ngumu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Jitihada za kuikomboa familia zimemuacha mama katika hali ngumu.

    Familia ya baba mama na watoto wawili iliamua kusafiri ili kutafuta elimu nzuri ya watoto na maisha bora kwao wenyewe. Walifika Canada na kuanza maisha. Hali ilikua ngumu, walikaribishwa na rafiki. Kukaribisha watu wanne nyumbani si rahisi hivyo ilibidi watafute kibarua kitakachowawezesha...
  2. Notorious thug

    JamiiForums Tanzania Ni ngumu sana mtuhumiwa kujinyonga mahabusu au gerezani

    Poleni na majukumu naomba nigusie machache kuhusu hili tukio la mtuhumiwa wa mauaji ya mfanyabiashara wa madini kudaiwa kujinyonga akiwa mahabusu. Mahabusu ni chumba au jengo kama bweni ambalo mara nyingi linakua na madirisha mawili kwa juu na mlango mmoja wa chuma mengine mbao...
  3. Kibosho1

    JamiiForums Tanzania Tanzania ni nchi ngumu sana kutoboa bila shortcut, hakuna uwazi

    Tuseme ulikiwa unafanya biashara maeneo yasiyo rasmi (machinga) ukatolewa na serikali. Ukatoka na msingi wako wa 2ml kwenda mtaani kuanza biashara unaamua kuuza kiduka cha vitu vidogo vidogo labda na gas za kupikia majumbani. Kutokana na msingi kuwa mdogo na hali ya biashara mauzo yako...
  4. ESCORT 1

    JamiiForums Tanzania Tuweni makini huko kwenye shughuli zetu, kuna watu wanakofia mbili ni ngumu kuwatambua

    Huyu jamaa ni nani na yupo kwa maslahi ya nani? Tukio la kuungua moto soko la Kariakoo alikuwa ni machinga, tukio la kuungua moto Karume yeye ni Mlinzi?na anapata attention ya media. Je huyu ni sehemu ya wale jamaa zetu?
  5. F

    JamiiForums Tanzania Kwanini ngumu kusikia Mauaji ya wanandoa Zanzibar kama Bara

    Habari wadau,? Binafsi nina swali najiuliza sana. Why sijawahi kusikia wanandoa wameuana Zanzibar ama Pemba? Je, huko hakuna usaliti ama ndoa zao zina miujiza ya ziada.? Bara kuna kesi nyingi hasa za mume kumuua mkewa ama kumjeruhi ila Zanzibar why hapana?
  6. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Dunia ni ngumu jitahidi kufurahi kila uwezapo

    Unaempenda hakupendi au anakupenda kwa manufaa yake binafsi. Anaekupenda unamuona si wa hadhi yako. Unapokutana na anaekupenda kwa dhati na wewe ukampenda kwa dhati, Kuna jambo litatokea mnaweza kushindwa kuoana. Mkioana mmoja anaweza kufa mapema. Mnapendana lakini matatizo hayaishi...
  7. chiembe

    JamiiForums Tanzania Makusanyo ya nchi ni trilioni 1.2 kwa mwezi, mishahara tu bilioni 600,Baki bilioni 600,stiglers,SGR trilioni 30, bila kukopa ni ngumu kumaliza miradi!

    Wale wanaosema tusikope, waje mezani na hesabu, nchi inakusanya Kila mwezi trilioni 1.2. Mishahara inakula bilioni 600, inabaki bilioni 600, hii ilipie umeme, maji, karatasi, mafuta ya magari,posho na mengineyo, inabaki ngapi? Haya, kama SGR inaweza kula trilioni karibu 20, maana yake serikali...
  8. F

    JamiiForums Tanzania Kwanini Ripoti za Tume za Jaji Warioba ni Ngumu Kutekelezeka?

    Jaji Maarufu kimataifa Mhe. Joseph Sinde Warioba ameweka rekodi ya kipekee kwa kuongoza Tume mbili za Rais katika historia ya JMT na katika historia ya Majaji wa Tz. Tume yake ya kwanza ilikuwa ni ya kuchunguza kushamiri rushwa nchini; tume iliyoundwa na Mhe. Big Ben Mkapa ambayo hata baada ya...
  9. Mkaruka

    JamiiForums Tanzania "Dokta nimekuelewa, ila kama unadhani hizo Dawa ni Tamu, Meza wewe"

    Kiukweli binadamu ni wabishi sana. Yaani mtu ameathirika na VVU, akashauriwa kuanza kumeza dawa akakubali. Baada ya kumeza kwa muda akaacha. Sasa leo anatafutwa tujue tatizo nini ili kulinda afya yake haya ndio majibu anatoa🙄 Anyway, hawa ndio binadamu.
  10. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Utoto hutegemea hali ya uchumi, hali ya uchumi ikiwa ngumu utoto huisha mapema

    Hali ya uchumi ikiwa nzuri kunakuwa na mpishi wa kupika na mtoto huitwa chakula kikiwa tayari. Anakua na michezo ya kuchezea na nguo zinazohitajika kwa wakati, mfano za kukalia, za shule, za ibada nk. Elimu ndiyo imetoa nafasi kwa watoto wengi kupata muda wa kufaidi utoto wao wawapo shuleni...
  11. Kijakazi

    JamiiForums Tanzania Kwanini ni ngumu kusikia Mwanamke akisema “Mume wangu“?

