nguvu

  1. B

    GE2020 Zitto 2015 ulikataa UKAWA, why leo utake Coalition?

    Zitto Kabwe ni Mwanasiasa mnafiki, mbinafsi, mwongo na mtu wa kumuogopa kama ukoma. Mara zote amekuwa akilenga mambo yanayompa maslahi binafsi na si umma mkubwa wa Watanzania. Mwaka 2015 wakati Watanzania tukitaka mabadiliko ya kweli, na kuunda Coalition ya UKAWA Zitto alikuwa kinyume chetu...
  2. M

    Mzee Mwinyi katika hili la kuongeza muda wa Asante kwa Rais Magufuli hapana, tunakukatalia kwa nguvu zetu zote

    Mzee wetu mzee Mwinyi, Shikamoo Mimi ni mtanzania, kwa umri niseme labda ni mjukuu wako, ni Mtanzania, naipenda nchi yangu na ningependa iwe na mustakbali mwema. Mzee wetu nimekusikia mara kadhaa ukieleza hamu yako ya kumuona Rais aliyeko madarakani akiongezewa muda wa kutawala kinyume cha...
  3. D

    Nguvu na ladha ya Bangi iko mafichoni; ikiruhusiwa Bangi haitakuwa na madhara na ndiyo njia bora ya kuitokomeza

    Power of Meditation! Nguvu ya bangi iko kwenye maficho yake! Vile mvuta bangi anapovutia bangi chooni hiyo ndo inamfanya awe na mental illness Vile mvuta bangi anapovutia bangi msituni hiyo ndiyo inamfanya ajione mwamba vile mvuta bangi anapovutia bang beach, Starehe ya upepo wa beach huzani...
  4. Nguvu za kiume vs Hamu ya tendo

    Wasalam. Mimi sio mtaalam wa Afya wala miti shamba kwa mazingira yetu tunayoishi watanzania wote tumejikuta kwa namna moja au nyingine tunajikuta wote ni wataalamu wa mitishamba hata na Modern medicine. Tatizo la nguvu la nguvu kiumbe limekuwa neno la kawaida kwa sisi wanaume hivyo kupelekea...
  5. Nguvu ya Umma inamdhibiti Nassari

    Pale Arumeru Mashariki na Jimbo lililopo kushoto la Hai na Arusha Mjini kunamilikiwa na wanamageuzi ambao wanaitwa nguvu ya Umma nimemsikiliza Nassari ametumia Hekima ya kulazimishwa na kuogopa hivi kama akitukana kama Selasini wa Rombo atapita wapi na huko kwao, nguvu ya Umma ndio inamiliki...
  6. Huwa nikikutana na nesi na hivi mwili unaishiwa nguvu

    Nakiri udhaifu, hizi sare ni shida kwa kweli nikiwaona manesi Mashalaaahhh mwili unaishiwa nguvu
  7. Nguvu ya Dodoma katika maamuzi ya Urais wa Zanzibar (CCM)

    Katika mchakato wa kutafuta mgombea Urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwenye Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2000, Amani Karume, aliyekuja kuwa mgombea wa chama hicho na baadaye Rais wa Zanzibar, hakuwa mgombea aliyeungwa mkono na wengi visiwani humo. Kulikuwa na kundi kubwa zaidi lililokuwa likimuunga...
  8. Mkoa wa Ruvuma: CCM bado ina nguvu kubwa; CHADEMA yaimarika, CUF yafifia; ACT-Wazalendo yachomoza

    Ni matumaini yangu kuwa kichwa cha habari hii kinatoa tahmini ya jumla juu ya mkoa huu wa Ruvuma. Niko hapa kwa takribani juma moja katika kufanya tathmini binafsi ya kisiasa kuelekea Oktoba mwaka huu. Nimepita Songea na Mbinga; Nikaenda Tunduru na Namtumbo; nikasonga hadi Peramiho na sasa niko...
  9. CCM inategemea vyombo vya dola wakati wapinzani wakitegemea nguvu ya Umma, Nani zaidi

    Kama alivyonukuliwa Katibu Mkuu wa CCM, Dkt Bashiru Ally hivi karibuni "akijimwambafai" kuwa Chama chake cha CCM, kitaendelea kubaki madarakani milele na milele, kwa kutumia vyombo vyote vya dola vilivyopo nchini ambavyo kama alivyonukuliwa yeye mwenyewe kuwa wao ndiyo wanavimiliiki...
  10. Mwenye kuifahamu Nguvu Moja Security

    Ndugu zangu, Rejea kwenye post yangu NATAFUTA KAZI MAJI YAMENIFIKA SHINGONI. nafanya kazi kwenye kampuni moja ya ulinzi GARDAWORLD nalipwa 240,000/= kwa mwezi hapo makato yote yamesha katwa. Japo nina diploma ya uandishi wa habari, nimetafuta kazi inayoendana na elimu yangu takribani miaka...
  11. Simulizi : Nguvu ya Mapenzi

    Simulizi: NGUVU YA MAPENZI Mwandishi: ATUGANILE MWAKALILE Imeletwa kwenu na: BURE SERIES SEHEMU YA 1 Mdada mmoja mrembo sana aliyeitwa Angel alionekana siku hii akiwapeleka wadogo zake kuripoti katika shule mpya maana wadogo zake hao walikuwa ndio wanaanza kidato cha kwanza na yeye alikuwa...
  12. Chato: Bendera za CHADEMA zashushwa na wanaodaiwa kuwa makada wa CCM. Mwanamama Husna Amri Said acharuka!

