nguvu

  1. V

    JamiiForums Tanzania SoC02 Mwanaume rudi kwenye nafasi yako!

    Ni ukweli usiopingika kuwa tokea mapinduzi ya kumkomboa mwanamke kiuchumi, kisiasa na kijamii wanawake wengi wamekuwa na nguvu sana katika nyanja zote za siasa, uchumi na jamii na kuwaacha wanaume nyuma. Tukirudi miaka ya 90 kurudi nyuma kulikuwa na dhana kwa wanawake wengi kuwa wao hawawezi...
  2. F

    JamiiForums Tanzania SoC02 Madhara yatokanayo na matumizi holela ya dawa za kuongeza nguvu za kiume

    MADHARA YATOKANAYO NA MATUMIZI HOLELA YA DAWA ZA KUONGEZA NGUVU ZA KIUME UTANGULIZI Upungufu wa nguvu za kiume ni hali ya sehemu za siri za mwanaume kuwa na uwezo mdogo au kutokuwa na uwezo kabisa wa kuhimili tendo la ndoa kwa muda mrefu. Tatizo hili limekuwa kubwa katika jamii na kwa kufuata...
  3. Dr Yesaaya

    JamiiForums Tanzania SoC02 Afya ya uzazi: Upungufu wa nguvu za kiume

    UKOSEFU AMA UPUNGUFU W NGUVU ZA KIUME Mwandishi: DR. Yassayah M, 0752591744/0682080069 wa -Tegeta DSM UTANGULIZI Ukosefu ama upungufu wa nguvu za kiume kitaalam – Erectile Dysfunction ni hali ya uume kushindwa kuamka/kusimama au kuamka kwa muda mfupi kisha kushindwa kuendelea kusimama wakati...
  4. Natafuta Ajira

    JamiiForums Tanzania Nahitaji dawa ya kupunguza nguvu za kiume

    Natafuta dawa ya kupunguza nguvu za kiume, ni hali ambayo inanisababishia changamoto kadhaa katika mahusiano yangu yote. Naweza kupiga pump non-stop mpaka masaa manne mfululizo na mashine bado inakua na hasira kama nyati aliejeluiwa ila sasa mwenzangu anakua tayari ashachoka sana sometimes...
  5. National Antique

    JamiiForums Tanzania Natamani sana mabibi na mabwana shamba tuanzishe chama chetu cha kututetea

    Natamani sana mabibi na mabwana shamba tuanzishe chama chetu. Ukiangalia wafanyakazi wenzetu kwenye wizara zingine wana vyama vyao vyenye nguvu kuwatetea katika mambo mbalimbali ya maslahi yao! Sisi tumelala Sana hatuna hata wa kutusemea na badala yake tumegawanyika wengine wanajiona Bora...
  6. F

    JamiiForums Tanzania Mbona Kuna nguvu kubwa sana inatumika?

    Tangu mshahara wa mwezi July -2022 utoke pamekuwepo na jitihada na nguvu kubwa sana inatumika mitandaoni kuwaponda na kuwakejeli watumishi wa umma hasa walimu na manesi.Wengine wamekuwa wakienda mbali zaidi wakiwaita walimu hawana hakili hii si sawa na nikuwakosea heshima walimu wetu kwani Mimi...
  7. T

    JamiiForums Tanzania SoC02 Nguvu inayotumika kuingiza bodaboda nchini iwekezwe kwenye uingizaji wa zana bora za kilimo

    Ndani ya kipindi cha miaka kumi (10), usafiri wa kutumia pikipiki ulionekana kama mkombozi wa maisha ya vijana katika kuisaka ridhiki. Lakini kadri siku zinavyozidi kusogea mbele usafiri huu umegeuka kuwa tishio kwa usalama wa vijana kiafya, kimaadili na kiuchumi pia. Baada ya kuporomoka kwa...
  8. William Mshumbusi

    JamiiForums Tanzania Ambao hawakumtaka kwenye chama chake huenda walimjua vizuri kuliko sisi

    Kuna tetesi nyingi baada ya msiba wa baba, baba wadogo na marafiki wa baba waliweka vikao vya siri. Wakipinga katakata mama asiwe msimamizi wa mirathi. Wakisisitiza uwezo wake ni mdogo kuongoza nyumba kubwa yenye watoto watukutu. Ila wajomba wakongwe walimkingia kifua. Wakiamini kuwa baba...
  9. L

    JamiiForums Tanzania China yaziongoza nchi zenye nguvu duniani kufuatilia maendeleo ya amani ya Pembe ya Afrika

    Hivi karibuni mkutano wa kwanza wa amani wa China na Pembe ya Afrika ulifanyika Addis Ababa, Ethiopia, na kufuatiliwa na vyombo vya habari mbalimbali kote duniani, ikiwa ni pamoja na Reuters na VOA. Wakati China inaanza kutekeleza kivitendo "Dhana ya Maendeleo ya Amani katika Pembe ya Afrika"...
  10. vnn

    JamiiForums Tanzania TRA toeni Bonus kwa kila mwenye Risiti 100 za EFD, Mtaongeza mapato maradufu kuliko kutumia nguvu!

