Yaani badala ya kusema aongeze ulinzi kukilinda kituo yeye anataka aondoe watu wake kipigwe vizuri? Na hiki ndo kituo pekee kilichobaki kinachofanya kazi baada ya vingine kuharibiwa na Mazayuni na Limarekani. Putin anatusaidiaje sisi watu wake huyu Beberu?
Nafanya mengi lakini ile siku ya oktoba 29, 2025 imegoma kutoka kichwani,
sitasahau kabisa, nimekata tamaa kabisa ya maisha haya chini ya jua
uzalendo wangu wa nchi hii uliishia pale! sina imani na yoyote!
Waafrika tunaroho mbaya sana,
waafrika sio watu wa kawaida kabisa ni kama kuna laana...
Sheikh anawezaje sema haya maneno nasi tukamkubalia tu? Mbona ni mkanganyiko mkubwa?
=====
JamiiCheck imefuatilia kipande hicho cha video na kubaini kuwa kimekatwa kutoka kwenye video ndefu hivyo kutokukamilisha ujumbe uliokusudiwa. Kwa kutumia Google Reverse image search imebainika video...
Wakuu salaaam..
Moja kwa moja kwenye mada
Leo nilipata kutembelewa ofisini na bibie mdogo miaka 18 hivi.
Katika moja na mbili nikatupia ndoano kumvua kimwana huyu mzuri wa sura na shape.
Ilivyo bahati ikabidi tuandae mazingira ya kula hapo hapo ofisini mida ya jioni saa mbili kasoro.
Piga...
Nimejitahidi kuacha sukari na chumvi kwa kiasi fulani ila nimeingia kwenye uraibu wa tende.
Kwa siku naweza kula 50. Meno yananiuma ila nikiziona tu roho inanianza. Nimeshindwa kuacha tende.
Wewe umeshindwa kuacha kula nini ambacho unajua kabisa hakihitajiki kiliwe kwa wingi kama unavyokila??
Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU
Leo nikiwa nimekaa nimetulia ndan, hii ni baada ya mvua kubwa kunyesha na kinikwamisha kwenda parokian, kanisan kusali
Lakini mda huo ambao nikiwa nimekwama kwenda kanisani kwa sababu ya changamoto ya baraka ya mvua nikawa nawaza ivi MUNGU MWENYEZI alitokea...
Wadau habari za muda
Mimi Sina mengi ya kusekma hapa lakini kuna ili moja naombeni ushauri wenu.
Kiukweli Mimi nimekuwa muanga wa kuwapenda wamama watu wazima na hili ni kwasababu nilianza kufanya mapenzi na mwanamke aliyekuwa ananizidi kama miaka 20 hivi sasa toka kipindi hicho naona kama...
Habari za wakati huu ndugu zangu wa JF heri ya Pasaka kwenu , Natumaini mnamalizia pasaka vema, kwa wenye changamoto poleni sana,
Ndugu zangu wakati mkiwa mnasherekea na kumalizia sikukuu kesho pia ni kazini na vibaruani pia kwa Watoto wanaenda shule,
Nimeanzisha Uzi muda umekosa wachangiaji...
Wakuu nimeliweka moyoni na jaribu kulificha ila ngoja tushee labla mawazo chanya yatapatikana. Inshort natarajia kuoa japo ndoa yenyewe inapingwa kama katiba mpya na CCM na mpingaji ni mama yangu akidai hataki nimuoe huyu binti kutokana na shughuli yake.
Huyu binti ni mwanasiasa wa chama...
Iwapo umepoteza meno yako halisi , Unashariwa kuziba mepengo kwa meno bandia ya Kisasa
Mapengo
. husababisha Meno mengine Kutoka
.Meno Kuoza
.Meno Kuhama Kwenye Nafasi zake
Meno Bandia Ya Kisasa Ya Kudumu Yapo Ya Chuma ( Ceramics) , zirconium haya yatakusaidia
-Kutafuna Chakula Vizuri...
WAkuu habari zenu. Naimba msaada wa link ya kunisaidia kudownload facebook contact nimehangaika sana nimeshindwa kama kuna mtu ana link naimba msaada wakuu
Nimeshindwa kupata Capacitor ya 9uf 450 vac kwa ajili ya Washing Machine, madukani Kariakoo zinazopatikana ni 10uf 450vac au 8uf 450vac, wapi naweza pata hii ya 9uf 450 vac?
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Mtafaruku ni Mkubwa. Huu mwaka naona unaisha vibaya Mno. Kama sitakuwa macho nyumba yangu inaweza kuvunjika.
Sorry nianze kwa Salamu maana Leo mtanifaa Sana kwa ushauri Bora.
Assalam alyekum kwa Waislam,
Tumsifu Yesu Kristo kwa Waislam.
Wapagani, salama...
Habari wanajukwaa.
Huwa sipendi kuweka mambo yangu ya mahusiano wazi lakini hili limekuwa gumu nisaidieni
Kama nilivyoandika hapo juu:
Yangu nikiwa ndogo wanawake wadogo Kwa wakubwa wamekuwa wakivutiwa kufanya ngono NAMI
Nakumbuka nikiwa mdogo kabisa na nikiwa sijui chochote, kuna Binti wa F4...
Watu wanaweza zan nazingua lakin kifupi nimechanganyikiwa sidhan kama n kweli
maana hamna ninae mdai
sifanyi kazi na sina mtu wa kuniwekea hii hela kama kweli ndio yenyewe
Iko ivi nilikopa laki 4 sehemu nilikha na kazi nayo jamaa ameniwekea amenitumia na msg ya muamala kwenda kuangalia nakuta...
Initially I was low-key loving it.
Not because it’s the right thing to do [what’s happening to them].
As a matter of principle, I don’t countenance it.
But, just out of spite, I’m Mickey D’s lovin’ it.
Walizidi mno kuchonga midomo yao kana kwamba hayo mambo yalianzia wakati wa Ngosha tu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.