nguvu

  1. K

    JamiiForums Tanzania Mbiwe kutolewa gerezani kwa nguvu ?

    Najiuliza kwa sauti kubwa
  2. JamiiForums Tanzania John Mnyika, kuulalia mkeka uliochanika kunahitaji akili nyingi sana na sio nguvu

    Comred Mnyika mdogo wangu na Katibu Mkuu wa chama kikuu Cha upinzani CHADEMA tunataka tuuone utashi na hekima na busara zako katika kipindi hiki kigumu, chama chako kina Kariba kubwa ya vijana ambao bado wana mihemko. Mkeka uliolalia umechanika Sana, usitumie nguvu kubwa utauchana zaidi. Maneno...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Nchi yenye nguvu zaidi kiteknolojia duniani inawezaje kujishusha hadi kuzikandamiza kampuni za nchi nyingine?

    Katika siku ambayo Bunge la Marekani liliidhinisha uteuzi wa balozi mpya nchini China, serikali ya nchi hiyo kama kawaida yake ilitangaza kuziwekea vikwazo kampuni 34 za teknolojia za China kwa kisingizio cha “kutishia usalama wa taifa”, na kuziweka kampuni nyingine 8 za China kwenye “orodha...
  4. JamiiForums Tanzania CCM kumeguka iwapo Polepole atafukuzwa uanachama na huu ndio mwanya wa upinzani kupata nguvu 2025

    Kundi kubwa la wanaCCM wataondoka CCM kama polepole atafukuzwa uanachama. Hili ni kundi la wanachama ambao wanajinasibu kupinga ufisadi na kutetea maslahi ya taifa. Huuu ndio mwanya wa upinzani kupiga bao na kupata nguvu. CCM itapata tabu sana 2025.
  5. JamiiForums Tanzania Mambo 10 kuhusu Dick Cheney, Makamu wa Rais aliyekuwa na nguvu zaidi katika historia ya Marekani

    Mfahamu Dick Cheney aliyepata kuwa Makamu wa Rais wa 46 nchini Marekani katika utawala wa Rais George W. Bush 1. Jina lake kamili ni Richard Bruce Cheney, mzaliwa wa Lincoln huko Nebraska nchini Marekani, alizaliwa 30 January 1941. Ni mwanasiasa mashuhuri wa chama cha Republican lakini pia ni...
  6. JamiiForums Tanzania Engine K3 - VE na Gearbox moja ya engine za Toyota imara na zenye nguvu

    Nauza engine K3- VE ( Vvti) cc 1300 na gearbox yake. Ina changamoto ya rings kutanuka. Hiyo tu na gearbox seal yake inavujisha ni either ifungwe vizuri au ibadilishwe. Mimi nlipata engine complete na gearbox yake nikashusha na kupandisha. Kama unahitaji au kuna mtu anahitaji tuwasiliane Please.
  7. K

    JamiiForums Tanzania Kumuenzi Maalim, CHADEMA inakwenda kuwa na nguvu Zanzibar kuliko ACT, Zitto amepotea

    Wazanzibar Wana msimamo, Maalim alitambua msimamo wa Wazanzibar akasimama nao. Wakaua Cuf lakini Maalim alibaki kuwa Imara. Amendoka Maalim amewaacha Wazanzibar wakiwa na chama kisicho na msimamo. Madhara yake Wazanzibar awabadiliki kimsimamo hivyo chama hakiwezi kuwa zaidi Yao. Kukosa Imani na...
  8. JamiiForums Tanzania Mzimu wa Magufuli umemwingia Polepole. Mnaomwandama mjipange, ana nguvu isiyo ya kawaida

    Kauli ya kusema hana shida na ubunge wao na hagombei ubunge ni kauli ya kizalendo na tungekuwa na Wabunge wa CCM 75% Kama Polepole wangeinyoosha serikali ya CCM mtu mmoja tu kawatoa jasho. Kwa hiyo wabunge wa CCM badilikeni acheni kulamba nyayo za watawala simamieni ukweli kama Polepole.
  9. JamiiForums Tanzania Kwanini kampuni nyingi zinapoteza nguvu ya kiushindani (competitive advantage)?

    Pindi kampuni inapopoteza nguvu ya kiushindani, faida pia hushuka (profitability falls) japo si lazima Kampuni kufa. Kuna sababu nyingi zimekuwa zikielezwa kama chanzo kwa kampuni kupoteza nguvu/uwezo wake wa kiushindani sokoni. Lakini sababu kuu zinazosababisha hali hii ni kama ifuatavyo...
  10. JamiiForums Tanzania Forbes yamtaja Rais Samia Suluhu Hassan katika Wanawake 100 wenye nguvu zaidi duniani mwaka 2021. Yupo nafasi ya 94

