nishati

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Nilichogundua: Ukipata Pesa unaanza kuwa mkimya sana na hupendi tena kelele. Pesa nayo ni nishati

    Wakuu, baada ya tafakuri za kuyatazama Maisha since when I was broke mpaka muda huu nimegundua ukiwa na uhakika wa Maisha ya kila siku na unapata ushindi mdogo na mkubwa katika mzunguko wa Maisha unajikuta nguvu ya kuongea sana inapungua unakuwa msikilizaji sana. Ina maana ile nguvu ya kuongea...
  2. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Biteko: EWURA zingatia maslahi ya Watanzania na maslahi ya nchi katika kazi za Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji

    EWURA ZINGATIENI MASLAHI YA NCHI KATIKA SHUGHULI ZA UDHIBITI WA MAFUTA NA MAJI -DKT. BITEKO ✔️ Awapongeza kwa kushusha gharama za uagizaji mafuta ✔️ Asisitiza EWURA kudhibiti vitendo vya urasimu na rushwa mahali pa kazi Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amewataka...
  3. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Kasaka aunga mkono azimio la mkataba wa wakala wa Nishati Jadidifu Irena

    MBUNGE wa Jimbo la Lupa Chunya Mhe. Masache Kasaka amesema kuridhia kwa azimio la Tanzania kuhusu mkataba wa wakala wa kimataifa wa Nishati Jadidifu IRENA utaleta manufaa kwa nchi huku akibainisha kwamba nchi nyingine jirani zikiwemo Kenya Uganda Rwanda na nchi za SADEC zilizoweza...
  4. Replica

    JamiiForums Tanzania Rostam abonga na Hichilema kuzalisha umeme nchini Zambia. Pia aangazia usambazaji wa gesi

    Rostam Aziz amekutana na Rais wa Zambia, Haikande Hichilema mjini Lusaka na wamejadiliana kuhusu uwekezaji kwenye sekta ya nishati na madini. Taifa group kupitia kampuni yake tanzu ya Taifa Gas tayari imeingia ubia na kampuni ya Delta Marimba ya Zambia kuzalisha megawat 100 kwa kutumia gesi...
  5. Transistor

    JamiiForums Tanzania Incubator zinazo tumia nishati mbadala,Gas na Solar,Mafuta ya taa

    TUNAONGEZA AU KUFUNGA MFUMO WA GAS AU MAFUTA YA TAA KWENYE MASHINE ZA KUTOTORESHEA AMBAZO ZINATUMIA UMEME KAMA MFUMO MKUU AU "BACK-UP" Kwa mahitaji ya kubadilishiwa au kuongezewa mfumo wa kutumia gas katika Incubator yako wasiliana nasi,gharama inategemeana na ukubwa wa. mashine Pia tunaunda...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Tunakushukuru Naibu waziri mkuu na waziri wa nishati

    Mhe. Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati huna muda mrefu tangu uteuliwe na Mhe. Rais kuwa Waziri wa Nishati. Tunaona mambo mazuri yanakuja mbeleni. Niko hapa Mwanza tulikuwa tunakatiwa umeme tangu saa moja asubuhi mpaka saa moja jioni au tangu saa moja jioni mpaka saa nane usiku lakini leo...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Nishati Bwana Dotto awa TANESCO wanafanya makusudi, walifanya hivi wakati Makamba alivyoanza na nikasema, sasa hivi wewe. Stop talkin do act

    Waziri wa Nishati Bwana Dotto awa TANESCO wanafanya makusudi, walifanya hivi wakati Makamba alivyoanza na nikasema, sasa hivi wewe. Stop just talk with the press nenda eneo la tukio ujue shida ni nini. Hao jamaa ni wahuni
  8. Son of Israel from Africa

    JamiiForums Tanzania Hongera Mbunge wa kisesa mkoani Simiyu Luhanga Mpina kuona toka mwanza wizara ya nishati walipewa matapeli

    Hi Chapu shughuli ni mingi Huyu mwamba apewe maua yake ,toka mwanzo huko Samiaa akiunda Serikali yakee alisema na kututadharisha mapema tuu hawa jamaaa ni matapelii kabisaaa na wapiga madini. Ikaja ngonjeraa ooo hamtaki makamba kuwa waziri wa nishati sijui nini. Machawa wakanza, Makamba...
  9. Hamza Nsiha

    JamiiForums Tanzania Nini mbadala wa Nishati ya kuni katika kilimo cha tumbaku?

    Habari ndugu wana JamiiForums, nimekuwa nikijiuliza maswali kadhaa kuhusiana na jitihada za sekta yetu ya Nishati katika kuibua njia mbalimbali ambazo zimekuwa na tija katika utunzaji wa mazingira kama vile Makaa ya mawe, Gesi asilia n.k. Njia hizi zimeleta mapinduzi katika kuinua Tanzania ya...
  10. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Vijana ni Nishati ya Taifa, ila isipotumiwa vizuri Nishati hii inaweza kugeuka Hatari kwa jamii

    Vijana ni Nishati ya Taifa, Wao ni chanzo cha Fahari na Matumaini kwa Nchi husika ila ikitokea Nishati hiyo isipotumiwa Vizuri na kuongozwa kwa Uadilifu, inaweza kuwa hatari kwa jamii. Vijana huathiriwa zaidi na Athari za Ufisadi na Rushwa katika Taifa ikiwemo kukatishwa tamaa kutokana na...
  11. Wakili wa shetani

    JamiiForums Tanzania Hivi huyu waziri wa nishati anachukua hatua zozote kutatua mgao au anasubiria mvua?

