nimepata

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Nimepata shida ya haraka naitoa Toyota Cluger : DFU kwa Tsh. Milioni 18 tu

    Nimepata shida ya haraka, Naitoa #Toyota Kluger FU kwa Tsh. Milioni 18 tu #Eng ; vvti 2az #Eng ; capacity 2360 #KL. ; 89600 ☎️0747744895 Karibuni
  2. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Mdude Chadema: Nimepata taarifa kuwa Ikulu wana mpango wa kunishughulikia kama enzi za mwendazake

  3. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Decoder ya Azam ni moja ya Decoder za ovyo/cheap quality ambazo nimepata zitumia

    Nimeshabadilisha remote mara 3. Remote bado mpya unabonyeza Menu yenyewe ina change program. Unaongeza sauti sometimes ina change channel. Unarudi Back inakupeleka kwenye menu. Unaweza bonyeza button hata mara tatu isi respond na hapo umeielekeza kabisa karibu na decoder siyo kwamba ipo mbali...
  4. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania A shock of my life, furaha yageuka shubiri. Be good to people on your way up, you might meet them on your way down, mwenzenu leo yamenikuta!

    Wanabodi Hiki ni kisa cha kweli, mwenzenu leo yamenikuta ya kunikuta nimepata a shock of my life! Nilikuwa na furaha na matumaini tele, mara ghafla furaha yangu ikageuka shubiri. Kisa chenyewe kilianzia miaka ya mid 1990s enzi hizo mimi ni mtangazaji nyota, naandamana na Rais Mkapa ziara za...
  5. N

    JamiiForums Tanzania Leo itakuwa mwisho kulipia bando, nimepata suluhisho la bure

    Nimeona ni ujinga kulialia kila siku sasa ni mwendo wa vpn tu nilikuwa napata shida na configuration files namalizia tu kuzi sort hapa na kuna mdau nimekutana naye instagram ni mnigeria ananisaidia Airtel leo mnaenda kupata tshs 2000 ya mwisho kwenye bando lakini bado nitakuwa hewani sana FOR...
  6. cold water

    JamiiForums Tanzania Nimepata sehemu ya kujitolea, naombeni ushauri

    Naombeni ushauri, nina mwaka sasa tangu nimalize chuo, sina kazi, sijapata hata mtaji tu wa kuanzisha biashara. Nimepata sehemu ya kujitolea lakini ni mbali na ninapoishi lazima upande gari kwenda na kurudi na ukifika stand kuelekea kazini unapanda boda tena, sijala na nimeambiwa No malipo...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Alinizungusha miaka mitatu nikajifanya nimepata ajali mbaya sana alipokuja kuniona tu nikamla

    Kuna mrembo alinizungusha miaka mitatu. Sms anajibu, story kwenye simu poa, kukutana maeneo tunakutana ila home hataki kuja. Gheto langu ningeliita tu kwa Mkapa maana ukiingia hutoki. Kuna basi la xxxxx liliwahi kupinduka na kuua watu kibao na majeruhi pia, nikamfata mshkaji wangu anafanya...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Nimepata milioni 30, mnanishauri nifanye biashara gani, mimi ni mwajiriwa, ili niweze kuacha kazi

    Wakuu habari. Nimepata milioni 30, mnanishauri nifanye biashara gani, nimechoka kufanya kazi, nataka kujiajiri Nawasilisha
  9. gimmy's

    JamiiForums Tanzania Naomba kuuziwa mbwa kwa bei ya kawaida

    Salaam wanabodi, Ndugu zangu hasa kwa wale wapenda mbwa wenzangu watanielewa uchungu wakupoteza mbwa. Leo ni siku ngumu sana kwangu kwani nimefiwa na mbwa watatu kwa mpigo ndani ya siku mbili nikahisi kuchanganyikiwa. Mbwa walionesha mwenendo usioridhisha kiafya kwa takribani kama wiki moja...
  10. N

    JamiiForums Tanzania Nilipata Mkopo lakini sikuripoti chuo. Je, wataweza kunipa mkopo tena?

