Habari wandugu na wataalamu,
Nina passo racy ambayo hizi siku za karibuni imeniletea ugonjwa ambao nahitaji msaada wenu kama ulishawahi kukutokea na ukaisove vip?
Gari ni kwamba ukitembea kama km 8 inakuwa kama inakosa nguvu mpka uizime ikae baada ya kama dakika 10 then ukiiendesha inaenda...
Hivi mnawaona watanzania kama watoto wadogo kiasi cha kuwadanganya namna hii?
Hii filamu ina nini nyuma yake mpaka muitetee hivi? Kuna nini kimejificha huko?
Haya unayotuambia PM Majaliwa ni kweli?
👇Majaliwa asema filamu ya Royal Tour imeanza kuonesha mafanikio
Mbona TTB walisema watalii...
katika mijadala ya hapa na pale inayohusu maendeleo hata humu ndani jamiiforums huwa inakuwepo mijadala ya wakinga kuwa moja ya kabila linalojitahidi kwenye anga za biashara licha ya kuwa kabila dogo kwa idadi yao ndogo.
Sasa kunakuwaga na tabia flani hivi unakuta mjadala unavyoendelea pakiwa...
Ifahamike kuwa Mimi Mkaruka Niko humu JF kwa muda mrefu sana.
Watanzania wa online na offline nawafahamu vizuri.
Binafsi sipendi kuona mtu akionewa Wala sipendi UFUASI KIPOFU ( Total submission to somebody's thoughts).
Karibu Kama kweli una hoja.
Tukio hilo la kubomolewa Kwa nyumba hiyo limetokea huko Tunduma na nyumba hiyo inasemekana ni mali ya marehemu pamoja na mke wake ambaye yuko hai. Inasemekana marehemu aliacha watoto kutoka kwa wake tofauti na kila mke alikuwa na nyumba yake.
Baadaye watoto wa marehemu Wakafungua shauri la...
Habari wanajamii na kheri ya Eid El fitr! Naona kumekuwa na propaganda ati kwamba kwa wanaume kula kiepe kunaua nguvu za kiume ila wataalamu yaani madaktari wanakataa!
Vp wadau wa kiepe mumewahi experience erectile dysfunction kwa kula zege!
N.B walianza kutuambia Chinese mboga inaua nguvu za...
Maeneo ya Kirumba, Ilemela, Igogo na sehemu za Igoma uhalifu ulikuwa mwingi kiasi cha wananchi kuchukua sheria mkononi na kuanza kuua vibaka kwenye ofisi za serikali. Hii ni sababu Jumanne Muliro huwa hana mikakati ya kudhibiti uharifu kwa kutumia jamii zaidi ya nguvu za kipolisi ambazo hazina...
Bao la kusawazisha la Cristiano Ronaldo limeipa Manchester United pointi moja katika mchezo wa Premier League dhidi ya Chelsea kwenye Uwanja wa Old Trafford, usiku wa Aprili 28, 2022.
Chelsea walianza kupata bao kupitia kwa Marcos Alonso katika dakika ya 60 lakini United walisawazisha dakika...
Wamarekani ni wabaya! Wameamua kuingia vitani na Urusi kwa kutumia nguvu zao zote kwa maana ya zana za kivita na pesa, lakini hawako tayari kumwaga hata damu ya mtu mmoja wa Marekani hadi tone la mwisho la damu ya watu wa ukraine!!
Marekani hawajali Ukraine ikiangamizwa na Urusi, wanachohitaji...
Nina documents kibao nina story za Siri kibao za wakubwa zihusuzo kuhujumu nchi!
Unajua Kwamba ufaransa wajeshi kadhaa wana pesa zaidi Ya 43000€ ni watano
Wajua Kwamba Tuna watu wanakula mshahara wa usaidizi wa mabalozi kila Mwezi 5000€ bila kujulikana popote?
Wajua kuna wakuu wa vyama Vya...
Wazanzibari wengi ni kama wamesahau kabisa historia ya chimbuko lao kwamba waarabu walipofika visiwani walianza kuwakamata wenyeji na kuwauza kama watumwa nchi zingine, pale wenyeji walipokuwa wachache ndipo waarabu kama kina tipu tipu walisafri kuja huku bara na maeneo ya karibu kununua watumwa...
Najiandaa kuona je, na Orlando Pirates FC nao kabla ya kucheza na Simba SC Kwao Afrika Kusini na wao watahamasisha Mashabiki wao Kuzurula hovyo Mitaani ili Kuujaza Uwanja na Washinde kwa Nyimbo za Hamasa na Tambo za Hekaya za Abunuasi?
Habari yeni wanajamii forums, kuna ubishi hapa wa nani ana nguvu na mamlaka makubwa kati ya polisi na mjeda (mwanajeshi)
kwa maoni yangu naona polisi ndio wana nguvu kubwa zaidi, najua wana uwezo huu (kama nimekosea mnisahishe)
-wao ni law enforcers
-wana kibali cha kumuweka chini ya ulinzi...
Wadau kwema
Mkoko wangu aina ya Raum new model izi za 2007 una shida iyo taja, mwenye kujua shida hii nii solve vipi ..maana ata nikibadilisha bulb bado low beam hazimuliki chini vizuri kwa ule mwanga unaotakiwa
Kitu ambacho kimenifanya nitumie high beam ata nikiwa town route za usiku , hii...
Hili ni swali tu katika kujua uweza na uwezo wa nguvu za Jina la Yesu katika kutenda miujiza.
Yesu alipata kuishi yapata miaka 2019 iliyopita. Je inakuwaje jina lake leo lisemwe kwamba lina nguvu sana katika kutenda miujiza?
Kuna manabii wengi sana na mitume wengi wamepita, kina Krishna...
Marekani peke yake,ama NATO ama Marekani na washirika wake,kwa nyakati tofauti wamekuwa wakipeleka majeshi kwenda kufanya kile wanachokiita kuisaidia kuziokoa nchi zilizo ama vamiwa ama kuongozwa na watu wao waliowaita madikteta.
Kwa mara ya kwanza toka nimeijua Marekani na hata NATO.naposema...
Wakuu!
Mwanzoni niliziona Kama hadithi tuu za kizamani lakini baada ya kuiona video hii mtazamo wangu umeanza kubadilika.
Ingawaje bado sijapata uhakika wa moja Kwa moja kuhusu video hii kama imeghushiwa au laa.
Habari Wana JF
Kuna ukweli usio pingika kuhusu Nguvu ya majina yanayo anza na herufi J,K na M.
Tuanze na hapa kwetu Tanzania,Rais wa Kwanza jina lake ni Julius Kambarage Nyerere,yeye alibahatika kwenye jina lake Kuna herufi mbili za Nguvu yaani J na K
JF Kennedy alikuwa Rais wa Marekani pia...
Maneno niliyoyatia akilini kutoka kwa Comred Kinana
1 CCM sio mali ya serikali
2 CCM haiagizwi na serikali
3 CCM ndio inaiagiza serikali
Ni maneno machache yana maana kubwa
Twende kazi
Hapi Alli Nakusalimia sana
Britanicca
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.