ngumu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania TANESCO inaweza ikatengeneza faida kubwa sana endapo wataanza kukopesha units za LUKU. Hii ni ngumu kwa mteja kukwepa marejesho

    Habari za wakati huu kaka na dada zangu wa humu JamiiForums. Kwanini TANESCO haikopeshi units za umeme wa LUKU kwa wateja wake? Mimi ninaona kama mchakato huu utawawezesha kupata faida kubwa sana kama riba kwa maana ni ngumu sana kwa mteja kukwepa marejesho. Tofauti ya mteja wa TANESCO na...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Namshauri kocha wa simba kuendelea kumtumia Mugalu kwenye match ngumu za Klabu Bingwa

    Mimi ni shabiki wa timu ya simba Kumekuwepo na malalamiko mengi kutoka kwa wadau mbalimbali wakitaka kocha wa simbs amtumie Kagere badala ya Mugalu Ila wengi wanaendeshwa na mihemko. Naomba niwalinganishe watu wawili kagere Na Mugalu. Kagere udhaifu 1. Kwanza hajui Kukaba 2...
  3. lee Vladimir cleef

    JamiiForums Tanzania Ingawa Ahly kashinda moja laki alikua kwenye Hali ngumu kuliko Simba

    Al Ahly walikua na hofu, waliona Ingekua Ni fedheha Sana kwao kufungwa Mara ya pili na Simba, Ingekua Ni fedheha Sana kufungwa nyumbani mechi ya marudiano baada ya kufungwwechi ya Kwanza, Inajiona Ni timu Bora kuliko Simba,kufungwa Mara mbili na Simba Ni fedheha Sana, Simba ilikua inacheza...
  4. N

    JamiiForums Tanzania As Vita rasmi wamekiri Simba ni team ngumu kubwa isiyozuilika

    Habari mbaya sana kwa deportivo la utopolo ambao kwa sasa wanalalamika kwa nini team ya 13 kwa ubora Africa ambayo very soon itaingia top 10 imeamua kuachana na yutong la sportspesa la 2010 (linalofanana na team ya 74 kwa ubora afrika mbaya zaidi bila aibu sportspesa wanatoa pesa sawa kwa...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kwa wenzetu mliotoka chuo mkajiajiri hapo hapo mlifanyaje? Au mkaajiriwa kwa miaka hii ya ajira ngumu?

    Watu wanasema kuna baadhi ya kozi kupata kazi ni mziki mnene mfano: Human resource, BBA, public adm na nyingine za social studies na arts. Kwahiyo wengi tukimaliza chuo huwa tunakaa tu nyumbani. sasa tuleninmaujuzi tufanye nn au tujiakiri vipi? Baada ya kumaliza chuo?
  6. Mnabuduhe

    JamiiForums Tanzania Buriani Rais Magufuli - Kiswahili ni lugha ngumu

    Salaam! Tarehe 26/03/2021 Ni siku ya Kumpumzisha Aliyekuwa Rais wetu John Pombe Magufuli huko kwao Chato. Nawapongeza sana JamiiForums Facebook page kwa Kuelewa na Kumuenzi kwa Nukuuu Nkutu alizowahi kuzisema wakati wa uhai wake. Na moja ya nukuu hizo ina maneno haya "Siku moja mtanikumbuka...
  7. Mzee Mwanakijiji

    JamiiForums Tanzania Tulizeni Mioyo Watanzania: Taifa liko Salama Mikononi mwa Mama Samia Suluhu Hassan

    Naomba kuwapa pole Watanzania wenzangu kufuatia msiba huu mkubwa wa Taifa letu. Kifo cha Rais John J. P. Magufuli kumeacha ombwe na pia mafunzo kwa maisha yetu sote. Nimepokea kwa masikitiko makubwa msiba huu. Vyovyote vile ilivyo, kama nilivyowahi kusema huko nyuma hakuna ombwe la uongozi...
  8. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Kama Taifa tukubali kuna makosa yalifanyika, tujirekebishe yasijirudie, japokuwa ni ngumu kuondoa makovu yaliyopatikana

    Kuendelea kushupaza shingo kuwa hakuna makosa yaliyofanyika juu ya uvunjifu wa haki za binadamu hapa nchini kwetu ni kupoteza muda. Maana ni kutaka kujenga taswira isiyofaa kuwa mauaji, ukatili na uvunjifu wa sheria ni jambo la kawaida. Tukubali kuwa kuna makosa makubwa yalifanywa na vyombo vya...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kama kuna Wiki Ngumu kwa Yanga SC basi ni hii kwani tayari Umafia umeshamalizwa huko Tanga Alhamisi na Arusha Jumapili

    Waende kwa Tahadhari zote huko Tanga Alhamisi na Arusha Jumapili kwani kwa Umafia ambao umefanyika huenda Wiki hii ikiwa Ngumu Kwao kwa Michezo yao. Nawaonea sana Huruma Kocha Kaze, Boss wa GSM Hersi na Mwenyekiti Msola. Kwa yaliyofanywa huko Watu watauwana.
  10. The only

    JamiiForums Tanzania Tusisumbue ndugu zetu wenye uwezo Hali ngumu kwa Kila mtu

    Wakuu katika ujuzi wa uogeleaji ukiwa unataka kumuokoa mtu asiyejua kuogelea unatakiwa uniache Kwanza maji yamlegeze lasivo akikukamata hatokuachia mpaka mfe wote.maana we unakuwa tumaini la mwisho kwake. Hali Ni mbaya kabisa kwa uchumi wa mmoja mmoja asubuhi hii nimepigwa mizinga 7 ya watu...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Skills (ujuzi) upi ni muhimu kwa vijana kuwa nao kwa kipindi hiki cha hali ngumu?