    Kuna hatua zozote anafanya huyu waziri kukabiliana na tatizo la mgao au anapanga tu ratiba ya mgao na kusubiria maji? Maana hii ni dharura. Umeme siku moja upo ya pili haupo. Kazi ya siku 10 utafanya siku ishirini. Makamba hili lilimshinda. Tulitegemea huyu Biteko anakuja na suluhu? Hili suala...
  12. Dr Akili

    JamiiForums Tanzania 'Mzigo mzito mpe mnyamwezi'. Tumshauri mbinu gani za kulibeba hili zigo zito la nishati ya Taifa letu

    Nishati ndiyo roho ya taifa lo lote. Uchumi na ustawi wa nchi hutegemea upatikanaji wa kutosha na wa bei nafuu wa nishati. Uharibifu wa tabia nchi unatokana kwa kiasi kikubwa na ukataji miti kwa ajili ya kuni na mkaa kwa sababu ya ukosefu wa nishati mbadala ya bei nafuu. Suala la nishati na...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Doto Biteko kapelekwa Wizara ya Nishati kipindi cha Mgao wa umeme, achunge yasimkute ya Lowassa

    Kumpeleka Ndugu yetu Biteko pale Nishati na kumwondoa Makamba kipindi ambacho Makamba amevurunda siyo picha nzuri kwa mwanetu huyu. Sisi watu wa kanda ya ziwa tunazungumza na miungu yetu mvua inyeshe shetani asipate nafasi yakumwaibisha Mwanetu. Hizi royal family za Pwani si familia nzuri sana...
  14. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Waziri Doto Biteko kapelekwa Nishati kuangushiwa jumba bovu

    Ukiwa unaangalia mambo kwa weledi hilo ndo utagundua. Makamba kashaharibu kila kitu afu mtoto wa watu DOTO ndo anapelekwa kusulubiwa na kuvikwa walama. Wakubwa walishachungulia mgao wa umeme mkali unakuja. Ili kumsafisha kipara wakampeleka mambo ya nje kwenye lawama chache na kumwacha Biteko na...
  15. The Eric

    JamiiForums Tanzania Fursa za nishati mbadala zitumike, umeme wa shirika kila siku unakatika

    Wenye side B kwenye sola na nishati nyingine hivi sasa ni muda wa kutumia hizo energy. Kama nilipo sasa ivi hakuna umeme washakata kurudi ni jioni au usiku kabisa.
  16. B

    JamiiForums Tanzania Nishati Lutheran (DKK) Investment ya Ijangala, Makete Yaingiza Umeme KW360 Ktk Gridi ya Taifa

    MRADI WA UMEME WAKAMILIKA Wakazi 4,500 kunufaika na umeme wa gridi Makete, Njombe Tanzania. Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Nishati Lutheran (DKK) wakati wakiwasha mitambo ya umeme wa mradi huu uliokamilika. Mradi wa kuzalisha umeme kwa kutumia maporomoko ya maji ya Mto Ijangala, kijiji cha...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Sakata la Nishati ya Mafuta Nchini: Makamba kakwepushwa na lawama makusudi

    Siku chache zilizopita, kulifanyika mabadiriko ya Mawaziri...pale Nishati walihamishwa wote...je ilikua njia ya kuwaepusha na matope au ni coincidence?
  18. D2050

    JamiiForums Tanzania Waziri wa nishati simamia Mafuta yapatikane

    Kumekuwa na hali mbaya ya upatikanaji mafuta hasa ya petroli katika miji mingi hapa nchi. Manispaa ya Songea sheli kubwa zote hazina mafuta yapata siku 5 sasa. Hii hali inahatarisha uchumi wa wananchi kwasababu sehemu walizokuwa wanaenda kwa 1000 kwa pikipiki saizi wanatumia 2000. Foleni kwenye...
  19. U

    JamiiForums Tanzania Waziri Biteko ongea yote kuhusu ufisadi wa kutisha uliokuta hapo wizara ya nishati lasivyo utaubeba wewe huo uchafu

    Nakushauri kijana biteko usidanganyishwe na nafasi ya unaibu wa waziri sijui nini hivyo ni vyeo visivyokuwa na mbele wa maana kwa TANGANYIKA kwasababu havitambuliki . Tunapata taarfa kuwa kuna mtu ameondolewa apo Ili kumuepusha kuchafuka kwa ufisadi na umepelekwa wewe kuficha aibu ya ufisadi wa...
  20. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Barua ya Wazi kwa Waziri wa Nishati, Mheshimiwa Dkt. Dotto Mashaka Biteko: Waagizaji wa Mafuta watumie Dhahabu kununua Mafuta Nje ya Nchi

    Barua ya Wazi kwa Waziri wa Nishati, Mheshimiwa Dkt. Doto Mashaka Biteko: Waagizaji wa Mafuta watumie Dhahabu kununua Mafuta Nje ya Nchi Heshima Mheshimiwa Waziri wa Nishati na naibu waziri mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. Dkt. Doto Mashaka Biteko, Kabla ya yote napenda kuchukua...
Back
Top Bottom