Mabadiliko ya baraza la mawaziri yamethibitisha nia ya dhati ya Mh. Samia kuongeza kasi ya serikali kuwatumikia wananchi na kuchochea maendeleo ili kufikia dira ya maendeleo ya Taifa 2025.
Katika mabadiliko hayo, Mh. Rais ameoneshwa kuridhishwa na Mh. Biteko na Mchengerwa hivyo kuwabadiloshia majukumu ili kuongeza kasi serikalini.
Hata hivyo, kwa madudu serikalini na udhaifu katika utendaji, Biteko na Mchengerwa peke yao hawataweza, tuwaongezee nguvu.
Ili kuongeza kasi, ni vyema Mh. Rais akalifumua zaidi baraza na kuwaondoa mawaziri mizigo wote ili kuweka watu wa kumsaidia zaidi.
Mfano wa Wizara zenye kuhitaji mabadiliko ya haraka na nguvu ya kutuvusha ni:
1. Wizara ya Maji, ondoa Aweso, weka Bashiru Ali Kakurwa uone moto wake
2. Nishati, weka Polepole apambane na wahuni wa IPTL, DOWANS, SIMBION NK
3. BITEKO awe Waziri ofisi ya Rais Kazi maalum ili kuunganisha Serikali
4. Ardhi mrejeshe Lukuvi apige kazi
5. Sheria na Katiba mpe tu mwenye sheria zake Prof. Kabudi
6. Fedha mlete mzee wa CRDB Kimei
7. Nape mpe uenezi wa chama, kwenye uwaziri muondoe
8. Ridhiwani, Makamba na Mwigulu, wabakie na ubunge tu
Hapo utaiona kasi ya utendaji na nchi itasonga mbele.