    Binafsi nimekuwa nikijiuliza sana hili swali, ni kawaida sana kwa Mwanaume kusema Mke wangu hivi na vile, au hata kutambulisha huyu ni Mke wangu lkn kinyume chake ni nadra sana kusikia Mwanamke akisema Mume wangu hivi na vile au labda akitambulisha huyu ni Mume wangu, wengi akienda mbali sana...
  12. britanicca

    JamiiForums Tanzania Britanicca ndani ya Korea Kusini na Kaskazini Kwa miezi 8, week ya awali yawa ngumu Kwa kukiuka Utaratibu wa nchi husika

    Ni mara yangu ya pili kufika Pyangyong ! Ni kazi zetu hizi hizi ambazo Kwa manufaa ya wengi si vema kuzisema sema! Mwaka 2017 nilienda Korea kaskazini na nikakuta mashart magumu sana ambayo Kwa mtu asiye mvumulivu anaweza akajuta Kwenda ! Mashart kama vile 1. Kusindikizwa na wazawa wawili Kama...
  13. N

    JamiiForums Tanzania Kama watu hawaandikishwi wakiingia lock-up basi ni ngumu kutrace kuhusu akina Ben Saanane, Azory, n.k

    Yaani Wanasheria wa Serikali walinishangaza sana kuleta ushahidi ambao unaonesha watu hawakuwekwa lock-up pale TAZARA wakati wahusika wanajua kabisa waliwekwa lock-up hiyo. Mashahidi wa Serikali walishadadia sana kwa ushahidi wa sijui Jumanne yule kuonesha kuwa eti watuhumiwa hawakuwa lock-up...
  14. Lord OSAGYEFO

    JamiiForums Tanzania Nchi yangu ngumu sana. Demokrasia hatuijui na tunaiogopa

    Hakika Nchi yangu Ngumu sana CCM Wanafanya Mikutano bila hata Kibali cha Polisi Vyama vya Upinzani pamoja na kutii Sheria bila Shuruti lakini Wanakatazwa kufanya Mikutano. Nchi yangu kweli Demokasia HATUIJUI na TUNAIOGOPA
  15. Optimists

    JamiiForums Tanzania Ushuhuda: Biashara ya mchele ni ngumu mno!

    Kijana wenu baada ya kumaliza chuo nikaona nijimix kwenye harakati za maisha nipo Dar es Salaaam japo Nina mda mfupi sana hapa. Nimezunguka masoko yote hapa dsm kuanzia mabibo mpaka mbagala nilikuja na idea nyingine kwa sababu mtaji sikua nao mkubwa nikashindwa kwa sababu ilihitajika sehemu ya...
  16. L

    JamiiForums Tanzania Gia kuwa ngumu kwenye subaru forester 2010

    Habari za asubuhi naomba msaada napata shida kuingiza gia gari nalotumia ni subaru SHJ 2010 forester Nimeangalia transmission fluid iko sawa
  17. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Mitoto mingine sijui ikoje? Kazi ya ualimu ni ngumu sana aisee

  18. L

    JamiiForums Tanzania Marekani yahimizwa kubadilisha sera yake ngumu dhidi ya China

    Katika miaka ya hivi karibuni, serikali ya Marekani imetekeleza sera ngumu dhidi ya China, na kusababisha kuzorota kwa uhusiano kati ya nchi hizo mbili. Jarida la kisiasa na kidiplomasia la Marekani “Maslahi ya Kitaifa” limetoa makala, inayosema serikali ya Marekani inapaswa kuzingatia zaidi...
  19. kavulata

    JamiiForums Tanzania Kabla ya wanasiasa kusema machinga ni nani, kuwapatia maeneo ni kazi ngumu sana

    Duniani kote "mmachinga" ni yule mtu anaetembeza bidhaa zake kwa kutembea nazo mikononi mwao au kwenye begi la mgongoni akitafuta waliko wanunuzi. Yaani badala ya mnunuzi kufuata bidhaa (dukani), mara hii mwenye bidhaa (duka) ndiye anaemfuata mnunuzi. Wafanyabiashara wa aina hii sio kero sana...
  20. Linguistic

    JamiiForums Tanzania Hali ya upatikanaji wa ajira imekuwa ngumu

    Walimu watatu waliohitimu shahada ya Uzamivu (PhD) mwaka 2018 nchini Kenya wamelazimika kufundisha shule za awali [chekechea]. Hii ni Kutokana na kukosa nafasi kwenye vyuo vikuu na Taasisi za Elimu nchini humo. Walimu hao ni Dk. John Timon Owenga, Dk. Violet Otieno na Dk. Daughty Akinyi.
Back
Top Bottom