nisaidieni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. T

    JamiiForums Tanzania Je, nini kitangulie Mabadiliko ya Sheria au Utashi wa Kisiasa kuhusu Uchaguzi huru?

    Kuna tatizo kubwa sana kuhusu uchaguzi huru wazi na wa haki nchi hii kiasi cha kwamba kila mwananchi amekata tamaa na suala hili. Mimi na wananchi tunajiuliza tatizo ni kukosekana kwa utashi wa kisiasa na Rais na viongozi wengine kuwa na utashi wa kisiasa wa kutoa miongozo thabiti ya walio...
  2. D

    JamiiForums Tanzania Wakuu nisaidieni, hivi zamani pia jukumu la mwanaume lilikua pia kusaidia familia ya mkewe?

    Wakuu thread tajwa izingatiwe. Hata nikijaribu kujifariji, ila ukweli unasimamia kua, kuoa kunaongeza utegemezi Kwa mwanaume. Ili limepelekea wengi , hasa tunaotoka familia duni na uwezo wa kati kutopiga hatua mara baada ya kuoa. Kuna wimbi kubwa sana la kijana wa kiume kubebeshwa majukumu...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Nisaidieni barua ya posa sample yake

    Nataka nitoe barua nikaoe sasa niachane na huyu anaenitesa bila taarifa nataka ashangae tu nmeoa mke mwngine Ili ajifunze zaid kwamba mwanaume ni mwanaume usishindane nae Kwahyo natarajia sample hapa za hizo barua maboss zangu Waadha salaam
  4. ITR

    JamiiForums Tanzania Jamani mafundi ujenzi nisaidieni hili.

    Nilikuwa nataka kusikimu nyumba yangu sasa nikamuambia fundi wangu anipigie hesabu ya vitu vinavyo hitajika,akapiga akanitumia picha ya vitu vinavyo hitajika. Lakini cha kushangaza mikanda ile ya pembeni haikuwa kwenye orodha ,ikabidi nimpigie kumuuiliza nikijua labda kasahau, lakini alicho...
  5. Msaga_sumu

    JamiiForums Tanzania Wakuu nisaidieni katika mawazo

    Wakuu kuna sehemu boss kahitaji watu wa finance na account kwa ajiri ya auditing, sasa tunafanya nahitaji kuuliza wenye experience unapomaloza auditing kuna uwezekano wa kupata ajira hapohapo katika kampuni hio? (Internal audit) Umuhimu wake ni upi??
  6. Joseph 44

    JamiiForums Tanzania NISAIDIENI UTOFAUTI KATI YA X BOX NA PS MAANA NACHANGANYIKIWA

    Kama nilivyosema ninataka nianzishe biashara ya ps ama Playstation wengi wanavyoiita ila kumekuwa na makampuni mawili yanayoproduce deki tofautitofauti za games ambayo ni PS ya Sony na X BOX ya Microsoft Sasa hapo ndo nachanganyikiwa nashindwa kuelewa ipi ni bora kuliko nyingine jamani wadau...
  7. Nyabiri

    JamiiForums Tanzania Msaada wa dawa ya kuua mzige wanaokula mazao

    Wadudu hawa wameniharibia ekari mbili za zao la mbazi tafadhali anaejua sumu ya wadudu hao anisaidie
  8. Dfw_1k

    JamiiForums Tanzania Nisaidieni kujua kwanini huyu kaka kaniganda kwa miaka minne

    Habari zenu Wana Jf naomba nieleze kwa ufupi ...Mimi ni binti WA kike ila Kuna mkaka nilikiwa nae kwenye mahusiano nikiwa sekondari ila nlimuacha baada ya kugundua alinificha kuwa alikuwa na mtoto Mara kadhaaa tangu kuachana nae amekuwa akinitafuta kwa miaka minne tokea 2020 na kusem kuwa...
  9. Forrest Gump

    JamiiForums Tanzania Nimetokea kukuikubari hii impreza xv 2012. Nisaidieni tamu na chungu zake

    Karibuni wakuu
  10. Dfw_1k

    JamiiForums Tanzania Nisaidieni kwa wote waliooa na kuolewa

    Habari zenu, Naomba kuuliza swali: Hivi mdada aliye na malengo na ndoto za kutimiza maishani mwake je, akiolewa anaweza kuzitimiza ndoto zake au ndo milango itakuwa imefungwa mazima ya kufikia ndoto zake na kubadilishwa kuwa mke na mama wa watoto
  11. U

