Waziri adaiwa kumwaga noti kununua Kawe beach, NHC yasema haijauzwa ni mali yake na kampuni ya Dubai

peno hasegawa

JF-Expert Member
Feb 24, 2016
12,830
21,460
WAZIRI ADAIWA KUMWAGA NOTI KUNUNUA KAWE BEACH, NHC YASEMA HAIJAUZWA NI MALI YAKE NA KAMPUNI YA DUBAI

WAZIRI mmoja mwandamizi, anadaiwa kuibua hali ya sintofahamu kwa wapangaji wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) wa eneo la Kawe Beach, kwa kuwalipa mamilioni ya fedha ili waondoke kupisha ujenzi wa hoteli yake ya kitalii.
Inadaiwa, wapangaji wanaopinga kuondolewa eneo hilo la ufukweni mwa Bahari ya Hindi, wamekuwa wakitishwa na baadhi yao kubomolewa nyumba wanazoishi huku vitu vyao vikiwa ndani.

Madai haya yamekuja hivi karibuni kutoka kwa baadhi ya wakazi wa eneo hilo walioeleza kuwa, katika kutekeleza azma yake ya kulitwaa eneo la ufukwe, waziri huyo (jina lake tunalihifadhi kwa muda) anamtumia mwanaye mkubwa wa kiume pamoja na msaidizi wake wa karibu.

Inadaiwa, yeye mwenyewe waziri, alilazimika kwenda eneo hilo kuonana na mmoja wa wapangaji aliyekuwa amegoma kuhama licha ya kuwekewa mamilioni ya fedha mezani, hivyo kwa sababu ya kugoma, nyumba aliyokuwa akiishi ilibomelewa mapema asubuhi huku vitu vyake vikiwa ndani.

Taarifa zaidi zinadai kuwa baada ya kubomelewa makazi yake, mpangaji huyo alipiga mwano huku akitishia kukimbilia mahakamani na kuwaita waandishi wa habari wa chombo kimoja na taarifa hizo zilipomfikia waziri, haraka alifika Kawe Beach kuonana na mpangaji huyo na kuahidi kumuongeza mamilioni zaidi ya fedha ili apishe kwa amani.
Mmoja wa wapangaji wa NHC katika eneo hilo ambaye naye amekutwa na mkasa huo, amesema yeye ni mpangaji wa NHC wa muda mrefu na ameishi eneo hilo miaka mingi lakini amekubali kuondoka kwa sababu hawezi kushindana na wakubwa.

“Mimi nina miaka mingi sana eneo hili, nimekuwa mpangaji wa NHC kwa miaka mingi, lakini sasa amekuja mkubwa anataka tuondoke, utake usitake utaondoka hivyo bora ukubali kuchukua hizo fedha uondoke kwa sababu kubishana naye ndiyo kama huyo (anamtaja jina) aliyebomolewa nyumba asubuhi asubuhi huku kila kitu chake kikiwa ndani. Ni unyama kweli kweli lakini ndiyo wakubwa, usibishane nao.

“Unaona pale palipozungushiwa uzio wa mabati, hapo tayari ni mali yake, mimi nasubiri tu aniingizie hela yangu kama alivyosema niondoke.

“Yule (anamtaja jina) aligoma kuondoka. Unajua waziri anamtumia mwanae mkubwa wa kiume anaishi (anataja eneo analoishi) kusimamia mambo yake pamoja na msaidizi wake, sasa walimwambia watampa milioni 300, akagoma, wakaja wakavunja nyumba huku kila kitu chake kikiwa ndani, jamaa akaanza vurugu.

“Akatishia kwenda mahakamani akaita na waandishi wa habari, habari zikamfikia waziri, akafika haraka akaonana na yule bwana akampa milioni 100 za usunbufu na akamwambia badala ya milioni 300 atampa milioni 500 yaishe aondoke, ndiyo akatulia.

