Waziri Biteko ongea yote kuhusu ufisadi wa kutisha uliokuta hapo wizara ya nishati lasivyo utaubeba wewe huo uchafu

uwe hodari

JF-Expert Member
Dec 16, 2022
3,999
8,385
Nakushauri kijana biteko usidanganyishwe na nafasi ya unaibu wa waziri sijui nini hivyo ni vyeo visivyokuwa na mbele wa maana kwa TANGANYIKA kwasababu havitambuliki .

Tunapata taarfa kuwa kuna mtu ameondolewa apo Ili kumuepusha kuchafuka kwa ufisadi na umepelekwa wewe kuficha aibu ya ufisadi wa zaidi ya bilion mia.....

Km kweli wewe ni mzalendo tunaomba anika ufisadi mkubwa kuwahi kutokea hapo au jiuzulu

Mtaficha kwa muda tu huu ufisadi km walivyokuwa wakificha dp world
 
Punguzeni speculations, mbona huko Madini alikotoka biteko ndio incompetence ya ajabu hadi tumeangushwa kesi zote za wawekezaji wa madini!! In fact tumeingizwa hasara billion 800.

Biteko is overrated ni suala la muda tu he'll capsize into political oblivion.
 
Biteko is overrated ni suala la muda tu he'll capsize into political oblivion.!
Ni fisadi kama mafisadi mengine tu ya ccm
 
Sasa kapewa unaibu waziri ili kumfunga mdomo..?

Tena zaidi ya billioni 1..yaani upara katoka hapo ana pesa kidogo billioni 500.

Kamuachisha hadi dada yake kipenzi kazi Mwamvita Makamba vodacom kutoka SA ili arudi TZ wale mema ya nchi..na muda si mrefu atawekwa kitengo waendeleze upigaji.
 
Punguzeni speculations, mbona huko Madini alikotoka biteko ndio incompetence ya ajabu hadi tumeangushwa kesi zote za wawekezaji wa madini!! In fact tumeingizwa hasara billion 800.

Biteko is overrated ni suala la muda tu he'll capsize into political oblivion.
Serikali haikutaka kushinda kesi..ni michongo tu watu wapige hela..enzi za JPM kesi hizo hizo tulishinda hadi SA. Kwa sababu tulitaka kushinda.

Kuna wakati JPM alisema hata ile kesi ya samaki kulikuwa na vifungu saba vya ushahidi, ila kwenye hukumu vilipelekwa viwili tu.
 
Nakushauri kijana biteko usidanganyishwe na nafasi ya unaibu wa waziri sijui nini hivyo ni vyeo visivyokuwa na mbele wa maana kwa TANGANYIKA kwasababu havitambuliki .

Tunapata taarfa kuwa kuna mtu ameondolewa apo Ili kumuepusha kuchafuka kwa ufisadi na umepelekwa wewe kuficha aibu ya ufisadi wa zaidi ya bilion mia.....

Km kweli wewe ni mzalendo tunaomba anika ufisadi mkubwa kuwahi kutokea hapo au jiuzulu

Mtaficha kwa muda tu huu ufisadi km walivyokuwa wakificha dp world
Huko CCM wote wapigaji tu hana moral authority ya kufanya hivyo.
 
Nakushauri kijana biteko usidanganyishwe na nafasi ya unaibu wa waziri sijui nini hivyo ni vyeo visivyokuwa na mbele wa maana kwa TANGANYIKA kwasababu havitambuliki .

Tunapata taarfa kuwa kuna mtu ameondolewa apo Ili kumuepusha kuchafuka kwa ufisadi na umepelekwa wewe kuficha aibu ya ufisadi wa zaidi ya bilion mia.....