    Husna Amri Said na makada wengine wa CHADEMA wameendelea na zoezi la kupandisha bendera za Chama katika Jimbo lote la Chato ambako CCM waliamua kuzishusha. Mtia nia Ubunge jimbo la Chato bi. Husna aliyelalamika bendera za CHADEMA kushushwa anashikiliwa na Jeshi la Polisi
  13. D

    Nguvu ya CHADEMA sasa imebaki mikononi mwa Lissu pekee; Siku akihama chama hiki kitameguka vipande vipande

    Hakuna marefu yasiyokuwa na ncha! CHadema Kama mnara, Basi kwasasa umesimamia nguzo moja (Mwamba Tundu lissu) Tundu lissu ndiyo mtu pekee makini anaeungwa mkono ndani ya chama na nje ya chama! Tundu lissu ndiyo Mtu pekee akiongea wazee kwa vijana hutulia kumsikiliza! Tundu lissu ndiye...
  14. Je, ni kweli Chumvi na Mkaa huzuia nguvu za giza?

    Bado sijajua siri iliyojificha kwenye chumvi na mkaa. Wengi hutumia kama kinga dhidi ya uchawi na ushirikina. Wengine huweka kitandani au nani ya unga na mchele ili kuzuia chuma ulete. Matumizi ya mkaa na chumvi yanajulikana kite kama kinga dhidi ya nguvu za Giza. Swali ni je kuna nini ndani ya...
  15. Japo anaonekana mtu wa kawaida tu ndani ya CCM, Humphrey Polepole sio mtu wa kawaida!, He is extra ordinary very powerful!

    Wanabodi, CCM ndio chama tawala na kwa Tanzania, tukubali tukatae, CCM ni chama dola. Tunapoelekea uchaguzi Mkuu wa rais na wabunge October 25, mgombea akiishapitishwa kuwa mgombea kwa tiketi ya CCM, then huyo ndio tayari ni mshindi, zoezi la uchaguzi ni kukamilisha tuu taratibu za uchaguzi ili...
  16. Ni kitu gani au nguvu gani husababisha kuwa na mahusiano?

    Kuna utafiti nataka nifanye kuhusiana na mahusiano; nataka nijue ni kwa nini jinsia tofauti (Ke na Me) zikikaa sehemu moja kwa muda mrefu, lazima waanzishe mahusiano. Equation x (me) anataka afanye huu utafiti na binti yeyote mrembo (ke) wakae sehemu moja kwa siku thelathini (30) tu wakiwa...
  17. Zijue faida ya matumizi ya mafuta ya zaituni (olive oil)

    Mafuta ya Zaituni Olive Oil Mafuta ya zaituni yana manufaa mengi katika mwili na maisha ya binadamu kwa ujumla kama ifuatavyo; (1)Mafuta ya zaituni hutibu maumivu ya tumbo kwa kunywa kijiko 1 mara 2 kwa siku kwa muda wa siku 7 hadi siku 11 inshaallah...
  18. Nguvu ya Penzi la Mwanamke (The Power Of The Pussy)

    PDA-Mwanamama Kara King,aliandika kitabu cha ,If Men are Dogs ..This Is Animal Control. The Power Of The Pussy ,How To Get What You Want From Men:Love ,Respect ,Commitment ". Ukurasa wa 61 ,"Jinsia ya kike ni bidhaa ambayo haiwezi nunuliwa kama haina thamani, Unaweza kuweka jinsia ya kike...
  19. Marekani kutumia Jeshi kuzima Maandamano. Je, Mapigo mangapi yamebaki kwa Marekani ili kumuondolea nguvu ya kiuchumi?

    The governor of Minnesota called up the state’s entire national guard Saturday for the first time since World War II, awaiting what could be a fifth night of violent protests brought about by the death of an African American man in police custody For the past four nights, protesting has led to...
  20. Wapinzani unganane. Ni kweli umoja ni nguvu utengano ni udhaifu

    Good morning people. Ni dhahiri kabisa kwamba uchaguzi wa mwaka huu utakua mgumu sana kwa vyama vya upinzani kutokana na hulka ya Rais aliyemadarakani ya kutopenda kucheza fair. Sote tumeona jinsi polisi na idara ya usalama wa taifa wakiipigania CCM kufa na kupona kwa kuteka, kubambikia kesi na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…