“Wale waandishi walizungumza wakaondoka, ila kulikuwa na kibao tayari kimewekwa kwenye huo uzio, baada ya zile vurugu na kutishia mambo ya mahakamani kibao kile kiliondolewa, sasa wamezungushia mabati tu lakini hakuna kibao. Wanaojua sheria za ujenzi hiyo ni kazi yao,” alidai mkazi wa eneo hilo aliyezungumzia sakata hilo ambaye naye jina lake tunalihifadhi.

Uchunguzi umeonyesha kuwa eneo lililozungushiwa mabati kama ishara ya kuwepo shughuli za ujenzi katika ufukwe huo wa Kawe lipo katikati ya Hoteli ya Merridian na Kawe Beach na moja ya nyumba ambayo mpangaji wake anasubiri kulipwa fedha zake ili aondoke ipo katika kiwanja namba 711/1, Kawe.
Meneja Habari na Uhusiano wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) Muungano Saguya
Alipoulizwa jana Meneja Habari na Uhusiano wa NHC, Muungano Saguya kuhusu madai hayo alisema siyo ya kweli kwa sababu eneo hilo la ufukwe wa Kawe halijauzwa na kwamba linamilikiwa na NHC na Kampuni ya Dubai.
Saguya alisema awali eneo hilo lilikuwa la Tanganyika Packers, lakini hivi sasa NHC inalimiliki pamoja na Kampuni ya Dubai ambayo wakati wa ubinafsishaji ililinunua lakini upande wake wa Magharibi haujaanza kutumika hivyo ili lisikae tu kuna mtanzania amepangishwa.

“Hilo eneo ulilokuwa umesema nimefuatilia, hilo ni eneo la Shirika la Nyumba la Taifa. Unafahamu eneo la Tanganyika Packers ni eneo ambalo Shirika la Nyumba la Taifa linamiliki pamoja na Kampuni ya (inaitaja jina lakini tunalifadhi kwa sababu maalumu.) ya Dubai kwa sababu wao wakati wa ubinafsishaji walinunua eneo hilo.

“Kwa sababu hatujaanza kutumia upande wa Magharibi wa eneo hilo la Kawe, tumeanza kujenga zile nyumba kama ulivyoona. Eneo hilo ili lisikae tu idle kuna mtanzania alikuwa ameomba apangishwe kwa muda ili atengeneze entertainment, yaani atengeneze sehemu kwa ajili ya watu kufanya entertainment. Michezo michezo, sehemu za watu kufanya starehe tofauti tofauti.

“Kwa hiyo akawa amepewa miezi 24 kuanzia Januari mwaka huu ya kuweza kufanya uendelezaji wa eneo hilo kwa miezi hiyo 24 hadi kufikia Disemba, 2024 awe amejenga na kuanza uendeshaji wa biashara hiyo ya entertainment katika eneo la Kawe, kiwanja namba 711/1 kama ulivyouliza. Siyo 71 ni 711/1.

“Sasa kwa mujibu wa makubaliano tuliyofanya na huyu mwekezaji (anataja jina tofauti) ambaye ndiye tumempangisha eneo hilo, ameelekezwa kwa mujibu wa makubaliano tuliyowekeana naye mkataba ni kwamba ameambiwa ajenge majengo ambayo si ya kudumu.Yaani ajenge structure ambazo si za kudumu ili kuliruhusu shirika kufanya uendelezaji pale itakapohitajika.

“Na kwamba kuanzia Januari, 2025 shirika litaanza kuchukua kodi ya pango katika eneo hilo, takribani Shilingi milioni sita kwa mwezi.

“Kwa hiyo kimsingi ni kwamba baada ya kulipa amana ya pango ya miezi mitatu, ambayo inafikia Shilingi milioni 21.2 ndiyo shirika likamruhusu sasa kuanza ujenzi huo… kwa hiyo hali ndiyo iko hivyo,” alisema Saguya.

