Chadema 2030
JF-Expert Member
- May 5, 2025
- 1,920
- 3,757
Leo nimerusha vaibu kwa demu nnayemmaind.kanichenjia kinoma ameniambia nimkome.
Hata nashindwa ni kiherehe gani ilinipeka kwake.saiv kan vuruga nimeamua nkanywe bia nitulize mawazo.
Hata nashindwa ni kiherehe gani ilinipeka kwake.saiv kan vuruga nimeamua nkanywe bia nitulize mawazo.