nishati

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. F

    JamiiForums Tanzania Mitihani mipya kwa Waziri mpya wa Nishati kuhusu tenda na mikataba atayoikuta Wizarani

    Nauona mitihani mkubwa kwa waziri Dotto Biteko kuhusu Nishati. Hii Wizara ina upigaji mwingi kwa watu wasio waadilifu ila kwa mwaadilifu wala hakuna shida wizarani. Sasa, Waziri mpya mfano akikuta mirija ya tender na mikataba ya Waziri aliyehamishwa atafanyaje? Kama kuna dalili ya kutokuwepo...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini Makamba na Byabato wametolewa wote Wizara ya Nishati na wote kupelekwa Wizara ya Mambo ya Nje?

    Jamani kuna mtu anajua kwanini hawa mabwana wameondolewa Nishati na wote wamepelekwa mambo ya Nje?
  3. VUTA-NKUVUTE

    JamiiForums Tanzania Tetesi: TANESCO 'kwazizima' Makamba kuhamishwa Nishati. Waendelea na 'mfungo'

    Katika hali ya kustaajabisha, maafisa na wafanyakazi wa kawaida wa Kampuni ya Umeme Tanzania (TANESCO) walirukaruka kwa furaha baada ya kusikia na kujua uhamisho wa aliyekuwa Waziri wa Nishati Januari Makamba. Maafisa na watumishi hao wa Makao Makuu ya TANESCO walionesha furaha yao ya wazi...
  4. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) limeieleza Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini kuwa linamiliki idadi ya Leseni 143

    STAMICO YAIELEZA KAMATI YA BUNGE LESENI INAZOMILIKI Yaelekeza Mkakati wake wa kuendeleza Mgodi wa Makaa ya Mawe Vituo vya Mfano Vyatajwa kuongeza tija, wataka viongezwe uwezo Dodoma Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) limeieleza Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini kuwa...
  5. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Dira ya Taifa ya matumizi ya nishati safi ya kupikia inahusu nini?

    Dira ya Taifa ya Nishati safi ya KUPIKIA 2033 inatoa mwelekeo Wa nchi wa kuhamia katika matumizi ya Nishati safi ya KUPIKIA. Dira hii inatokana na hitaji la kuwa na Mpango Jumuishi Wa kitaifa katika kupambana na ongezeko la uharibifu Wa mazingira pamoja na athari za kiafya, kiuchumi na kijamii...
  6. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Makamba Ayataka Makampuni ya BIMA Nchini Kutumia Fursa Katika Sekta ya Nishati

    MAKAMBA AYATAKA MAKAMPUNI YA BIMA NCHINI KUTUMIA FURSA KATIKA SEKTA YA NISHATI Makampuni ya Bima nchini, yametakiwa kuhakikisha kwamba yanazitumia fursa zilizopo katika Sekta ya Nishati, kuzitambua na kufahamu kuwa wana nafasi ya kuzifikia na kuzipata. Wito huo umetolewa tarehe 15 Julai, 2023...
  7. M

    JamiiForums Tanzania SoC03 Asilimia hamsini (50%) huduma za maji na umeme

    Maji na Umeme vimekuwa vitu muhimu katika maisha ya binadamu pia kwa maendeleo ya taifa kwa ujumla. Gharama ya Maji na Umeme ni kubwa sio tu katika usambazaji yaani serikari pia kwa mtu mmojammoja anapohitaji kufungiwa inakuwa ni kikwazo. CHANGAMOTO Gharama za mwanzo za ufungaji wa maji na...
  8. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Sichalwe Aibana Wizara ya Nishati Kufikisha Umeme Kwenye Vijiji 20 Vilivyosalia

    MBUNGE CONDENSTER SICHALWE AIBANA WIZARA YA NISHATI KUFIKISHA UMEME VIJIJI 20 VILIVYOSALIA JIMBO LA MOMBA "Je, Serikali ina mpango gani wa kukamilisha zoezi la kuwasha umeme kwenye Vijiji vilivyosalia katika Jimbo la Momba" - Mhe. Condester Mundy Michael Sichalwe, Mbunge wa Jimbo la Momba...
  9. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania TPDC kushirikiana na Kampuni ya China kuwekeza kwenye Gas

    Kampuni ya China National Offshore Oil Corporation (CNOOC) na Shirika la TPDCTZ kushirikiana katika uwekezaji katika sekta ya gesi nchini. Aidha, Kampuni ya CNOOC imeahidi kuendelea kushirikiana na wadau wengine katika uwekezaji wa ujenzi wa Bomba la Kusafirisha Mafuta kutoka Uganda hadi...
  10. LAETUS

    JamiiForums Tanzania SoC03 NISHATI MIX-Mashine ya kuzalisha umeme pamoja na gesi kwa kutumia Plastiki na Uchafu unaooza

    Nishati
  11. M

    JamiiForums Tanzania DP World na Bandari imeshatutoa katika Reli juu ya Tuhuma Kuu nyinginezo za Wizara ya Nishati