Alipoulizwa kuhusu madai ya wakazi wa eneo hilo ambao ni wapangaji wa NHC kulipwa mamilioni ya fedha na waziri ili kupisha ujenzi wa hoteli yake ya kitalii, Saguya alisema huo ni uvumi uliokuwa unaenezwa tu na kwamba alituma watu wake wa NHC Mkoa wa Kinondoni kwenda kuangalia kinachosemwa, na wao wakamrudishia taarifa aliyoitoa kwa Tanzania PANORAMA Blog.

TANZANIA PANORAMA BLOG ITARIPOTI KWA KINA SAKATA HILI IKIWA NI PAMOJA NA UNDANI WA MADAI YA WAPANGAJI WA ENEO HILO KUSHINIKIZWA NA WAZIRI KWA FEDHA NA MABAVU KUONDOKA, HISTORIA YA ENEO HILO LA UFUKWE WA KAWE KABLA YA KUPEWA NHC NA MABADILIKO YA MATUMIZI YALIYOFANYWA.
 
Hivi Nyumba ya Rais mstaafu anayopewa na Serikali ni lazima aishi yeye na familia yake au anaweza kukodisha ? lile Jumba pembeni ya Kawe beach la Rais mstaafu alilopewa na Rais JPM naona limepoa sana kama vipi Mh.huyo aruhusiwe kulikodisha kwa Wawekezaji maana ni hekalu la hatare sana na lipo eneo la mpango mkakati kibiashara
 
Sasa mtu ni mpangaji hakuna Cha maana unafanya unaambiwa ondoka tena Kwa noti hutaki wewe unakuwa na shida gani?

Akiwekeza mzungu shida,akiwekeza wa kwenu shida yaani maskini ni mizigo sana

Miradi yote ya NHC imeanza upya ikiwemo Kawe Seventh Eleven.

Pisheni Shirika liingize pesa maana Wana sera Mpya ya Ubia na private sector na Hakuna mahala Serikali imekataza Waziri kufanya biashara.
 
Hivi Nyumba ya Rais mstaafu anayopewa na Serikali ni lazima aishi yeye na familia yake au anaweza kukodisha ? lile Jumba pembeni ya Kawe beach la Rais mstaafu alilopewa na Rais JPM naona limepoa sana kama vipi Mh.huyo aruhusiwe kulikodisha kwa Wawekezaji maana ni hekalu la hatare sana na lipo eneo la mpango mkakati kibiashara
Anaweza lipiga bei au mbele ya safari vitukuu watafaidi eneo prime la Biashara safi kabisa
 
WAZIRI ADAIWA KUMWAGA NOTI KUNUNUA KAWE BEACH, NHC YASEMA HAIJAUZWA NI MALI YAKE NA KAMPUNI YA DUBAI

WAZIRI mmoja mwandamizi, anadaiwa kuibua hali ya sintofahamu kwa wapangaji wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) wa eneo la Kawe Beach, kwa kuwalipa mamilioni ya fedha ili waondoke kupisha ujenzi wa hoteli yake ya kitalii.
Inadaiwa, wapangaji wanaopinga kuondolewa eneo hilo la ufukweni mwa Bahari ya Hindi, wamekuwa wakitishwa na baadhi yao kubomolewa nyumba wanazoishi huku vitu vyao vikiwa ndani.

Madai haya yamekuja hivi karibuni kutoka kwa baadhi ya wakazi wa eneo hilo walioeleza kuwa, katika kutekeleza azma yake ya kulitwaa eneo la ufukwe, waziri huyo (jina lake tunalihifadhi kwa muda) anamtumia mwanaye mkubwa wa kiume pamoja na msaidizi wake wa karibu.

Inadaiwa, yeye mwenyewe waziri, alilazimika kwenda eneo hilo kuonana na mmoja wa wapangaji aliyekuwa amegoma kuhama licha ya kuwekewa mamilioni ya fedha mezani, hivyo kwa sababu ya kugoma, nyumba aliyokuwa akiishi ilibomelewa mapema asubuhi huku vitu vyake vikiwa ndani.

Taarifa zaidi zinadai kuwa baada ya kubomelewa makazi yake, mpangaji huyo alipiga mwano huku akitishia kukimbilia mahakamani na kuwaita waandishi wa habari wa chombo kimoja na taarifa hizo zilipomfikia waziri, haraka alifika Kawe Beach kuonana na mpangaji huyo na kuahidi kumuongeza mamilioni zaidi ya fedha ili apishe kwa amani.
Mmoja wa wapangaji wa NHC katika eneo hilo ambaye naye amekutwa na mkasa huo, amesema yeye ni mpangaji wa NHC wa muda mrefu na ameishi eneo hilo miaka mingi lakini amekubali kuondoka kwa sababu hawezi kushindana na wakubwa.

“Mimi nina miaka mingi sana eneo hili, nimekuwa mpangaji wa NHC kwa miaka mingi, lakini sasa amekuja mkubwa anataka tuondoke, utake usitake utaondoka hivyo bora ukubali kuchukua hizo fedha uondoke kwa sababu kubishana naye ndiyo kama huyo (anamtaja jina) aliyebomolewa nyumba asubuhi asubuhi huku kila kitu chake kikiwa ndani. Ni unyama kweli kweli lakini ndiyo wakubwa, usibishane nao.

“Unaona pale palipozungushiwa uzio wa mabati, hapo tayari ni mali yake, mimi nasubiri tu aniingizie hela yangu kama alivyosema niondoke.

“Yule (anamtaja jina) aligoma kuondoka. Unajua waziri anamtumia mwanae mkubwa wa kiume anaishi (anataja eneo analoishi) kusimamia mambo yake pamoja na msaidizi wake, sasa walimwambia watampa milioni 300, akagoma, wakaja wakavunja nyumba huku kila kitu chake kikiwa ndani, jamaa akaanza vurugu.

“Akatishia kwenda mahakamani akaita na waandishi wa habari, habari zikamfikia waziri, akafika haraka akaonana na yule bwana akampa milioni 100 za usunbufu na akamwambia badala ya milioni 300 atampa milioni 500 yaishe aondoke, ndiyo akatulia.

“Wale waandishi walizungumza wakaondoka, ila kulikuwa na kibao tayari kimewekwa kwenye huo uzio, baada ya zile vurugu na kutishia mambo ya mahakamani kibao kile kiliondolewa, sasa wamezungushia mabati tu lakini hakuna kibao. Wanaojua sheria za ujenzi hiyo ni kazi yao,” alidai mkazi wa eneo hilo aliyezungumzia sakata hilo ambaye naye jina lake tunalihifadhi.

Uchunguzi umeonyesha kuwa eneo lililozungushiwa mabati kama ishara ya kuwepo shughuli za ujenzi katika ufukwe huo wa Kawe lipo katikati ya Hoteli ya Merridian na Kawe Beach na moja ya nyumba ambayo mpangaji wake anasubiri kulipwa fedha zake ili aondoke ipo katika kiwanja namba 711/1, Kawe.
Meneja Habari na Uhusiano wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) Muungano Saguya
Alipoulizwa jana Meneja Habari na Uhusiano wa NHC, Muungano Saguya kuhusu madai hayo alisema siyo ya kweli kwa sababu eneo hilo la ufukwe wa Kawe halijauzwa na kwamba linamilikiwa na NHC na Kampuni ya Dubai.
Saguya alisema awali eneo hilo lilikuwa la Tanganyika Packers, lakini hivi sasa NHC inalimiliki pamoja na Kampuni ya Dubai ambayo wakati wa ubinafsishaji ililinunua lakini upande wake wa Magharibi haujaanza kutumika hivyo ili lisikae tu kuna mtanzania amepangishwa.

“Hilo eneo ulilokuwa umesema nimefuatilia, hilo ni eneo la Shirika la Nyumba la Taifa. Unafahamu eneo la Tanganyika Packers ni eneo ambalo Shirika la Nyumba la Taifa linamiliki pamoja na Kampuni ya (inaitaja jina lakini tunalifadhi kwa sababu maalumu.) ya Dubai kwa sababu wao wakati wa ubinafsishaji walinunua eneo hilo.

