Girlfriend Kubana Kushiriki Tendo la Ndoa Kabla ya Ndoa na Madhara yake kwa Wanaume Kuishiwa Nguvu za Kiume

Manfyantona

Member
Dec 24, 2019
13
20
Katika hali ilozoeleka kusia kutoka kwa mabinti ama madada zetu pale tunapowachumbia ni ile wao wanaposisitiza kushiriki tendo la ndoa pale tu ndoa itakapokuwa imefungwa.

Ndoa haijafungwa no sex! Na hapa na dada zatu hudhani na kuamini kuwa ni kujijengea uaminifu na kutoonekana walaini kwa wachumba wao au waume watarajiwa. Pia hudhani wakifanya tu basi uhusiano ama uchumba utakwisha maana huyo mme atakuwa maepata alichokuwa anataka!

Aidha, hali hii huwawia ngumu wanaume na kuleta nsintofahamu kwenye mahusiano. Hii ni kutokana na kuwa Mwanaume yeye anakuwa anatamani kusex na kuona hakuna sababu ya kujiumiza moyo, kufa na LIBIDO, ama kuwa na MCHEPUKO wa kubyetime huku akisubiri chake!

Hivo wao huona ni vema na sahihi kushiriki Sex hata kama ndoa bado huku wakiamini kwa dhati kuwa tendo hilo litadumishaama mahusiank au uchumba wao.

Baada ya utangulizi huo, acha nijielekeze kwenye maada yenyewe isemayo :" Girlfriend/ Fiancee; Kubana Kushiriki Tendo la Ndoa Kabla ya Ndoa na Madhara yake Hatari kwa Wanaume Kuishiwa Nguvu za Kiume"

Madhara ya yanayomkuta mwanaume ( boyfriend) endapo atakuwa mtiifu kwa kusubiri kushiriki sex na mpenzi wake ( girlfriend) eti mpaka pale watakapoowana ni haya hapa.

1. Kujichuwa (punyeto)
Punyeto ni kumaliza hamu ya sex kwa kujifikicha uume huku ukivuta hisia ya picha ya mpenzi au mwanamke unaedata maeneo

Kwa hali yoyote na kwa namna yoyote lazima mwanaume ajichue/ apige punyeto usiku ama mchana tena popote pale , pale tu hisia zitapokuwa zimepanda za sex kutokana na kumuwaza mpenzi wake. Mara nyingi chatting za sms majira ya usiku ama hasubuhi.

Hivo basi nikama girlfriend wake amemkatili kiaina bila kujua kwani anapokuwa anajichuwa hutumia nguvu na hisia kali kusex naye kifikra na mawazo. Na mwanaume anapomaliza yaani kupizi anarelax na kurudi hali ya kawaida ya ushauri.

Kwa bahati mbaya, punyeto ya siku moja si suruhu au mwarubaini wa kukata LIBIDO hamu ya kudu. Kwani kadri mwanaume anavofanya kazi na kula na kushiba ndo mwili nao huhitaji Sex.

Kwahiyo, akisubiri kudu na mpenzi/mchumba wake hadi ndoa ni wazi kuwa mwanaume (kijana) huyu atakuwa anapiga punyeto ili aendelee kuishi mjini au atakuwa mdangaji sugu. Lazima apate MCHEPUKO mmoja kama si zaidi ya huyo ili asustain!

Maana yake ni kwamba lazima fikra tena zimjie na kuanza kufikiria mpenzi wake na kurudia ka mchezo kale kale ( punyeto) na mwishowe anakuwa addicted kiasi kwamba hata majira ya hasubuhi ambapo kwa wanaume wote lijali lazima mashine isimame basi yeye hupiga punyeto kwa kuituliza! Maana yake hawezi kujiabstain ( kujizuia) anakuwa mgonjwa masikini ya Mungu!

Hii hufikia hatua ya yeye kuwa soft Sana. Maana yake yeye anavuta hisia za utamu wa huyo mchumba/mpenzi wake, mke mtarajiwa walopanga kudu mpaka waoane na kuulinganisha na huo anaopata anapokuwa anajichuwa na kuona hajapoteza kitu na kuwa anaweza kuvumilia mpaka watakapoowana ndo wadu.

Mwanaume au kijana anafanya haya huku hajui madhara yake mbeleni katika ndoa yake either na huyo mpenzi/mchumba wake ama na mwingine. Yeye huona kama kamchezo ka raha nzuri tu kujifurahisha bila mwenza.

2. Upungufu wa Nguvu za Kiume
Kama ilivyo kwa sasa Kesi ya Uhujumu Uchumi na Kesi ya Kutakatisha Fedha zilivyo TWO Sides of the Same Coin, yaani ni kesi zinazoendana sambamba, moja kumpelekea /humsababishia mwingine.

Basi ndo ilivo kwa Kitendo cha kujichuwa (kupiga punyeto) na Upungufu wa Nguvu za kiume. Hivi vitu viwili ni two sides of the same Coin. One affect the other lakini sio vice versa!