    Skills au ujuzi upi ni muhimu kuwa nao kijana wa kitanzania mwenye umri kuanzia 18 na kuendelea labda mwisho35 (awe ana soma au yupo mtaani.)vyovyote vile ilimradi kijana. Nia na madhumuni ya uzi huu ni kwamba kujulishana skills mbali mbali za kusomea au kujifunza ili kuendelea kupigania maisha...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Ngumu sana kupata mke wa kuoa

    Nilitangaza kutafta mke ila vigezo tajwa Wengi hawakuvitimiza kwa ufasaha 1.Mwanamke mkristo 2.Mwanamke siyo mwembamba ila awe na umbo mashalah (wamejitokeza wenye unene wa tumbo) 3.Elimu sikuijali sana 4.Sikutaka mfupi, sitaki kafupi, Wengi waliojitokeza na kati ya hao sifa hawana
  13. The River

    JamiiForums Tanzania Kuendesha biashara yako mwenyewe ni kazi ngumu sana

    Wasalaamu wadau,, nimekuwa kila nikianzisha biashara sitoboi kabisa,..kwa mfano nilikuwa namiliki saloon yangu ya kiume lakini cha ajabu sipati wateja,..yaani unaweza kukaa kutwa nzima ukaambulia vichwa viwili tu,,,siku nikipata wengi ni watatu mwisho,.. Vivyo hivyo hata biashara zingine...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Hali ngumu ya Maisha kwa Wananchi: Mwalimu wa Chuo Kikuu amlilia Rais Magufuli anusuru wafanyakazi

    Mheshimiwa Rais, wafanyakazi tunakuomba msamaha FRIDAY JANUARY 29 2021 Mheshimiwa Rais, nakusalimia kwa heshima na taadhima, Mimi kijana wako naendelea kulitumikia taifa nikiwa kituo changu cha kazi hapa Mlimani, kuna jamaa wengine wanapaita Jalalani, ingawa silipendi kabisa hili jina...
  15. Jokajeusi

    JamiiForums Tanzania Shule ni ngumu kuliko mtaa

    Wakuu! Kwa uzoefu wangu, ninaona shule ni ngumu kuliko kitaa. Mimi nikikuburuza shuleni ukakaa, basi jua mtaani hutonishinda kwa chochote kile hata kuzaa tuu watoto ambao ni bure kabisa. Kuna mdau kaanzisha mada kasema Vipanga jeuri mtaa unawanyoosha, kiukweli mimi nilishaapa kuwa nikikuzidi...
  16. AbuuMaryam

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Pikipiki nzuri, ngumu inauzwa kwa bei nafuu!

    HIYO HAPO PIKIPIKI TOYO TOLEO LA KWANZA KABISA... BADO MBICHI KABISA...ILIKUWA YATUMIKA KWA MATUMIZI YA NYUMBANI...YAWEZA PIA KUWA BODABODA... NI NGUMU ASIKWAMBIE MTU...NISHASEMA NI TOLEO YA KWANZA WAKATI ZINAINGIA TU... Documents za msingi na Original zipo kabisa unapewa pikipiki yako...
  17. N

    JamiiForums Tanzania Hali ya kisiasa kijamii na kiuchumi inaelekea kuwa ngumu sana

    Kwa yanayojiri nchini Tanzania kwa sasa inahashiria ugumu wa maisha mbele yetu. Hali ya kisiasa kiuchumi na kijamii inaelekea kuwa ngumu sana hapo mbeleni. Wiki jana USA imewapiga ban viongozi wa Tanzania, ina maana shuguli nyingi zitakwama kwani kitovu cha uchumi wa dunia ni Marekani. Leo...
  18. E

    JamiiForums Tanzania Tatizo la ujinga Tanzania bado ni kubwa

    MJINGA NI NANI? NINI MAANA YA UJINGA? #Kamusi (Dictionary) inatafasiri neno Ujinga (ignorance) kama ukosefu wa maarifa au taarifa juu ya jambo Fulani. Lack of knowledge or information. #Kamusi (Dictionary) inaendelea kusema; Mjinga ni mtu anaeukataa au kuupuuza ukweli kwa makusudi. A person who...
  19. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Ukweli mtupu: Ni ngumu kudai utawala wa demokrasia na haki za binadamu huku ukiwa ughaibuni

    Unapokuwa Mwanasiasa makini lazima uingie field ili uonje machungu ya kile unachoropoka mara kwa mara kuwa hakipo ili watu wajue kweli na wewe unapata machungu! Mtu yupo Belgium anazungumza habari za wakulima wa Mtwara na Katavi kukopwa mazao yao,hii inaleta sense? Unaposema mtakomaa ili...
  20. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania Mwaka 1999 kurudi nyuma ilikuwa ngumu sana kuchaguliwa shule ya Sekondari ya Serikali. Waliobahatika walijulikana kata nzima. Je, wewe ni mmoja wao?

    Habari za wakati huu kaka na dada zangu wote wa hapa JamiiForums. Ndugu zangu watanzania; Mwaka 1999 kurudi nyuma ilikuwa ngumu sana kuchaguliwa shule ya secondary ya serikali. Wachache waliobahatika walijulikana kata/tarafa nzima. Je, wewe ni mmoja wao? TABORA BOYS SECONDARY SCHOOL Juzi...
Back
Top Bottom