NHC K'NJARO YAIPIGA JEKI JK.NYERERE SEC MIFUKO 50 UKARABATI WA SHULE
25 Julai 2024
Na Mwandishi Wetu,Moshi
Shirika la Nyumba la Taifa (NHC)mkoani Kilimanjaro limetoa msaada wa mifuko 50 ya simenti yenye thamani ya Tshs. 1,000,000/= kwa ajili ya ukarabati wa Shule ya Sekondari J.K Nyerere...
Kuna watu tuna nusa kama mbwa.
Nishanusa kitu, huu ni mchezo wa kitoto umefanywa na wenye vyeo.
Haiingii akilini aiseee. Uue kiwanda uzalishe nyumba.
Kihesabu hapo ni sawa na 10-90 jibu linakuwa ni big NEGATIVE.
Nimesoma hapa JF kuhusu NHC kununua eneo la urafiki kwa njia ya Mnada kwa Shilingi Bilioni 3, nikahisi labda wamekosea au walimanisha Dola Bilioni 3, nilipoenda kwenye kurasa rasmi za NHC nikakutana na taarifa ileile.
Taarifa ya Ununuzi - NHC yanunua eneo la Urafiki lenye ekari 50 na majengo...
Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) limenunua rasmi eneo la Urafiki na majengo yaliyokuwa chini ya Kampuni ya Urafiki wa Tanzania na China (Tanzania - China Friendship Textile CO LTD) Jijini Dar es Salaam.
Meneja wa Mawasiliano kwa Umma wa Shirika la Nyumba la Taifa, Muungano Saguya ameyasema hayo...
Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) la Tanzania, lililoanzishwa kwa lengo mapana la kuboresha upatikanaji wa makazi, pamoja na malengo ya kuhakikisha kila Mtanzania anapata nyumba tena ya bei nafuu. Lakini ni ukweli mchungu kubwa NHC ni shirika ambalo limeshindwa kufikia uwezo wake. Ingawa...
Kwenu shirika la nyumba la taifa sasa ni wakati wa kwenda na wakati vijumba vyenu pale katikati ya jiji la Mwamza jamani vinatia aibu Dunia ya leo vinaonekana kama vibanda tu.
Ni muda Sasa tulete wawekezaji hivyo vibanda tuvipige nyundo yasimamishwe maghorofa kama ya NSSF jiji lipendeze yangu...
Hi,
Kwa yeyote anaeweza kunisaidia kupata connection ya nyumba NHC mkoa wa Dsm, nahitaji kupanga katika hizi nyumba mda wowote kuanzia sasa. Naombeni msaada wenu please, naamini wapo wapangaji ambao wana plan ya kutoka katika hizi nyumba kwa sababu mbali mbali.
Eneo langu la kazi ni Posta...
WAZIRI ADAIWA KUMWAGA NOTI KUNUNUA KAWE BEACH, NHC YASEMA HAIJAUZWA NI MALI YAKE NA KAMPUNI YA DUBAI
WAZIRI mmoja mwandamizi, anadaiwa kuibua hali ya sintofahamu kwa wapangaji wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) wa eneo la Kawe Beach, kwa kuwalipa mamilioni ya fedha ili waondoke kupisha...
Kutokana na kusuasua kulipwa kwa madeni linalowadai wateja wake, Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) limekuja na kampeni iliyobeba mambo nane katika kuhakikisha inakusanya madeni hayo ikiwemo kuwatangaza katika vyombo vya habari.
Mpaka sasa shirika hilo linawadai wapangaji wake Sh23 bilioni fedha...
Mkurugenzi wa Shirika la Nyumba la Taifa, Hamad Abdallah amesema uamuzi huo umekuwa na matokeo hasi kwa miradi iliyopo Dar es Salaam zikiwemo nyumba na mali nyingine zilizokuwa zikitumiwa na Serikali na Maafisa wake zimeachwa wazi.
Kati ya Miradi iliyotajwa kuingia hasara ni pamoja na wa...
kuna watu wameishi NHC miaka zaidi ya 50, wanalipa kodi ndogo na hela wanazopata wanakula, hawajengi. ukitaka kuwaondoa wanasema twende wapi? mnatuonea rais tusaidie, mara mimi nimeishi miaka yote hapa mnataka niende wapi? tunahitaji NHC itoe semina kwa wapangaji wote kama ifuatavyo:
1...
Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) limetoa ufafanuzi kuhusu taarifa za wapangaji wa majengo ya nyumba za shirika hilo waliopo Kariakoo Jijini Dar es Salaam kutoa malalamiko kuwa wanahamishwa pasipokuwa na mazungomzo yoyote baina ya oande zote mbili.
Hii hapa taarifa kamili kutoka NHC…...
Baadhi ya Wafanyabiashara na wakazi waliopanga kwenye majengo ya Shirika la Nyumba la Taifa (National Housing Corporation - NHC) mitaa ya Kariakoo wamelalamika kupewa ‘notisi’ ya miezi itatu wakitakiwa kuhama kwenye majengo hayo pasipokuwa na mazungumzo yoyote.
Wafanyabiashara hao waliopo kwene...
Kuna tetesi kwamba NHC Shirika La Nyumba wameanza kuwapa notisi ya kuhama majumba na fremu ya biashara jijini Dar Es Salaam kupisha nyumba hizi kubomolewa na kujengwa upya.
Kwa yeyote mwenye taarifa sahihi atujuze. Website ya NHC haina taarifa zozote.
Once again, Msasani Village tùmepatwa na pigo kubwa. Huu ni mfululizo wa vifo vya kaka zetu, dada zetu na baba na mama zetu.
Leo nasikitika kuujulisha umma juu ya kuondokewa ña mzee wetu Pius Gogadi. Pius Gogadi alikuwa ni msadifu majengo mkuu wa shirika la nyumba la taifa NHC
MKE wa maremu...
Habari wakuu
Natafuta appartment ya NHC kati kati ya mji kuanzia magomeni, Upanga, Mikocheni na maeneo yoyote jirani na Mjini
Piga 0713- 039 875 kama unafahamu utaratibu
Kuna dogo langu anajitolea mahali flani kwenye kampuni ya waturuki,wanampa laki 5 kwa mwezi ambayo haina makato yoyote yale.kaniomba ushauri aende kwenye interview ya hawa nhc huko Daslamu au apotezee?
Nafasi aliyoitiwa huko nhc ni temporary sales representative, so anataka kujua huko nhc kwa...
Shirika la nyumba za Taifa (NHC) limelenga kutumia zaidi ya Sh460 bilioni kwa ajili ya ujenzi wa nyumba 5,000 nchini, huku asilimia 50 ya nyumba hizo ikitegemewa kujengwa eneo la Tanganyika Packers jijini Dar es Salaam.
Mradi huo uliopewa jina la Samia Housing Scheme unatarajiwa kuanza...
Juzi kati nilipita maeneo ya kawe nikashuhudia majengo ya maghorofa yakiwa magofu yakionyesha hali ya kutelekezwa, kuulizia nikaambiwa ni majengo ya NHC.
Hivi ni kwa nini pesa za umma zitumike kuanzisha miradi ambayo haifiki mwisho ili kuleta tija na wala hakuna mtu yoyote anayewajibika kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.