Upigaji punyeto hulegeza misuli inayopitia na kusukuma damu kwenda kujaza kichwa cha uume. Yaani uume unapokuwa umedinda au umesimama kama ilivyozoeleka, kichwa chake (pale panapotahiriwa) huvimba sana kutokana na mrundikano wa damu iliyojaa kwenye mishipa ya uume na kwenda kujikusanya pale.

Basi, uume ambao au uliochezwa kwa kupiga punyeto, misuli yake huwa legelege, yaani inakosa nguvu na kuathiri uwimara wa uume unapokuwa umesimama (election)

Upungufu wa nguvu za kiume ni ile hali ya kuwahi kupizi, kumwaga shahawa, kupiga bao mapema chini ya dakika Tano na uume kukosa hamasa, amsha amsha na Makele yake tena!

Yaani bao la kwanza kuwahi mapema yaani chini ya dakika Tano, na uume aka mashine kuwa legelege, hauna nguvu tena na kusinyaa (kulala) kabisa hivo kuathiri tendo la ndoa au Sex.

Aidha, kwa kuwa hatuwezi kusema : Upungufu wa nguvu za uume! Basi tunasema sasa :" Upungufu wa Nguvu za Kiume". Kwa maana kwamba uume ndo wanaume wenyewe. Upo hapo!

Ni kweli, inafahamika kuwa Bao la kwanza huwahi kutoka mapema na pengine ndio maana utasikia kwa sasa mitaani mtu akimkejeli mtu kwa kumwambia :" Aisee! Una haraka kama cha kwanza!" Au, "Du! una kiherehere Kama bao la kwanza! Hii yote ni jinsi gani bao la kwanza Taaaamu lilivyo na haraka na speed kutoka.

Hata kama liko ivo, Kwa mwanaume mwenye nguvu za kiume, Uume, "Mashine" hubaki ngangari, hubaki na makeke kama yote, hubaki na amsha amsha kama zote yaani nikama ndo kwanza mko kwenye hatua za mwanzo za malomanzi!

Tena kwa wazoefu wa mambo, mabao yanaunganishwa; yaani hata mwanamme anapotezwa kusahau idadi ya bao. La kwanza linatoaka na Kidume anaendelea na the same momentum ya pumping in and out with non stop mpaka anaunga hadi la pili na kuendelea.

Hata kama bao la pili limetoka uume unabaki na mshawasha kama wote, unabaki na makeke yale yale yaani unakuwa bado unadai umesimama wima.

Hali hii huwafanya wawili hao kufurahia tendo na mume kuitwa mme kitendo ambacho kwa mwanaume mwenye upungufu wa nguvu za kiume huwa Aibu na Fedheha.

3. Uvunjifu wa Ndoa
Tuseme sasa wapenzi, wachumba hao wamevumikiana kwa kuwekeana Nadhiri ya kutoshiriki tendo la ndoa mpaka waoane na kuepuka vishawishi yaani kutochepuka (ila kumbuka mwanaume anapiga punyeto kwa siri na ndo inamuweka mjini!!) na Mwenyezi Mungu muumba wa Mbingu na Nchi amewasaidia na kuwalinda mpaka ndoa imefungwa na sasa kuishi kama mke na mme.

Wawili hao masikini ya Mungu watakuwa wanaoneana aibu. Mme atakuwa hawezi kupiga mzigo maana hana nguvu za kiume. Siku ya harusi yao, mme alipania kupiga mzigo mpaka basi sasa anashangaa baada ya bao la kwanza tena la mapema kama la Jogoo mambo hayaendi tena. Yeye tayari chali ila mwenziye ndo bado uke umejaa maji na hajafika bado. Mwenziye (mke) bado anavifikicha mapaja, bado ana mshawasha kama wote!! Duru jamani !!

Hali hii imekuwa ndiyo hali ya kila siku. Sherehe ya Harusi ilikuwa nzuri. Watu walikula na kunywa na kusaza ila Ndoa haina Amani! Mwanamke anawaza mengi na hapati majibu.

Anajaribu kufikiria jinsi alivyokuwa akihadisiwa juu ya tendo la ndoa na utamu wake ila yeye hajaona! Moyo unagibikwa na huzuni na kiu ya kutegegedwa kisawasawa.

Kadri siku, wikiendi, miezi na miaka inavozidi kwenda, Mwanaume anagundua kuwa mkewe hamlidhishi kisasa sawa na hapati utamu kama ule apatao akijichuwa (akipiga punyeto) basi aendapo bafuni kuoga lazima apige kunyeto chapu chapu. Akiwa pekee yake ndani anaona opportunity na kuvuta hisia ya mkewe au mwanamme yeyote na kupiga punyeto chapu chapu

Mkewe si mtamu tena kama utamu apatao akijichuwa. Basi hali hii imepelekea yeye kuwa mvivi na kuanza kupuzia kusex na mwenza wake. Sasa inapita hadi wikiendi hajamgusa mkewe. Na dada wawatu anahuzunika sana.

