGA - "WIZARA YA NISHATI IWAJENGEE UWEZO WAKANDARASI REA" Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Ruvuma na Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Nishati na Madini Mhe. Judith Salvio Kapinga aliongoza mafunzo ya Kamati ya Uongozi ya Makamu Wenyeviti wa Kamati za Kudumu za Bunge katika...
  17. I

    JamiiForums Tanzania Nchi zenye gharama ndogo za nishati ya umeme katika Afrika.

    Hii hapa orodha ya nchi zenye gharama ndogo kabisa za nishati ya umeme katika Afrika. https://africa.businessinsider.com/local/lifestyle/african-countries-with-the-cheapest-household-electricity-prices/bc9kys4
  18. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Dira ya Taifa ya Kuhamia katika Nishati Safi ya Kupikia Kuzinduliwa Mwezi Juni 2023

    DIRA YA TAIFA YA KUHAMIA KATIKA NISHATI SAFI YA KUPIKIA KUZINDULIWA MWEZI JUNI Waziri wa Nishati, Mhe. January Makamba ameeleza kuwa, mwezi Juni mwaka huu utafanyika uzinduzi wa kitaifa wa Dira ya Taifa ya kuhamia katika matumizi ya nishati safi ya kupikia na Mpango Mkakati wa utekelezaji wa...
  19. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Byabato Ashiriki Mkutano wa Nishati Nchini Namibia

    NAIBU WAZIRI BYABATO ASHIRIKI MKUTANO WA NISHATI NCHINI NAMIBIA Naibu Waziri wa Nishati, Wakili Stephen Byabato ameshiriki Mkutano wa Tatu wa Ushirikiano kati Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Jamhuri ya Namibia uliofanyika Jijini Windhoek, Namibia tarehe 10 Machi 2023. Pamoja na mambo...
  20. Melki Wamatukio

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Vinywaji vya kuongeza nishati (Energy Drinks) husababisha tatizo la upungufu wa nguvu za kiume

    Hivi ni kweli kuwa vinywaji vya kutia mwili nishati (energy drinks) hupelekea upungufu wa nguvu za kiume?
Back
Top Bottom