    JamiiForums Tanzania Nimechanganyikiwa, Jana Leo Kila naegusa yupo Period, nisaidieni

    Sijawahi kukutana na kituko kilichonitokea siku ya juzi, Jana na Leo. Inabidi nifikiri mara 1000, muda wote huu sikiwahi kung'amua hili. Mke wangu aliingia period kama kawaida, tarehe zake ni hizi za 24-29. Sasa Toka Jana nimekuwa nikihangaika na michepuko. Jana nilipata mchepuko mmoja ukawa...
  12. Dfw_1k

    JamiiForums Tanzania Mimi Nina tatizo Moja, nataka kuanzisha biashara ya genge la nyanya, vitunguuu, mboga mboga ila naogopa watanichukuliaje?

    Habari zenu ndugu zangu, Mimi Nina tatizo Moja, nataka kuanzisha biashara ya genge la nyanya, vitunguuu, mboga mboga ila naona aibu kutoka na mazingira niliyopo na namna watu watanichukulia Naombe ushauri wenu?
  13. P

    JamiiForums Tanzania Nimekua nikisumbuliwa na hamu kufanya mapenzi mara kwa mara hadi sasa idadi ya wanawake ni wengi nisaidieni jamani

    Habarini wakuu mimi kijana wa miaka 27 tu lakini nahisi mpaka sasa nimeshafanya mapenzi na wanawake idadi inakaribia 50 Najiuliza kwanini hii hali inanitokea siipendi naichukia yaan mwanzo wa mwaka huu hali ilikua shwari hadi mwezi wa tisa nilikua nimefanya mapenzi na wanawake wanne tu kwa...
  14. Brojust

    JamiiForums Tanzania Wanaume wenzangu hebu nisaidieni, inawezekana mimi ni mgeni kwenye haya mambo

    Salaam wakuu. Mada hii ni strictly WANAUME sio WAKAKA Eti mwenye tattoo mweupe au mweusi, mwenye tatoo, slim fit au XXL, mwenye tattoo wa uswahilini au wa kishua, mwenye tattoo twiga au ndama. Yaani kikubwa tattoo, na tattoo yenyewe iwe inaanzia kwenye waist kushuka chini. Nawasilisha...
  15. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    JamiiForums Tanzania Wataalam wa magari nisaidieni, hii ni gari aina gani?

  16. Candela

    JamiiForums Tanzania Mimba ya mwanamke imetokea kunipenda mimi lakini naishi kwa wasiwasi. Naombeni ushauri wenu

    Iko hivi, hapa zipo 4 apartments, yangu ipo Mwanzo kabisa. Huyu mke wa mtu alikuwa analeta mazoea na ikaribu usio na ulazima. Full kunichekea kila akiniona. Anaweza kurudi na mumewe anaweza kuniita hata usiku anasema amenimiss na jamaa anasikia kabisa. Fast forward jamaa kampiga mimba...
  17. chinatown

    JamiiForums Tanzania Mazingira yapi katika mirathi ambapo vitukuu wanaweza kuwa na haki kuzidi wajukuu katika kurithi

    Hivi ni mazingira yapi katika mirathi ambapo vitukuu wanaweza kuwa na haki kuzidi wajukuu katika kurithi mali? wanasheria nisaidieni,
  18. N

    JamiiForums Tanzania Mahitaji msaada wenu wana JF nimekwama, tafadhari nisaidieni.

    Habari za muda huu wana JF. Kama kichwa kinavyojieleza, nahitaji msaada wenu wa kitaalamu. Nina boma langu ambalo nahitaji kulipaua baada ya kukaa muda mrefu bila paa. Nimejaribu kuhesabu na mafundi kadhaa ili wafike pale site na kunipa za bati mahitaji. Hata hivyo, kila mara wanaponitumia...
  19. Mr Suprize

    JamiiForums Tanzania Watu wa Sheria Nisaidieni kwenye hii ndoa ya Dada angu

    Dada angu kaolewa miaka karibia 10 Sasa , ana watoto watatu , wamejenga nyumba, na wanamiliki mashamba makubwa ambayo Yana mazao kila mwaka wanavuna. Bwana ake (shemeji) mpaka Sasa hajamtolea mahali dada angu tumejaribu kufwatilia kama family bwana shemej anapiga Kona Kona nyingi sana , Hilo la...
  20. Broadcast

    JamiiForums Tanzania Nisaidieni swali hili ndugu zangu

    Msaada wa poem hii
Back
Top Bottom