    Habari zenu wapendwa natumai mko salama saana pole na changamoto za kila siku mnazopitia katika maisha. Mimi ni mwanafunzi nlie maliza form six mwaka2021 na ilipo fika wakati wa kuomba vyuo nilipata vyuo vitano na nikacomferm chuo kimoja lakni pia na mkopo nikawa NIMEPATA lakini kutokana na...
  11. Stroke

    JamiiForums Tanzania Nimepata mtoto wa kiume

    Mungu ni mwema. Siku chache zilizopita nimejaliwa mtoto wa kiume. Mama na mtoto ni wazima. Namuandalia kadi yake kabisa ya CCM. Ngoja nipunguze siasa kidogo maana nina hamu ya kumuona akigraduate na kufanya mambo yake.
  12. S

    JamiiForums Tanzania Fedha na mali nimepata, sasa natafuta mke (mchumba)

    Baada ya kumaliza chuo vipaumbele vyangu vilikuwa ni fedha na mali bahati nzuri nimetafuta na nimezipata kwa sasa nina uwezo wa kutunza familia kwa asilimia mia moja hivyo Napenda kuwatangazia wasichana wenye uhitaji wa kuolewa kwamba natafuta mke naomba tuwasiliane ili tukikubaliana na...
  13. Buti la mkoloni

    JamiiForums Tanzania Nimepata accident mapema asubuhi ya leo

    Nimepata ajali baada ya kumkwepa bodaboda nikakosa muelekeo nikagonga mti uliokuwa pemben ya barabara. Mafundi naomben makisio ya gharama ya kutengeneza hii gari, Taa mbili za upande wa kulia (juu na chini)zote zimepasuka, air cleaner box limepasuka, bonet imebonyea na kioo cha mbele kimeweka...
  14. nimechafukwa

    JamiiForums Tanzania Nimepata au nimepatikana?

    Wadau mwaka 2017 nilifunga ndoa na mpenzi wangu F niliyedumu naye kwenye mahusiano kwa miaka mitatu, Nadhani sikufanikiwa kumjua kwa undani kiivyo! Jambo linalonitatiza sana ni ishu ya pesa, mke wangu hawezi kutoa hata 100 kununua chumvi, mambo yote ya chakula, Ada,Kodi ya pango na matumizi...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Hatimae nimepata kazi ya kujishikiza

    Kazi niliiona tu kwenye site fulani inaitwa zoom nikaomba kizembe tu,last week wakaniita kwenye interview, ni wahindi fulani,leo wamenitumia email kuwa nimepata kazi na mshahara utakua laki 6 na nusu, probation ni miezi mitatu.nimeamua tu kesho nikadondoshe wino huku nikiwa naskilizia kazi...
  16. lelulelu

    JamiiForums Tanzania Nimepata connection ya kwenda kusoma nje ila sasa ninafanya kazi. Naomba ushauri

    Wakuu nafanyeje, naomba ushauri Nimepata connection kuna jamaa yangu flani yeye anasoma huko nje ananiambia wanasoma wanalipwa kila mwezi around 3M za kitanzania, ananiambia na mimi nikitaka nafasi napata. Ila tatizo mimi nimeajiriwa serikalini,na ruhusa sio rahisi kupata. Je niache kazi...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Nimepata kazi kwenye kampuni ya kuuza pedi ila naona aibu kuifanya

    Mambo job seekers wenzangu. Nimepata kazi kwenye kampuni ya kuuza pedi kama mtu wa sales. Mshahara laki 8 kabla ya makato ila naona aibu kuifanya sababu naona kama sitokuwa comfortable kuuza pedi hizo za wadada. Mnanishaurije?
  18. K

    JamiiForums Tanzania Hatimaye nimepata kazi

    Baada ya kuomba kazi humu na kutumia neno kuwa kazi iwe halali ama haramu...watu wakaogopa..lakini kotekote Cha muhimu uaminifu....Sasa nimepata kazi nashukuru Mungu...ingawa sio kwa connection za JF lakini mlio Jamiiforum mnaotafta ajira msikate tamaa..Ombeni Mungu...Msi sex ndani ya siku...
  19. Mr_Plan

    JamiiForums Tanzania Nimepata mic ya kununua lakini sina uhakika na ubora

    Wakuu katika pita pita zangu nimekutana na hii Mic je katika kazi zangu za Online TV itanifaa
  20. Auncle T

    JamiiForums Tanzania Nina laki 3, Msaada wenu kwangu ni wazo/idea yoyote ile ya kibiashara

    Capital 300k
Back
Top Bottom