Ni Ni's Treehouse is a preschool television series and was produced jointly by The Itsy Bitsy Entertainment Company and GMTV. It was originally aired on TLC and GMTV from 2000 until 2003.
Nimekua nikitamani sana kuona wachezaji wenye asiri ya kiarabu katika nchi yetu bila mafanikio sijui kuna tatizo gani, kuna wakati simba walijaribu kidogo kwa golikipa ayoub na sijaona muendelezo wake,
Je hii ni kutokana na mazingira ya hali ya hewa, uchumi kuwa mdogo kwa vilabu vyetu hivi vya...
Wakuu,
Hivi ni lini sasa wanasiasa wa Kibongo watafahamu kwamba hizi drama zao tunazijua na kwamba zimeshapitwa na wakati
Mimi binafsi sijawahi kuona nchi zilizoendelea kama Marekani mwanasiasa anabebwa kama hivi. Kwanini hizi drama za wanasiasa kutaka kuonekana wanapendwa zinakuwa huku kwa...
ITHIBATI NI NINI NA ITAKIWAJE KUFANYA KAZI?
Kumekuwa na mazungumzo mengi mtandaoni kuhusiana na bodi ya Ithibati ya waandishi wa habari, kwenye Kikao cha dharura cha @speshokabwanga Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania Deodatus Balile anaelezea ithibati ni nini na inafanyaje kazi.
Full...
Mwanamke umekutana na me, kakuelewa mkakubaliana muwe kwenye mahusiano, mwanaume ana kuhudumia kama mke hata hajakuoa (wenzenu huo ni uwekezaji wanafanya) wewe sasa kumbe bado unapuyanga na vya duniani, mwisho wa siku unafumwa na usaliti mtu anabaki kujiuliza kwani huyu alipungukiwa nini mbona...
Amri 10 za Mungu ni Nini
Amri za Mungu ni nini
Amri za Mungu ni orodha ya amri kuu 10 za Mungu katika Biblia.
Za kwanza nne zinamhusu Mwenyezi Mungu mwenyewe, na zile zinazofuata mpaka mwisho zinahusu jirani, yaani binadamu wengine kuanzia wazazi.
Amri hizo zimeoneshwa katika kitabu cha Kutoka...
Jaamaa kanikodi picha linanaza jamaa ametoa laki sita, Haya
Pale kivukoni polisi wote wanampa ushirikiano mpaka naogopa..
Hii ni Nini jamani au mafuta ya watu
Ijumaa Karim.
Mara kadhaa nimekuwa nikiona kwenye sherehe mbalimbali na hata wakati mwingine kusikia kwa waliona sherehe ambazo sikubahatika kuudhuria haidha kwa kutoalikwa au vinginevyo wakisifu ubora na ustadi wa sherehe husika huku wakichagiza kwa umwagikaji wa Champagne na vitu kadhaa...
Wasalaamu Wapendwa.
Kuna changamoto nimeanza kuiona toka Jana,nilikuwa natuma sms kwa wateja wangu ambao nawaombea mikopo kwenye bodi ya mikopo na elimu ya juu(Heslb).
Wakati nawasiliana nao na kuwaambia nitumie namba ya NIDA,sms ikiwa na neno NIDA haiendi kabisa, naomba watu wa TCRA...
Wote ni wachumia tumbo,
Wote Ni matapeli,
Wote ni wanufaika wa mfumo mbovu uliopo,
Hawa Wana tofauti gani na CCM yote? Au Wana tofauti gani na wakina Lowassa, Sumaye, Fatma Karume&.com na magenge yote ambayo baada ya maslahi yao kuguswa ndio waliibuka kujifanya watetezi wa wananchi...
Mambo vipi wadau! Leo ni siku ya kipekee kwani tunasubiri fainali ya FIFA Club World Cup 2025 kati ya Chelsea na Paris Saint-Germain (PSG) itakayochezwa saa nne usiku (10:00pm EAT) kwenye dimba la MetLife Stadium, New Jersey.
Hii ni mechi ya kihistoria, kwani ni fainali ya kwanza kati ya timu...
Je ni vitu gani vinaashiria uanaume na ni vipi vinaharibu uanaume?
Kwangu mimi naona mwanaume, pamoja na kua na maumbile ya kiume, mwanaume anathibit hisia zake na kutumia mantik/ akili yake. A man can set aside his emotions and lust and using his logic/ and intelligence on making decisions...
Waziri mkuu hagombei tena na makamu wa Rais hagombei tena. Spika kaogopa mpaka kugawanya jimbo.
Rais kaogopa mpaka kumfunga Lissu na kuwaletea zengwe Chadema ! Nini kimemsibu
Tanzania ya leo bila NBC premier league, maisha hayachangamsihi tena. SIasa za uchaguzi ndiyo zimekuwa za hovyo kabisa; tuna CCM inayoenedsha mambo yao kwa mabavu kifalme na CHADEMA inayoendesha mambo yao kipatapotea bila malengo thabiti yenye mvuto - lengo lao CHADEMA ni kuiondoa CCM...
Nimejeuka kusoma soma Biblia kwa hii miezi michache, kuna jambo kama limeitekenya akili yangu. Kwanza, kwenye agano la kale, waliopewa uongozi wote waliishia kumjengea Bwana Madhabahu. Nuhu, Abrahamu, Daudi etc etc
Na kwenye agano la kale, 'Madhabahu' imetajwa sana. Katika kusoma kwangu, kwenye...
Kichwa cha habari chajitosheleza...
1. Bei sio kali sana
2. Muonekano ni luxury sana
3. Space ndani ya kutosha
Ila wamiliki ni wachache sana shida ni nini?
Chafya ni mfumo wa ulinzi wa mwili kusaidia kuweka njia ya hewa safi.
Tunapiga chafya kwa sababu mwili unajaribu kuondoa vitu visivyotakiwa kwenye pua au njia ya hewa, kama vile:
1. Vumbi, vijasumu au mzio (allergens) – mwili hutambua vitu hivi kama tishio na hutuma ishara kwa ubongo ili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.