Ubarikiwe sana mkuu.Ningekushauri kaka kufatilia mahali palipo na miradi ya maji ....magu mradi umekamilika ,pamoja na lamadi,na misungwi
But usikate tamaa nikipata connection nitakushitua
Sent using Jamii Forums mobile app
Na ungependa ulipwe kiasi gani,kwa mwezi au kwa siku?diploma education pia ni mjasiriamali kutokana ugumu wa maisha kazi yoyote nafanya.
Kupandisha watu mlimani kama unawezaKutokana na ugumu wa maisha natafuta kazi yoyote. Kama kuna mwenye connection na miradi ya barabara, maji nk, aniunganishe nipo tayari kuchimba hata mitaro. Nipo Arusha.