    TRA kwa muda mrefu wamekua wakilalamika kupoteza mapato mengi kutokana na wauzaji wa bidhaa kutotoa risiti za Kielektroniki hii imesababishwa na wananchi wenyewe kutojua umuhimu wa kudai risiti za EFD nilisikia TRA wameanzisha mchongo kwa baadhi ya wakazi wa dar kwamba ukikutwa na TRA umenunua...
  11. M

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Maziwa ya unga yanasababisha kupungukiwa nguvu za kiume

    Baadhi ya watu wamekuwa na nadharia kuwa utumiaji wa maziwa ya unga unasababisha upungufu wa nguvu za kiume
  12. Hussein Massanza

    JamiiForums Tanzania Singida Big Stars tumemsajili kipa mzawa Benedict Haule kuongeza nguvu kwenye kikosi chetu

    Watu wa Soka, Muda mfupi uliopita tumemtambulisha Golikipa mahiri wa Klabu ya Azam (akitokea Tanzania Prisons FC kwa mkopo), Benedict Haule, kuja kuongeza nguvu kwenye kikosi chetu. Haule atasaidiana na Metacha kuhakikisha Singida Big Stars ipo salama golini. Tunaendelea kujipanga kuelekea...
  13. N

    JamiiForums Tanzania Simba yaufyata kwa Kigwangwala, wampigia simu, kutia nguvu

    Hayawi hayawi yamekuwa baada ya Mwamedi kuikacha team na hali kuwa mbaya huku vi akiba vikiisha kabisa,Said bagalile a.k.a Hamis Kigwangwala alitoa sharti kwamba wampigie simu kama wana shida yeye asaidie usajili na mengineyo .....yote hayo aliyasema huko jamhuri ya twitter katika juhudi zake za...
  14. Risk manager

    JamiiForums Tanzania $$$$ imekuwa na nguvu mno

  15. Somaiyo

    JamiiForums Tanzania Msaada: Vits new model kukosa nguvu

    Habari wapendwa, kuna kiusafiri aina ya toyota VITS new model chenye ingine ya piston 3 , kinashida ifuatayo:- 👉 Ukipanda mlima kinapoteza nguvu na kuwa kama kina kwikwi, kama kina taka kuzima 👉 ukisimama kwenye mataa yaani kipo kwenye D (drive) na mguu kwenye brake kina kuwa kama kinataka...
  16. P

    JamiiForums Tanzania Lary Fink: Mtu mwenye nguvu zaidi Duniani kwenye ulimwengu wa fedha

    Kampuni yenye nguvu zaidi Duniani na kwa bahati mbaya unaweza usiwe unaijua, kwa jina ni BlackRock. Hadi sasa Kampuni hii ina manage Mali zenye thamani ya Dola Trilioni nane( USD 8 Trillion) (hii ni kwa makadirio sawa na pesa za kitanzaninia Trilioni 18,400/-) moja kwa moja(Directly) na...
  17. Tanzania Nchi Yetu Sote

    JamiiForums Tanzania Tunatokaje kwenye hili la nguvu za kiume?

    Tatizo la nguvu za kiume linaelekea kutugeuza Kuku. Sasa tupo kwenye stage ya Kula mashudu na hatimaye tutakula pumba mwishoni.
  18. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Jinsi trafiki Dar wanavyopata pesa bila kutumia nguvu

    Habari, Nimetumia nafsi ya kwanza si kwamba Mimi ni trafiki , hapana bali nawasilisha mazungumzo tu niliyofanya na rafiki yangu mmoja ambaye sasa kahamia Trafiki kutoka kwenye kitengo kingine cha kipolisi hapahapa jijini Dar es salaam. Huyu kijana ambaye anapenda sana maisha ya starehe...
  19. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Serikali: Tutaongeza nguvu kazi, miundombinu na bajeti kwa taasisi na vyuo vinavyofundisha Kiswahili

    Serikali imesema itaongeza nguvu kazi, miundombinu na bajeti kwa taasisi na vyuo vinavyofundisha Kiswahili ili viendelee kuandaa wataalamu zaidi watakaotumika duniani kote. Akizungumza kwa njia ya simu katika Maadhimisho ya Siku ya Kiswahili Duniani yanayofanyika Jijini Dar es Salaam, Mhe...
  20. Kijakazi

    JamiiForums Tanzania Wamasai 150,000 kuhamishwa kwa nguvu!

    Tunaongozwa na psychopath, unahamisha raia 150 000 (laki moja na nusu) kwa nguvu kupisha uwindaji wa Otterlo Business Corporation OBC Emirat? Mji wa Moshi wote una wakazi laki mbili fikiria Wamasai laki moja na nusu ni kama ufukuze wakazi karibia wote wa mji wa Moshi, This is insane, hata...
Back
Top Bottom