nigeria

  1. upupu255

    FALSE Damaged Iranian drone filmed in Nigeria

  2. Yoda

    Mgambo wa maadili wa Sharia wavamia lodge kutandika watu wakati wa Eid nchini Nigeria

    Mgambo wa maadili wa Sharia katika Jimbo la Katsina, Nigeria wakiwa na viboko na marungu wamevamia lodge mojawapo jimboni humo na kuanza kutandika wateja. Majimbo 12 kati ya 36 ya Nigeria yana utawala wa Sharia wa Kiislamu ambapo huwa na mgambo waitwao Hisba kuhakisha Sheria ya Kiislamu...
  3. Yoda

    Kijana wa Nigeria ajiuliza maswali magumu akiwazia hukumu ya kaburi

    "Kwa hiyo nikifariki malaika wawili watakuja kwenye kaburi langu na kuanza kuniuliza maswali kwa Kiarabu. Ikiwa nitashindwa kuelewa, watanitesa kijana wa kiYoruba kwa sababu tu ya kushindwa kuelewa Kiarabu kaburini? 😂"
  4. Beira Boy

    Tunao wajibu wa kumtangaza KRISTO waigizaji wa move za Nigeria ni mabalozi wa YESU

    Aman iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Nawasalim salam Sisi sote kama wakristo tunao wajibu mkubwa sana juu ya kumuishi na kumtangaza KRISTO katika kazi na maisha na matendo yetu KRISTO YESU ni mwana wa MUNGU aliye hai mathayo 16:15-16 Baba wa mbingun ndo katufunulia hayo...
  5. Traxtion

    Waislamu tisa waliokula mchana hadharani wakamatwa Nigeria

    #HABARI Polisi wa Kiislamu katika jimbo la Kano kaskazini mwa Nigeria, wanaojulikana kama Hisbah, wamewakamata Waislamu tisa- wanaume saba na wanawake wawili kwa kosa la kula chakula hadharani siku ya kwanza ya mfungo wa Ramadhani. Mwezi wa Ramadhani umeanza nchini Nigeria siku ya Jumatano...
  6. R

    Nigeria: Aliyekuwa waziri wa sheria, Abubakar Malami na Mwanawe Abdulaziz wanakabiliwa na Mashtaka ya Ugaidi

    Polisi wa jimbo nchini Nigeria Jumanne wamewashtaki aliyekuwa Waziri wa Sheria, Abubakar Malami, pamoja na mwanawe Abdulaziz, kwa makosa matano yanayohusiana na ugaidi na umiliki wa silaha, miezi kadhaa baada ya taasisi ya kudhibiti uhalifu wa kifedha kuwafungulia mashtaka ya utakatishaji wa...
  7. R

    Jeshi la Nigeria limefanikiwa kumuua Kamanda wa Boko Haram, Abu Khalid

    Jeshi la Nigeria lilitangaza kuwa limefanikiwa kumuua kamanda muhimu wa kundi la kigaidi la Kiislamu, Boko Haram, katika operesheni ya usiku iliyofanyika jimbo la Borno. Abu Khalid alikuwa miongoni mwa viongozi wakuu wa Boko Haram, kundi linaloendesha shughuli zake zaidi kaskazini mwa Nigeria...
  8. R

    Waziri wa zamani wa Mafuta Nigeria afunguliwa Kesi ya rushwa London kwa tuhuma za Maisha ya kifahari

    Aliyekuwa Waziri wa Rasilimali za Mafuta wa Nigeria, Diezani Alison-Madueke, amefikishwa mahakamani jijini London akikabiliwa na tuhuma za kupokea rushwa zenye thamani ya mamilioni ya pauni kwa njia ya fedha taslimu, mali za kifahari na matumizi ya majengo ya gharama kubwa kutoka kwa...
  9. ELI COHEN

    VIDEO: Wamama wakikristu wakilia kwa uchungu baada ya ndugu na jamaa zao 177 kutekwa na kikundi cha itikadi kali huko kaskazini mwa nigeria

  10. Waufukweni

    AET | Nigeria 0-0 Morocco (Pen 2-4) | AFCON 2025 | Nusu Fainali | Stade Prince Moulay Abdallah