Km kweli wewe ni mzalendo tunaomba anika ufisadi mkubwa kuwahi kutokea hapo au jiuzulu

Mtaficha kwa muda tu huu ufisadi km walivyokuwa wakificha dp world
shida hii ichi hata ukimtaja mwizi ukaja na ushaidi wa video,sauti na picha unaonekana mmbea tu mwiz afanywi chochote
 
Huo ni uzushi tu ulioamua kuuweka hapa.sasa wewe unaoufahamu huo ufisadi kwanini usiweke hapa huo ufisadi? Kwanini usubiri mpaka mh dkt Doto Biteko ndiye auweke? Wewe unaogopa nini? Acha uongo na upotoshaji wako hapa.
 
haikutaka kushinda kesi..nu michingo tu watu wapige hela..enzi za JPM kesi hizo hizo tulishinda hadi SA. Kwa sababu tulitaka kushinda
Sasa ingekua wizara Iko chini ya January mngesema alihongwa tushindwe kesi, Ili kwakuwa ilikua chini ya Biteko basi ni Malaika.

Narudia tena, CCM hawajawahi kutumbuana uwaziri sababu ya ufisadi otherwise ripoti ya CAG ingefanyiwa kazi kitambo sana.
 
Huo ni uzushi tu ulioamua kuuweka hapa.sasa wewe unaoufahamu huo ufisadi kwanini usiweke hapa huo ufisadi? Kwanini usubiri mpaka mh dkt Doto Biteko ndiye auweke? Wewe unaogopa nini? Acha uongo na upotoshaji wako hapa.
Wewe dada mbona unakuwa na kiherehere sana au ndio unatafuta bwana
 
Nakushauri kijana biteko usidanganyishwe na nafasi ya unaibu wa waziri sijui nini hivyo ni vyeo visivyokuwa na mbele wa maana kwa TANGANYIKA kwasababu havitambuliki .

Tunapata taarfa kuwa kuna mtu ameondolewa apo Ili kumuepusha kuchafuka kwa ufisadi na umepelekwa wewe kuficha aibu ya ufisadi wa zaidi ya bilion mia.....

Km kweli wewe ni mzalendo tunaomba anika ufisadi mkubwa kuwahi kutokea hapo au jiuzulu

Mtaficha kwa muda tu huu ufisadi km walivyokuwa wakificha dp world
hivi kwa akili yako,unadhani makamba ni waziri mjinga kiasi cha kufanya ufisadi wa kutisha?
 
Nakushauri kijana biteko usidanganyishwe na nafasi ya unaibu wa waziri sijui nini hivyo ni vyeo visivyokuwa na mbele wa maana kwa TANGANYIKA kwasababu havitambuliki .

Tunapata taarfa kuwa kuna mtu ameondolewa apo Ili kumuepusha kuchafuka kwa ufisadi na umepelekwa wewe kuficha aibu ya ufisadi wa zaidi ya bilion mia.....

Km kweli wewe ni mzalendo tunaomba anika ufisadi mkubwa kuwahi kutokea hapo au jiuzulu

Mtaficha kwa muda tu huu ufisadi km walivyokuwa wakificha dp world
Mkiwa mnaangalia kwa undani sana. Haya yote ya mabadiliko ya wizara, mabalozi, unaibu PM, yalianzia pale kicha cha TISS kilipoliwa! Labda Ripoti hazikutarajiwa
 
Nakushauri kijana biteko usidanganyishwe na nafasi ya unaibu wa waziri sijui nini hivyo ni vyeo visivyokuwa na mbele wa maana kwa TANGANYIKA kwasababu havitambuliki .

Tunapata taarfa kuwa kuna mtu ameondolewa apo Ili kumuepusha kuchafuka kwa ufisadi na umepelekwa wewe kuficha aibu ya ufisadi wa zaidi ya bilion mia.....

Km kweli wewe ni mzalendo tunaomba anika ufisadi mkubwa kuwahi kutokea hapo au jiuzulu

Mtaficha kwa muda tu huu ufisadi km walivyokuwa wakificha dp world
Kwanini wewe usiandike hapa....
 
Hizo kesi biteko anawekwa pembeni..yeye sio mamlaka..ndio nikasema washika mpini hawajataka kushinda sababu ndio wapigaji wa hizo hela.
 
Back
Top Bottom