Nina laki 3, Msaada wenu kwangu ni wazo/idea yoyote ile ya kibiashara

Habari zenu wapendwa
Kama nilivyo eleza apo juu Mimi ni mwanafunzi wa chuo cha maji nimebahatika kupata next offered ikiwa na maana kwamba nitarudia mtihani wa supplementary mwakani hivyo natakiwa kusubiri mwaka mzima nikiwa nyumbani.
Msaada wenu kwangu Ni wazo/idea yoyote ile ya kibiashara au ujasiria Mali wakati nikisubiri mtihani mwakani
Location: Dar es salaam
Capital: 300k
Thanks
Kaanga mihogo na kuku wa kisasa
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom