nguvu

  1. Jicho langu: Ni Nguvu ya umma dhidi ya Nguvu za Chama

    Poleni Sana ndugu zangu dhidi ya yote ya yaliyotokea Jana pale Kwa Hakimu Mkazi Kisutu.Niliamua kukaa kimya kusikiliza na kusubiri Nini kitajiri katika siku ile ngumu kwa wanachama wa CHADEMA na Familia ya Dr.Vicent Mashinji.hakika ilikuwa siku ngumu Sana Hadi baadhi Yao niliona wakiaga kabisa...
  2. Nahitaji kazi yoyote ya kutumia nguvu

    Kutokana na ugumu wa maisha natafuta kazi yoyote. Kama kuna mwenye connection na miradi ya barabara, maji nk, aniunganishe nipo tayari kuchimba hata mitaro. Nipo Arusha.
  3. Mnyika: Kama CCM watatumia dola kubaki madarakani, sisi tutatumia nguvu ya umma kuwaondoa

  4. Taoism: Falsafa ya kale ya China inayokupa nguvu ya kufanya bila kutenda

    Sisi binadamu huwa tunapenda kutumia nguvu kwenye kila jambo, kitu ambacho hakitupi matokeo mazuri mara zote. Lakini kupitia falsafa mbalimbali, tunajifunza hekima ambayo tukiweza kuitumia, tunaweza kufanya makubwa bila ya kutumia nguvu sana. Moja ya falsafa inayoweza kutupa nguvu ya aina hii...
  5. Onyo: Wanasiasa kuwa makini, ukidharauliwa hapa JF tambua kwamba umedharauliwa mitaani na dunia nzima. JF ina nguvu sana

    Hili ni onyo ninalolielekeza kwa wanasiasa wenzangu , na hasa wale wenye wito na maono ya kugombea ubunge , Udiwani na Urais kama mimi . Andikeni ukweli na haki bila kutumikishwa kwa gharama ndogo au kubwa ili kujijengea heshima mbele ya jamii , Kwa sasa jf ndio pahala panapotumika na wananchi...
  6. Nguvu ya uumbaji ilishafanya kazi yake nzuri ya uumbaji, ni binadamu ndiye aliye uwanjani sasa

    Binadamu ni kiumbe aliyejaliwa uwezo mkubwa sana kuliko viumbe wengine wengi Duniani. Binadamu leo anaweza kuumba ayatakayo ikiwa tu atauelewa ilimwengu wa ndani unavyofanya kazi yake. Kwanza kabisa tunapaswa kujua hakuna kitu chochote alichokiumba mwanadamu ambacho hakijaanzia ndani yake. Leo...
  7. Nguvu ya usumaku ya Ncha ya Kaskazini ya Dunia na utulivu wa usingizi wa Binadamu

    Dunia ina mengi yaliyogunduliwa na mengine wanaendelea kugundulika na kutokana na maendeleo makubwa ya sayansi na teknolojia mengi zaidi yanapata majibu na ufafanuzi. Leo natamani kuliweka suala hili la utulivu wa usingizi na nguvu ya uvutani ya Dunia jambo ambalo limepewa majibu mbalimbali...
  8. Iraq: Maelfu waandamana kushinikiza vikosi vya Marekani kuondolewa nchini humo

    A massive demonstration –called for by a prominent Shia cleric– has flooded the streets of the Iraq's capital Baghdad, with thousands voicing their anger at the US military presence there. Early on Friday morning, throngs of protesters – men and women, young and old – began amassing at...
  9. S

    Kumbe Lugola alichosaini ni Memorandum of Understanding (MOU) na sio Contract! Magufuli hajui kuwa MOU haina nguvu ya kisheria?

    Nimekuwa natafakari sana. Hivi huyu Lugola katika umahili wake wa kuwa graduate wa sheria UDSM, kuwa naibu waziri ofisi ya Makamu wa Rais, na Waziri wa Mambo ya Ndani, atawezaje kufanya kosa la ku-sign Mkataba wa USD 453m bila kumhusisha Mwanasheria Mkuu wa Serikali au Bunge, na pia Rais...
  10. Ni aibu kwa TBC kutangaza dawa za kuongeza nguvu za kiume zisizothibitishwa

    Hii nimeisikia jana tu tena kwa bahati mbaya sana nikiwa kwenye gari na kwa vile kulikuwa na foleni nikaona ni vema nipate matokeo ya mechi kati ya Yanga na Kagera , nilipigwa na butwaa baada ya kukutana na Tangazo la dawa za nguvu za kiume kutoka Kigogo Mbuyuni ! wanaosikiliza matangazo ya...
  11. Trump anaamini katika Mabavu na Vitisho na Vita dhidi ya IRAN. Ben Sanders anaamini katika Serious negotiations na IRAN anamuonya TRUMP asitumie nguvu

    Bernsanders anaamini Vita na Iran vikianza si vya kuisha Leo vitachukua miongo kadhaa anashauri kuwepo na mazungumzo imara kuleta mahusiano mema na IRAN mashariki ya kati. Trump yeye haamini katika mazungumzo anatumia Vitisho na anawaonya IRAN watakiona cha mtema kuni. Nani zaidi?
  12. Tanzania ni ya 73 kwa Passport zenye nguvu duniani

    Kwa mujibu wa taarifa ya Henley Index imetaja Japan kuwa na passport yenye nguvu Zaidi duniani kwa kuwa ina nchi 191 ambayo inaweza kwenda, Tanzania inaweza kwenda nchi (destinations) 70 imekuwa nafasi ya 73. Afghanstan imekuwa ya mwisho kwa kuwa na passport mbovu ambayo ina destinations 26...
  13. Dar: Vurugu zatokea kwenye Kikao cha Baraza la Madiwani Jijini Dar cha kuamua hatma ya Meya wa Dar, Isaya Mwita

    Kikao cha Baraza la Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam nchini Tanzania cha kujadili tuhuma zinazomkabili Meya wa jiji hilo, Isaya Mwita kimesimama kwa muda baada ya jina la mjumbe wa Chama cha Wananchi (CUF) kusainiwa wakati hayupo ukumbini. Kikao hicho kinafanyikia ukumbi wa Karimejee jijini...
  14. M

    UCHUNGUZI: Girlfriend/ Fiancee; Kubana Kushiriki Tendo la Ndoa Kabla ya Ndoa na Madhara yake Hatari kwa Wanaume Kuishiwa Nguvu za Kiume

    Katika hali ilozoeleka kusia kutoka kwa mabinti ama madada zetu pale tunapowachumbia ni ile wao wanaposisitiza kushiriki tendo la ndoa pale tu ndoa itakapokuwa imefungwa. Ndoa haijafungwa no sex! Na hapa na dada zatu hudhani na kuamini kuwa ni kujijengea uaminifu na kutoonekana vitombi au...
  15. M

    Girlfriend Kubana Kushiriki Tendo la Ndoa Kabla ya Ndoa na Madhara yake kwa Wanaume Kuishiwa Nguvu za Kiume

    Katika hali ilozoeleka kusia kutoka kwa mabinti ama madada zetu pale tunapowachumbia ni ile wao wanaposisitiza kushiriki tendo la ndoa pale tu ndoa itakapokuwa imefungwa. Ndoa haijafungwa no sex! Na hapa na dada zatu hudhani na kuamini kuwa ni kujijengea uaminifu na kutoonekana walaini kwa...
  16. Ujue ukubwa wa tatizo la upungufu wa nguvu za kiume

    Kuna matatizo mengi ya tendo la ndoa ambayo yanaathiri wanawake kwa wanaume. Kwa wanaume inawezekana ikawa ni kukosa hamu ya tendo, upungufu wa nguvu za kiume au kuwahi kufika kileleni. Leo nataka kuzungumzia ukubwa wa tatizo la upungufu wa nguvu za kiume matatizo mengine nitazungumza katika...
  17. M

    Papa aliweza kuwapatanisha Salva Kill na Riek Machar. Je, ana nguvu kuliko Jumuiya za Kimataifa?

    Baba mtakatifu kama wanavyomwita wafuasi wake aliwapatanisha mahasimu wawili wa Sudan kusini kazi ambayo ilizishinda jumuiya zote za kimataifa!!! Je? Ana nguvu kuliko jumuiya hizo? Nakumbuka tena mwaka fulani papa alipokuja tz rais Mwinyi aliibusu Pete yake !!! Naomba kujuzwa nguvu yake hapa...
  18. Wakoloni walitutawala kwa kutumia akili zao na nguvu zetu, jambo ambalo limetushinda ni kutumia nguvu na akili zetu

    Wajerumani walianzisha miradi mikubwa mfano mashamba ya mkonge na viwanda vya katani pia ukuleles bandarini kwa kutumia pesa ya serikali. Walianzisha kodi ya kichwa, hivyo kila raia mwenye umri wa miaka 18 -50 ilimpasa kufanya kazi ili alipe kodi. Waliweka bidhaa madukani wakiwa na uhakika wa...
  19. Wanaume wa Dar wana masaibu mengi yanayopelekea upungufu wa nguvu za kiume

    Tusiwacheke..
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…