Anajaribu kumshirikisha mama Yake mzazi , Anashauriwa vumilia na jalibu kumwandaa mmeo. Binti amejitahidi ila hali ni ile ile basi anaamua kurudi zao home. Maana hata hivo ugomvi wa hapa na pale ulikuwa haukosekani.

Baada ya ufafanuzi huo, utaona kuwa uvumilivu wa wapenzi, wachumba wa kutoshiriki tendo la ndoa jinsi gani unaathiri Afya. Afya ya binadamu na Afya ya Ndoa yenyewe.

My take:

Kama kweli wapenzi/ wachumba mmeaminiana na kushibana, pande zote za familia mnafahamika basi hakuna haja ya kubaniana kushiriki tendo la ndoa. Tendo la ndoa ni halali yenu!

Mathayo 16:19: ".........na lo lote utakalolifunga duniani,litakuwa limefungwa mbinguni".

Akina dada badilikeni. Juneni kuwa Sex no hitaji kuu la binadamu kama kwenu sivyo basi kwa mwanaume Lazima.

Utakuwa na mpenzi au mchumba halafu ukifanye kubana kusex eti hadi ndo, na anaweza kukubali ombi lako ila jua haya mawili:

1. Ana MCHEPUKO mmoja ama wawili hata zaidi inategemeana.

Siku si nyingi mmoja wao anaweza katake over na ukaachwa ama kumfumania kwa sms au laivu laivu na ukaumia moyoni au ukatake bado reaction ya kuua ama ya kumkata uume kama ile kesi ya Polisi Tabora

2. Anajichuwa. (anapiga punyeto)

Sasa kama anapiga kunyeto madhara yake ndo hayo umeshayasikia. Kijana wa watu unawangamiza kiasi Afya. Hata kweli mkioana, hamtofurahia ndoa yenu.

Nimewasilisha
 
Mkuu Punyeto haipelekei wala haisababishi Kupungua kwa nguvu za kiume.

Zipo sababu zingine lakini sio PUNYETO.

hakuna mwanasayansi anayesema madhara ya punyeto ni kupunguza nguvu za kiume.
 
Tatizo wanawake wa kwenye punyeto ni wazuri sana pia wanajua staili nyingi za mapenzi kuliko mwanamke harisi. Hapo ndo mwonekano wa upungufu wa nguvu za kiume huonekana. Ndo maana mpiga punyeto huweza kurudia hilo tendo hata mara 7 kwa siku ila akiwa na mwanamke hukomea mara 2. Hiyo hutokana na tofauti ya uzuri wa mwanamke real na mwanamke wa kufikirika wa kwenye chama kongwe tanzania
Mkuu Punyeto haipelekei wala haisababishi Kupungua kwa nguvu za kiume.

Zipo sababu zingine lakini sio PUNYETO.

hakuna mwanasayansi anayesema madhara ya punyeto ni kupunguza nguvu za kiume.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwahiyo tugawe tu kama njugu mkuu?, vipi kwa wanaume ambao wanapata sex but bado wana michepuko na punyeto wanafanya pia?, hivi wanaume hamuwezi kabisa kusubiri mpaka ndoa pasi na michepuko,wala punyeto?, mnajiendekeza bana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Akikataa sawaa haina shida, ila muweke wazi kuwa unampenda lakini kwa swala la papuchi utatafuta kwa kwenda kupoa wakati unamsubiria yeye na papuchi yake ya dhahabu. Hapo itakuwa juu yake kuchagua kuzika au kusafirisha.
 
Swala la mademu kubana nyuchi sio swala kabisa Ila na wao wasipige mzinga wowote mpaka pale ndoa itakapofungwa ili wot tuede sawa ...na sio janja janja ya kubana uchi huku wanapiga mizinga .yao ...washenzi Sana wanawake wa type hzo....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Me imenikuta hii na naishi nayo. Nilichofanya ni kuwa na demu mwingine na nakula dyudyu kama kawaida na ni Fundi sana mpaka nawaza huyu mtarajiwa wangu atakuja kuwa Fundi kama huyu?Anyway nitamfundisha,lakini je atakuwa ni mtamu kama huyu?mbaya zaidi huyu ana-squirt kiasi kwamba me pia naenjoy sn.

Ni taharuki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimeona mada nyingi zinazungumzia wanaume kutaka kufanya ngono na girlfriend zao na imezoeleka kama vile ni swala muhimu sana kabla ya ndoa.

Ukishamuona msichana kwa macho ukaona ana mvuto kwako na anaweza kua mke wako, anza kumfuatilia kimyakimya tabia zake hata kwa mwaka mzima bila kuhitaji urafiki wa kimapenzi na yeye na asijue nia yako

Ukishajiridhisha mueleze wazi nia yako na akikubali muingie kabisa mkataba wa uchumba bila kupoteza muda.

Hapo anaweza akakupa unachotaka hata kama bado hamjafunga ndoa japo ni dhambi. Ukimwacha mkiwa ndani ya mkataba wa uchumba ana haki ya kukushtaki mahakamani

Msichukue muda mrefu kufunga ndoa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom