Sababu endelevu za mapungufu ya nguvu za kiume

OCC Doctors

Senior Member
Jul 20, 2018
104
151
Ukosefu wa nguvu za kiume (Erectile dysfunction) ni kutokuwa na uwezo wa kufikia au kudumisha kilele cha uume kinachofaa kuridhisha wakati wa kujamiiana.

Mara nyingi nguvu za kiume zinahusiana na matatizo ya mishipa ya damu, mfumo wa neva, hali ya kisaikolojia, na matatizo ya vichocheo (Hormones), kwasababu asilimia kubwa ya wanaume wengi wenye matatizo ya nguvu za kiume wana upungufu wa homoni ya kiume ya (Testesterone).

Sababu nyingine ni matumizi ya madawa ya kulevya.

dr_vaidyas_herbo_24_turbo_male_power_oil_pack_of_2_x_25_ml_0_1.jpg
 
Mwaka mzima ni kupiga tizi na kula chakula vizuri na kufanya ibada nzuri, CHINI hapo unapasahau kabisa kabisa fanya km hapapo tena ndani ya mwaka mzima

Utese mwili wako na mazoezi ya kuchosha mwili hutopatwa na ashki ya NGONO
Ipo vzr, hii nitaifanyia kazi
 
tunaomba suluhisho
Punguza kula vya kukaanga, kula sana mbegu.... Karanga, maboga nk. Fanya mazoezi kuwa active.
Acha kutumia sukari hii ya kwenye chai, Pendelea tangawizi changanya na limao.
Jizoeshe kutumia raw garlic punje 3 Kila siku.
 
Ivi miezi mitano haifai?
Siku 365 maana yake ni miezi 12

No Fap Challenge meaning:-

No masterbation
No sex
No watching pornography
No watching naked women's
No touching your private parts
No wet dreams

365 day's!
 
Sasa wet dreams unazuiaje?? Alafu hata ukiwa unaoga huruhusiwi kugusa private parts
 
Back
Top Bottom