nguvu

  1. TUKANA UONE

    JamiiForums Tanzania Hizo Nguvu mnazotumia kupiga Punyeto mngezitumia kwa wanawake wenu hakika wasinge-cheat

    Sitakuwa na muda wa salamu kwa majitu ambayo kutwa kucha yanapiga punyeto,shame on you!. Hivi unawezaje kuwa na mwanamke kitandani usiku kucha unaishia kumkung'uta kabao kamoja au viwili tena kwa taabu? Yaani dume zima unakuta ile saa 3 usiku linaparamia mwanamke utadhani kuna ugomvi kisha...
  2. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Mjadala wa Bandari za Tanganyika umeongeza nguvu ya kuamini kwamba Mungu wa kweli yu hai jana, leo na hata milele

    Wasalaam, Tumsifu kristo na bwana wa majeshi. Nimekuwa nikitafari sana juu ya waliofanya jambo la kuleta huu mkataba na nimepata kuamini pamoja na watawala wengi kuwa ni wafuasi wa freemasons na illuminati lakini bado nguvu ya Mungu haiteteleki. Jeuri, kibri, dharau havina nguvu mbele ya Mungu...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Mchengerwa na Biteko pekee hawataweza kutuvusha, tuwaongezee nguvu

    Mabadiliko ya baraza la mawaziri yamethibitisha nia ya dhati ya Mh. Samia kuongeza kasi ya serikali kuwatumikia wananchi na kuchochea maendeleo ili kufikia dira ya maendeleo ya Taifa 2025. Katika mabadiliko hayo, Mh. Rais ameoneshwa kuridhishwa na Mh. Biteko na Mchengerwa hivyo kuwabadiloshia...
  4. Replica

    JamiiForums Tanzania Citizen: Shisha na 'e-ciggarates' zinasababisha upungufu nguvu za kiume & changammoto ya uzazi kwa wanawake

    Uvutaji wa shisha umekuwa kawaida nchini siku za karibuni na kukua kiasi kwamba wengine wameamua kuwa na shisha majumbani mwao. Pia siku hizi kuna sigara za kielektroniki, inatumia battery na inaunguza kimiminika kinachojumuisha nikotin, flavours na uraibu mwingine kuwa moshi ili mtu kuweza...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Serikali ina la kuwaambia wananchi juu ya kutokupatikana kwa mtandao kipindi cha Uchaguzi 2020?

    Mmoja wa washiriki kwenye Kongamano la Maendeleo ya Sekta ya Habari 2020 amerusha swali kwa wawasilishaji Mike Mushi na Ayoub Rioba pamoja na meza ya Mgeni Rasmi Waziri Nape Nnauye kwanini serikali haijatoa ufafanuzi juu ya kupotea kwa internet kipindi cha uchaguzi mwaka 2020 kama serikali hivi...
  6. L

    JamiiForums Tanzania China ni nguvu chanya kwa amani na usalama barani Afrika

    Kongamano la tatu la Amani na Usalama la China na Afrika limefanyika hivi karibuni mjini Beijing, China. Hii ni hatua muhimu kwa China na nchi za Afrika kuhimiza kwa pamoja "Pendekezo la Usalama Duniani" la China, na pia ni ushahidi mwingine kwa China kuchangia amani na usalama barani Afrika...
  7. Webabu

    JamiiForums Tanzania Gabon: Jeshi limechukua madaraka baada ya Ali Bongo kutangazwa mshindi wa Urais

    Kikundi cha Wanajeshi 12 kimechukua uamuzi huo ikiwa ni siku chache tangu Tume ya Uchaguzi kutangaza kuwa Rais Ali Bongo ameshinda tena Kiti cha Urais Wanajeshi hao wametangaza kupitia Televisheni ya Taifa kuwa wanafuta matokeo yaliyoyangazwa na kuzifuta Taasisi zote za Umma pamoja na kulinda...
  8. Diwani

    JamiiForums Tanzania Hapa ndipo inapotoka nguvu ya Kanisa Katoliki

    Kama ilivyo ada, kila wakati katika kila nchi kuna ajenda ama sakata linalolindima, linaweza kuwa la kisiasa, kijamii ama kiuchumi. Ikiwa sehemu ya nchi zenye Siasa za mlengo wa Kidemokrasia, Tanzania imeingia katika mjadala mkali kati ya Serikali, wadau wa uwekezaji, vyama vya upinzani, asasi...
  9. OCC Doctors

    JamiiForums Tanzania Sababu endelevu za mapungufu ya nguvu za kiume

    Ukosefu wa nguvu za kiume (Erectile dysfunction) ni kutokuwa na uwezo wa kufikia au kudumisha kilele cha uume kinachofaa kuridhisha wakati wa kujamiiana. Mara nyingi nguvu za kiume zinahusiana na matatizo ya mishipa ya damu, mfumo wa neva, hali ya kisaikolojia, na matatizo ya vichocheo...
  10. Kiplayer

    JamiiForums Tanzania Yanga na Simba ni imani ambazo zina nguvu kuliko imani za Kidini

    Kwa sasa Tanzania ushabiki wa mpira wa Simba na Yanga unazidi kustawi. Makundi yanayokuja kwa Kasi ni wanawake na watoto wadogo tofauti na miaka ya nyuma. Imekuwa Imani kamili tunarithishana kizazi hadi kizazi na mtu akishaamini kamwe hatohama mpaka kifo kimtenganishe. Mtu atachelewa au...
  11. Mr Dudumizi

    JamiiForums Tanzania UTAFITI: Watanzania Mungu wetu ni mmoja, tena mwenye nguvu na wa kweli, ila wenyewe hatujui tu

    Habari za asubuhi wanaJF wenzangu? Ndugu zangu.. binafsi nimekuwa msikilizaji, mfuatiliaji, mtafiti na mchunguzaji wa kila kilichopo au kinachotokea katika nchi yetu. Katika kusikiliza, kufuatilia, kutafiti na kuchunguza huko, nimeweza kugundua kwamba Tanzania tuna Mungu mmoja, mwenye nguvu na...
  12. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Nchi ambazo zina demokrasia hafifu na jeshi ambalo halina nguvu ya kuifanya ikulu kwa nchi husika zisifanye utumbo ni hatari kwa ustawi wa nchi husika

    Wasalaam nyote, Inapotokea nchi baadhi zina demokrasia hafifu na jeshi lisilo na meno wala utisho, wala hakuna supreme organ ya kuinyosha ikulu basi wanasiasa hata wapesi kama manyoya wanajifanyia watakavyo, ni hatari sana kwa ustawi wa mataifa husika. Triple S, yaani strategic state security...
  13. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Anapata wapi Nguvu ya kuandaa 'Wiki ya Iliyomshinda Nchi" kwao Paje Kizimkazi, wakati TEC wamempiga na Kitu Kizito Jana?

    Sijui safari hii Mganga wangu wa tokea 2016 kakosea wapi kwani mwaka 2021 nilipendwa kweli kweli ila hivi sasa Nachukiwa hadi nawaza au Mganga wangu kwa bahati mbaya au kwa Makusudi alinibadilishia Dozi ndiyo maana Nyota haingai tena hata nikiwaonyesha Upendo wote na Kuwarembulia juu?
  14. Kichwamoto

    JamiiForums Tanzania Ndani ya vyama vya kijamii kuna wenyewe sio uenyekiti wako au ukubwa wako utakaokupa nguvu ya usaliti

    Hello Bazzukulu, Kwenye jamii zetu kuna vyama vingi vya kijamii huanzishwa na watu kwa malengo ya kudumu. Ni vema ifahamike ukipewa nafasi ya uenyekiti au urais wa chama hicho cha kijamii tambua wenyewe wapo na usithubutu kupindisha malengo yako, hasa nyakati za kupewa dhamana kipindi cha...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Kwanini CCM ina nguvu sehemu zenye umaskini wa fikra na mali?

    CCM inazidi kukosa nguvu kwenye majiji na makao makuu ya miji; hakuna mtu anayevaa kofia na t-shirt kama ishara ya uzalendo tena....wazee nao wamepungua kwa kasi huku idadi ya vijana ikiongezeka. Idadi kubwa ya vijana wanahama kutoka maeneo yasiyo na ajira na kukimbilia mijini. Dar es salaam...
  16. D

    JamiiForums Tanzania Matatizo mengi tuliyo nayo yana mizizi ya kiroho. Tafuta nguvu za Mungu kuyamaliza

    Usiache kutafuta nguvu ya Mungu, maana vita ya kiroho hutakaa uiweze bila Mungu mwenyewe kuingilia Kati.
  17. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nimeishiwa nguvu za kiume

    Wapendwa naomba msaada nimeishiwa nguvu za kiume miezi miwili sasa hata nimekuwa kero kwa mwenza wangu. Uume umepungua hata ningebanwa mkojo haustuki unabaki umelegea. Maumivu ya kiuno ni makubwa na hayo yana zaidi ya miaka kumi. Hospitali wamekuwa wakinipa dawa za kupaka tu na za maumivu.
  18. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Jinsi upandikizaji wa Uume unavyofanyika kwa wenye tatizo la Nguvu za Kiume

    Huduma ya upandikizaji uume iliyotangazwa hivi karibuni na Hospitali ya Benjamin Mkapa iliyopo Dodoma ilizua mjadala, huku wengi wakipiga simu kuulizia huduma hiyo. Hospitali hiyo ilifanya upasuaji huo wa kwanza kwa kushirikiana na chama cha Madaktari Bingwa wa Upasuaji wa Mfumo wa Mkojo nchini...
  19. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania TCRA yapiga stop wimbo wa Nay wa Mitego kuchezwa kwenye vyombo vya habari

    Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imepokea taarifa kutoka Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) kuzuiya wimbo uitwao "Amkeni" uliopigwa na mwanamuziki Emmanuel Elibariki (Nay wa Mitego) kutopigwa katika mitandao ya kijamii na vombo vya habari. Aidha, kwa mujibu wa BASATA, maudhui ya wimbo huo...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Taasisi ya moyo ya Jakaya Kikwete kuanza kutibu nguvu za kiume

    Taasisi ya moyo ya Jakaya Kikwete(JKCI), inatarajia kuanza kutoa huduma ya kuzibua mishipa ya uume ikiwa ni hatua ya kukabiliana na upungufu wa nguvu za kiume kwa wanaume wenye tatizo hilo. Akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam, Mkurugenzi wa JKCI Dk. Peter Kisenge...
Back
Top Bottom