    Samia Suluhu Hassan became Tanzania's sixth president and first-ever female leader in March 2021, following the death of President John Magufuli. She rose to the position from vice-president, a role to which she was first elected in 2015. In September, she became just the fifth-ever female...
  11. JamiiForums Tanzania Hao watu inaonekana ni watu wenye nguvu sana

    Hicho kikundi cha watu wa ovyo anachokisema mheshimiwa Rais wetu, kinaonekana ni kama kina watu wenye nguvu kubwa sana Sasa sijui ni kina nani hao wenye nguvu kubwa kiasi hicho? Ni matumaini yangu, kwa nguvu kubwa za kikatiba alizonazo mheshimiwa Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Sakata la Martin Saanya na Nguvu za Wachambuzi Wa Soka Bongo

    Iwapo Kamati ya Maamuzi Ingekaa mara tu baada Ya Dk 90 za mtanange Wa Simba na Geita, huyu Refarii Uwezekano mkubwa Asingepona kufungiwa. Martin Saanya Sasa ni Kama amesafishwa na Upepo umebadilika. Kwamba alitoa maamuzi sahihi. Faulo ya Geita halali.! Japo Wachambuzi wengi Wanaitwa Wachambuzi...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kibamia ni neno linalotumika kuwatisha wanaume ili kuwamaliza nguvu wajione hawawezi kuridhisha mwanamke

    Wanawake wengi wanatumia hili neno kama kinga ili kuwatisha wanaume kuwa hawana uwezo kurishisha mwanamke ili hali sio kweli. Utakuta mwanamke akigombana na mpenzi wake anamtukana kwanza una kibamia Unakuta wanawake wanajadili juu ya wanaume na kudai hawapendi vibamia lakini hata wakipata...
  14. N

    JamiiForums Tanzania Watoto na Familia za Freeman Mbowe na washtakiwa wenzake Mwenyezi Mungu awatie nguvu sana!

    Kila siku huwa nianatafakari hali mnayoipitia. Hakika Mwenyezi Mungu awalinde, awaongoze na awatie nguvu sana ili msije jaa roho mbaya na zisizo na hofu ya Mungu kama za watesi wenu! Yote hii kwa sababu tu ya madaraka! Khaaaa!
  15. U

    JamiiForums Tanzania Ili uwe na nguvu nchini unahitaji hivi vitu vitatu

    Kwahiyo pambana sana kijana, hili ni somonhasa kwa vijana lazima uwe na nguvu tatu muhimu uweze kuheshimika 1. Nguvu ya kiserikali, lazma uwe karibu na serikali na watu wake wa juu ikiwemo Rais, waziri, rcs , wabunge, igp, mabeyo, 2. Nguvu ya uchawi - maadui ni wengi unahitaji ulinzi wa...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Chanjo ya COVID-19 haiathiri nguvu za kiume

    Wataalamu wa Afya wanaeleza kuwa nadharia zote zinazozihusisha Chanjo za #Coronavirus na kupunguza nguvu za kiume na mfumo wa uzazi kwa mwanaume sio za kweli. Aidha kutokana na tafiti mbalimbali zilizofanywa juu ya suala hili Wataalamu wanabainisha kuwa Chanjo za corona zimetengenezwa ili...
  17. JamiiForums Tanzania Unywaji wa pombe aina ya Banana inaathiri nguvu kubwa sana ya vijana

    Pombe hii ina kiwango cha kilevi asilimia kumi(10%)tu lakini wanywaji wa pombe hii ukiwaona hata kwa macho utajua tu huyu ni wa banana. Pombe hii imekuwa ikiuzwa kwa bei rahisi tu ya sh 500 ndo mana vijana wengi wanaweza kumudu kuinunua,lakini ulevi wake sio wa kawaida kwani vijana wengi...
  18. JamiiForums Tanzania Usitumie nguvu kubwa sana mwanamke akupende. Utalia sana!

    Wasalaam, Kati ya vitu vingi mbavyo wanaume wengi huwa wanakosea ni pale wanatumia 'Nguvu' kubwa sana kuwapata hawa wanawake, hasa ikiwa ana malengo naye ya future. Kama ni mwanamke anayekusuuza roho ukimuona na wewe ukatumia nguvu kula 'msambwanda' uridhishe nafsi sawa. Ila sio kama una...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Ifahamu nguvu ya koromeo la fisi katika biashara

    Katika biashara yapo mambo yanayofanywa na wafanyabiashara ili kuwavuta wateja ambayo ukisimuliwa unaweza kufikiri ni utani ama story za vijiweni. Miongoni mwa mambo hayo ni matumizi ya koromeo la mnyama fisi katika kuchujia pombe za kienyeji. Inasemekana endapo utakunywa pombe iliyochujiwa...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Ni kipi kinaifanya dawa kuongezeka nguvu pale inapotegwa kwenye mlango wa choo?

    kwa wale wataalam wa ndumba ni kipi huifanya dawa kuwa imara sana pale inapotegeshwa kwenye mlango wa kuingilia chooni
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…