Yanga na Simba ni imani ambazo zina nguvu kuliko imani za Kidini

Kiplayer

JF-Expert Member
Oct 12, 2018
1,001
1,572
Kwa sasa Tanzania ushabiki wa mpira wa Simba na Yanga unazidi kustawi. Makundi yanayokuja kwa Kasi ni wanawake na watoto wadogo tofauti na miaka ya nyuma.

Imekuwa Imani kamili tunarithishana kizazi hadi kizazi na mtu akishaamini kamwe hatohama mpaka kifo kimtenganishe.

Mtu atachelewa au hatoenda Kanisani au Msikitini kama Simba au Yanga ipo dimbani.
 
Back
Top Bottom