ngumu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini kwa sisi wanaume wengi, ni rahisi kumpata mdada usiemtaka, ila kumpata mdada unaemtaka inakuwa ni ngumu?

    Nimeshaobserve sana hili suala yaani kwa mfano mimi nisipomtamani mdada rohoni, huyo mdada lazima anishobokee, kosa ni kuwa nikiona mdada halafu moyoni nikaanza kumtamani sana na kumpenda na kumuwaza kila siku, bhasi huwa simpati. Hii haijalishi muonekano wake, mdada anaeza akawa mzuri tu, ila...
  2. JamiiForums Tanzania Hoja ipi kati ya zifuatazo ina ukweli ndani yake

    Habari za uzima ndugu zangu. Naomba mkipata muda mtaniambia ni hoja ipi kati ya zifuatazo inaukweli ndani yake : 1.Inasemekana wanawake wengi wamepewa uwezo mkubwa na Mungu wa kutunza fedha kuliko wanaume , 2.Hali ngumu za kimaisha zimewafanya watu wengi wasiabudu 3.Inasemekana kwamba...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…