Tembea na ID mbili.Mi nataka kubadili picha ya kwenye leseni ya udereva.
Nilikuwa sivai miwani
Sura haina michirizi
Saa hii napata shida kila nikisimamishwa na afande barabarani, wananituhumu natumia leseni isiyo yangu...😡.
Tembea na ID mbili.
Kama hutajali tupia kapicha ka zamani tukufananishe😀Kitambulisho ambacho kinashabihiana na taswira yangu ya sasa ni hizi pasi za kusafiria zenye namba TAE.......
Sasa mizunguko ya mjini niwe natembea na kasha la kuvuka mipaka....!!! Kwangu hii ni adhabu.
Vilivyobakia vyote vina taswira za kigoli.
Wangeweka mfumo kila ukirenew ubadili taswira......! Ombi langu maana askari wa barabarani wananituhumu bila kosa.
Kama hutajali tupia kapicha ka zamani tukufananishe😀
Bora yako hata wewe unayo hiyo IDWadau wakati napiga picha miaka iyo ilopita nilikua na karangi keusi sasa nimekunywa maji mengi kama Rey kigosi nimekua na karangi keupe, ukitazama picha ile na sasa utakataa sio mimi, vipi upo uwezekano wa kubadili picha nida?
Daaaahh acha tuu mimi nilidanganya umri 2005 nakata leseni.nilikuwa under 20 kabisa..Mi nataka kubadili picha ya kwenye leseni ya udereva.
Nilikuwa sivai miwani
Sura haina michirizi
Saa hii napata shida kila nikisimamishwa na afande barabarani, wananituhumu natumia leseni isiyo yangu...
Daaaahh acha tuu mimi nilidanganya umri 2005 nakata leseni.nilikuwa under 20 kabisa..
Sasa kila ukiend kurenew picha ni hiyo hiyo tuu.sina hta ndevu wakati sshv nna ndevu km hamza
Maji tu Ndug kunywa Lita 5 kila siku uone unakua mweupe peKwahiyo umetumia mkorogo mkuu? Aisee
Inawezekana ila Kuna malipo kidogoWadau wakati napiga picha miaka iyo ilopita nilikua na karangi keusi sasa nimekunywa maji mengi kama Rey kigosi nimekua na karangi keupe, ukitazama picha ile na sasa utakataa sio mimi, vipi upo uwezekano wa kubadili picha nida?
Weka picha tuone hapa usilete manenoWadau wakati napiga picha miaka iyo ilopita nilikua na karangi keusi sasa nimekunywa maji mengi kama Rey kigosi nimekua na karangi keupe, ukitazama picha ile na sasa utakataa sio mimi, vipi upo uwezekano wa kubadili picha nida?