    Nigeria vs Morocco katika Nusu Fainali ya AFCON 2025 mchezo uliopangwa kufanyika kwenye Stade Prince Moulay Abdallah, Rabat ni pambano la kihistoria kati ya nchi mbili kuu za soka barani Afrika ambazo zote zimefika kwenye hatua hii bila kupoteza mechi yoyote katika mashindano haya. Nigeria ina...
  11. W

    Wamorocco wanunua tiketi zote kwenye mechi dhidi ya Morocco na Nigeria AFCON

    Mashabiki wengi wa timu ya Taifa ya Nigeria wanahofu ya kukosa nafasi ya kuingia uwanjani kuiunga mkono timu yao hii leo , kwa sababu mashabiki wa Morocco wamenunua tiketi zote. Hii sio mara ya kwanza kwa Morocco kufanya hivyo, walifanya hivyo mwaka jana wakati wa fainali ya timu ya wanawake...
  12. M

    Bondia Anthony Joshua apata ajali Nigeria, wawili wafariki dunia

    Bondia maarufu wa Uingereza na Nigeria,Anthony Joshua amepata ajali ya barabarani katika eneo la Makun, jimbo la Ogun, nchini Nigeria. Ajali hiyo imetokea katika barabara kuu ya Lagos-Ibadan, ambapo gari lake aina ya Lexus Jeep liligongana na gari lingine ambalo lilikuwa limesimama. Joshua...
  13. stakehigh

    Jux anaigiza kwenye tamthilia moja Nigeria

  14. R

    Trump anaisaidia Nigeria kuwaangamiza Boko Haram kwa bile wanaua watu

    Anachofanya ni Haki? Kama ni haki dunia imuunge mkono na atembelee na vinchi vinginevyo ambavyo vinaua kubaki madarakani.
  15. fimboyaukwaju

    Hassan Mwakinyo ameibuka mshindi kwa knockout (KO) dhidi ya mpinzani wake, Eribo kutoka Nigeria, baada ya kumaliza pambano mapema raundi ya pili

    Wadau hivi hili pambano la mwakinyo ni kweli au kiini macho?
  16. Mad Max

    AFCON 2025 Group C kuingia Round ya 16 Watapita Nigeria na Tunisia

    Sidhani kama ili nalo linahitaji kubet, ila Nigeria na Tunisia wataingia round ya mtoano. Hao wengine wote mwaka mpya wanakula wakiwa kwao.
  17. Lycaon pictus

    Marekani wamewashambulia "magaidi" wa Nigeria

    Marekani kwa kushirikiana na Serikali ya Nigeria, imewashambulia magaidi huko kaskazini magharibi mwa Nigeria. Trump anadai anapambana na magaidi wanaowashambulia wakristo wa Nigeria. Serikali ya US imedai kuwa mashambulizi hayo ni endelevu iwapo magaidi hawataacha njia zao ovu.
  18. M

    Zaidi ya shilingi bilioni 100 zilipatikana nyumba mojawapo ya mkuu wa usalama wa taifa Nigeria, alifukuzwa kazi bila hukumu, bado anafaidi maisha

    Viongozi wa Afrika kwenye mali za umma wawekewe restrictions kali kwasababu default settings wanawaza UPIGAJI Mnamo Aprili 2017, Taasisi ya kupambana na rushwa wa Nigeria iligundua kiasi kikubwa cha fedha taslimu katika ghorofa moja eneo la Ikoyi, Lagos, takribani dola milioni 43 za Marekani...
  19. Its Tesha

    FT Nigeria 2-1 Tanzania| AFCON 2025| Group Stage| Group C| Match 1 of 3|

    Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars, inaendelea kukumbwa na wakati mgumu nchini Morocco baada ya kuruhusu bao moja hadi kufikia dakika ya 40 ya kipindi cha kwanza katika mchezo dhidi ya Nigeria. Ikumbukwe kuwa msafara wa Taifa Stars unaongozwa na Naibu Waziri wa Wizara ya Habari, Utamaduni...
  20. BIG BROTHER ALEX

    Tetesi: Show ya Diamond na Jux Nigeria imebuma, spana na utu, spana ziendelee

    Katika Hali ya kushangaza watu wamejiuliza hivi wanigeria nao wamesusa? Ukitoa waandishi wa habari, na familia ya mke wa jux uwanja unabaki holaaa Yani unaweza hata wahesabu, na ukagawa chai na vitumbua vinne na bado ukarudi navo. Muheshimiwa waziri na msemaji wetu girishoni tunaomba show...
Back
Top Bottom