    Kama kuna Watu nawapenda basi ni Watanzania kwani ni wepeei kuhamishwa Fikra na Mitazamo huku wakiridhishwa na Asali ya Timu zao Kubwa za Simba na Yanga kwa Kusaidiwa na Rais na Serikali.
  12. W

    JamiiForums Tanzania Tetesi: TAKUKURU, TISS wadaiwa kuchunguza rushwa ya Wizara ya Nishati kwa Wabunge

    Taarifa kutoka ndani ya TAKUKURU zinadai kuwa taasisi hiyo imefungua jalada la uchunguzi wa tuhuma kuwa Waziri wa Nishati, January Makamba, alitoa rushwa kwa wabunge ili wapitishe bajeti ya wizara yake ya 2023/24 wiki iliyopita. Inadaiwa Makamba alitumia taasisi zilizo chini ya Wizara yake...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Luhaga Mpina aivaa Wizara ya Nishati, asema imevunja sheria kwenye majadiliano ya LNG

    MCHANGO WA MBUNGE WA JIMBO LA KISESA, MHE. LUHAGA JOELSON MPINA (MB) AKICHANGIA KUHUSU MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI YA WIZARA YA NISHATI KWA MWAKA 2023/2024 BUNGENI DODOMA TAREHE 1 JUNI 2023 Changamoto kwenye mradi wa LNG: (i) Hakuna taarifa ya kufanyiwa mapitio ya PSA katika vitalu na 1, 2...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Mambo 6 aliyoyaona Luhaga Mpina Wizara ya Nishati

    MCHANGO WA MBUNGE WA JIMBO LA KISESA, MHE. LUHAGA JOELSON MPINA (MB) AKICHANGIA KUHUSU MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI YA WIZARA YA NISHATI KWA MWAKA 2023/2024 BUNGENI DODOMA TAREHE 1 JUNI 2023 1: UTANGULIZI Mheshimiwa Spika, nichukue nafasi hii kukushukuru sana kwa nafasi hii uliyonipa nami...
  15. M

    JamiiForums Tanzania January, Maharage, Yakubu: Mapacha watatu na dada yao waliojimilikisha sekta ya nishati ya Tanzania

    January, Maharage, Yakubu: Mapacha watatu na dada yao waliojimilikisha sekta ya nishati ya Tanzania Na Mwandishi Maalumu January Makamba, Maharage Chande na Saidi Yakubu ni maswahiba wa karibu sana, kiasi ambacho unaweza kuwaita ni mapacha watatu. Mapacha hawa watatu wamekuwa pamoja kwenye...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Mafisadi ndiyo chanzo cha chuki dhidi ya mawaziri wa wizara ya Nishati

    Makamba jr siyo waziri wa kwanza ktk wizara ya nishati kuundiwa zengwe na mafisadi. Mafisadi ya nchi hii yamekuwa yakiparurana na kila waziri wa wizara hii. Hiki ndiyo chanzo cha kelele zote hizi dhidi ya Makamba jr, waziri wa nishati wa sasa. Mpk wabunge wamo ktk Mkumbo huu. Eti wanasusia...
  17. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Ndaisaba Ruhoro Ameishauri Wizara ya Nishati Kuweka Fedha za Kutosha kwa Ajili ya Nishati Safi ya Kupika

    MHE. NDAISABA RUHORO AMEISHAURI WIZARA YA NISHATI KUWEKA FEDHA ZA KUTOSHA KWA AJILI YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA "Rais Samia ameona ni muda muafaka tuendeleze rasilimali ya Gesi Asilia ambayo MUNGU ametupatia Watanzania. Wananchi wa Ngara tunamuunga mkono Rais na timu nzima ya Wizara ya Nishati...
  18. F

    JamiiForums Tanzania Kwanini wabunge wengi wamesusia mjadala wa bajeti ya Wizara ya Nishati? Wengi hawapo

    Naangalia Bunge lipo tupu. Viti vingi havina watu. Hadi wabunge wameomba iangaliwe akidi kama imetimia. Spika kadai linafanyiwa kazi.
  19. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Nishati yaomba Bajeti ya Tsh. Trilioni 3 kwa mwaka 2023/24

    Bajeti hiyo imewasilishwa Bungeni na Waziri #JanuariMakamba ikiwa ni makadirio ya matumizi ya mwaka 2023/24 ambapo kuna ongezeko la Tsh. Bilioni 142.65 kutoka Tsh. Trilioni 2.91 zilizoombwa mwaka 2022/23. Kuhusu hali ya Umeme Nchini, amesema hadi kufikia Mei 15, 2023 uzalishaji ni Megawati...
  20. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Nishati January Makamba afanya historia, Awasilisha Hotuba ya Bajeti yenye QR Code mara ya kwanza kwenye Historia ya Bunge la Tanzania!

    Wanabodi, Mnyonge mnyongeni, haki yake mpeni!. Kabla hujasoma hoja za bandiko hili, naomba uanzie hapa kwa kuangalia hili ni bandiko la lini January Makamba Top The List of Most Interactive Politician in Tanzania! Sasa leo katika Bunge la Bajeti, Waziri wa Nishati Mhe. January Makamba afanya...
Back
Top Bottom