“Kwa sababu hatujaanza kutumia upande wa Magharibi wa eneo hilo la Kawe, tumeanza kujenga zile nyumba kama ulivyoona. Eneo hilo ili lisikae tu idle kuna mtanzania alikuwa ameomba apangishwe kwa muda ili atengeneze entertainment, yaani atengeneze sehemu kwa ajili ya watu kufanya entertainment. Michezo michezo, sehemu za watu kufanya starehe tofauti tofauti.

“Kwa hiyo akawa amepewa miezi 24 kuanzia Januari mwaka huu ya kuweza kufanya uendelezaji wa eneo hilo kwa miezi hiyo 24 hadi kufikia Disemba, 2024 awe amejenga na kuanza uendeshaji wa biashara hiyo ya entertainment katika eneo la Kawe, kiwanja namba 711/1 kama ulivyouliza. Siyo 71 ni 711/1.

“Sasa kwa mujibu wa makubaliano tuliyofanya na huyu mwekezaji (anataja jina tofauti) ambaye ndiye tumempangisha eneo hilo, ameelekezwa kwa mujibu wa makubaliano tuliyowekeana naye mkataba ni kwamba ameambiwa ajenge majengo ambayo si ya kudumu.Yaani ajenge structure ambazo si za kudumu ili kuliruhusu shirika kufanya uendelezaji pale itakapohitajika.

“Na kwamba kuanzia Januari, 2025 shirika litaanza kuchukua kodi ya pango katika eneo hilo, takribani Shilingi milioni sita kwa mwezi.

“Kwa hiyo kimsingi ni kwamba baada ya kulipa amana ya pango ya miezi mitatu, ambayo inafikia Shilingi milioni 21.2 ndiyo shirika likamruhusu sasa kuanza ujenzi huo… kwa hiyo hali ndiyo iko hivyo,” alisema Saguya.

Alipoulizwa kuhusu madai ya wakazi wa eneo hilo ambao ni wapangaji wa NHC kulipwa mamilioni ya fedha na waziri ili kupisha ujenzi wa hoteli yake ya kitalii, Saguya alisema huo ni uvumi uliokuwa unaenezwa tu na kwamba alituma watu wake wa NHC Mkoa wa Kinondoni kwenda kuangalia kinachosemwa, na wao wakamrudishia taarifa aliyoitoa kwa Tanzania PANORAMA Blog.

TANZANIA PANORAMA BLOG ITARIPOTI KWA KINA SAKATA HILI IKIWA NI PAMOJA NA UNDANI WA MADAI YA WAPANGAJI WA ENEO HILO KUSHINIKIZWA NA WAZIRI KWA FEDHA NA MABAVU KUONDOKA, HISTORIA YA ENEO HILO LA UFUKWE WA KAWE KABLA YA KUPEWA NHC NA MABADILIKO YA MATUMIZI YALIYOFANYWA.
Sasa mpangaji tu unapewe 300m unagoma kuondoka kwani nyumba yako. Chota hela kajenge ghorofa ghoba au mbweni uhamie kwako achana nyumba za watu, kwani NHC akikupa notisi si unaondoka mikono mitupu. mi hata sijui wanalalamika nini
 
Mleta mada kaja kutafuta Like kupitia stori za kutunga.

Kwa vile umehoji kuhusu hiyo M300, basi hicho kipande cha M300 atakitoa sasa hivi maana ashaona atashtukiwa.

Dunia yetu ya leo ni mpangaji gani anaeweza kukataa milioni mia tatu?
 
Kama sio unafiki ni kwa nini hamumtaji jina waziri husika.
Au na nyinyi mnataka kuitumia habari hii kwenda kumtishia waziri ili nanyi muonje kidogo?
 
Back
Top Bottom