ngumu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Anapost wanaume walionunua magari na chattings zao status wakati mimi niko kwenye hali ngumu kiuchumi

    Mens niko kwenye ndoa miaka 3,tangu mwaka jana nimekua kwenye hali isiyo nzuri financially,sasa majuzi nacheki status naona wife kapost mwanaume rika langu kanunua ndiga akapost na chattings zao za kupongezana. Sikuona wivu kwamba jamaa rika langu kavuta chuma mimi sina ila nilifedheheka baada...
  2. JamiiForums Tanzania Kweli ndoa ngumu, binti anataka kuolewa na boda boda

    Nasikiliza mazungumzo ya mama na binti yake hapa. Binti anajaribu kumshawishi mama yake amruhusu aolewe na dereva boda boda. Binti: lakini mama huyu ni muelewa. Mama : kwanini usitafute kijana msomi kama wewe. Hivi kweli biashara zao zinaweza kuendesha kweli?? Binti ni pisi kali mno...
  3. JamiiForums Tanzania Nyakati ngumu mbele yetu ila tusikubali kurudi nyuma kamwe!

    Wasalaamu wadau wa JF, Kama taifa zipo nyakati tutapaswa kuzipitia zipo nyakati ngumu tutapaswa kuzipitia. yapo ya kujitolea na wapo wa kujitolea kama wana Taifa ili tu Taifa lisonge mbele. Ipo hivyo na itaendelea kuwa hivyo! Cha muhimu na muhimu zaidi ni kuendelea kujitolea kwani tunayo...
  4. JamiiForums Tanzania Kazi ya kusaka mke / mume ni ngumu sana ukiwa above 30 na umejipata kimaisha. ila mwanamke / mume unamuona anafata hela zako. Ushauri kijana oa mapema

    Habari wadau. Kwa research yangu isiyo rasmi. Kazi ya kusaka mwenza wa maisha ni ngumu sana ukianza kuifanya ukiwa na age above 30s.. Imani yako kwa watu inakuwa ndogo sana kutokana na uhalisia wa ubongo wako ulivyopevuka. Hii inawatokea vijana wengi wa kiume na wa kike waliojipata. Yaani...
  5. JamiiForums Tanzania Ulishawahi jiuliza ni kwanini wakristo waliokoka wengi wana hali ngumu za kiuchumi japokua biblia imewahidi baraka nyingi sana

    Kama kinavyosema kichwa cha habari hili ni swali ambalo watu wengi wamekua wakijiuliza kwanini walokole wengi sio wote hali zao za kipato sio nzuri japokua kwenye biblia wameahidiwa baraka nyingi sana na Mungu na huku watu wanaoishi maisha yasiyompendeza Mungu wanamaisha mazuri na familia zao...
  6. JamiiForums Tanzania TFF na Bodi ya Ligi mipango yenu ya kuipangia Yanga ratiba ngumu ili idondoshe point imezikwa rasmi, Mungu sio Athumani

    Kwakweli Hawa watu ni makatili sijawai Kuona, walikuwa wametega mtego mbaya sana dhidi ya yanga lakini wameferi na wameshindwa vibaya sana. Hii ratiba aikupangwa kwa bahati mbaya bali walikuwa wamedhamilia na walikuwa na Nia mbaya kabisa, yanga kacheza na Azam baada ya siku tatu kacheza na...
  7. JamiiForums Tanzania Ajira za Makocha wa Mpira wa miguu ni ngumu

    Kati ya vitu vinavyoniletea shida ni Ajira za Hawa waheshimiwa na walimu wengine kwa ujumla.Ebu tufikilie hapa kocha au mwl anapewa timu na anafanya kwa kadri ya uwezo wake na mwisho wa siku yeye haingii uwanjani kucheza na Yale alowaelekeza wachezaji wake wakishindwa kutekeleza zigo...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Ni ngumu sana jambo lisilo na Goli la Mkono kwa Tanzania (Watanzania) kuleta ushindi

    Ukifatilia katika mambo mengi hapa Tanzania iwe kwenye siasa, michezo, uchumi au hata mahakama au kesi, katika kila jambo ambalo Mtanzania yumo kama hilo jambo halitoi mwanya wa Rushwa, Upendeleo au kwa lugha ya Mh. Nape Goli la Mkono basi hilo jambo ni ngumu sana kufanikiwa. Nakumbuka enzi za...
  9. JamiiForums Tanzania Askari wa barabarani kazi bado ngumu

    Elimu ya matumizi ya zebra na taa za kuongoza magari na waenda kea miguu bado haijawafika wananchi wengi hasa kwenye Manispaa mbalimbali, walau kwenye majiji watu wanaelewa. Ongezeni jitihada ya elimu hii live in majority siyo mnatumia vyombo vya habari tu. Leo nimepita mahala taa ya kuzuia...
  10. JamiiForums Tanzania Askari wa barabarani kazi bado ngumu

    Elimu ya matumizi ya zebra na taa za kuongoza magari na waenda kea miguu bado haijawafika wananchi wengi hasa kwenye Manispaa mbalimbali, walau kwenye majiji watu wanaelewa. Ongezeni jitihada ya elimu hii live in majority siyo mnatumia vyombo vya habari tu. Leo nimepita mahala taa ya kuzuia...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Mfumo mpya wa ulipaji mapato kwa Serikali umekuwa mgumu sana kwa mtu wa Kawaida

    Mfumo mpya wa ulipaji mapato ya Serikali umekuwa ngumu sana kwa Wananchi wa kawaida. Nitoe mfano, kama Mfanyabiashara anataka kulipia leseni yake kwa mfumo mpya lazima umtafute mtu akusaidie taratibu zote mpaka control number itoke. Mfanyabiashara kwa kazi hii anatozwa mpaka 20,000 kwa kazi...
  12. JamiiForums Tanzania Jamani hali ni ngumu sana ila tuwe makini na mafanikio kiganga

    Uganga na uchawi upo tangia enzi, tunaweza kuona katika maandiko ni jinsi gani waganga wa farao walivyoweza badilisha fimbo zikawa nyoka. Kwa kila maombi na hitaji la kiroho huwa panaambatanishwa na sadaka itokayo kwa yule anae ombwa. Sasa Mganga hawezi kukueleza kila kitu, kwa maana mafanikio...
  13. JamiiForums Tanzania Ni mstari gani kwenye biblia unautumia sana upitiapo nyakati ngumu katika Maisha

    Bwana wetu Yesu kristo asifiwe wana Jf Katika maisha yetu hapa duniani kuna wakati tunapitia nyakati zilizo na mambo magumu sana, kiasi kwamba kwa uwezo wetu unakosa majibu na kubaki kujiuliza maswali magumu yasiyo na majibu. Nyakati kama za Kufukuzwa kazi, Ugumu wa maisha, kupoteza wapendwa...
  14. JamiiForums Tanzania Kama una shida ni ngumu sana kupata msaada kwenye kanisa la KKKT kama hawakujui

    Note Unahaki ya kumnyima mtu msaada sio dhambi au kosa ila usidhalilishe utu wake kama hauna nia au hutaki kumsaidia Upendo wa kweli unapimwa kwa watu usiowajua unawatreat vip usiowajua wanapohitaji msaada wako na sio unaowajua Kuna mwaka nilipitia msoto mkali nilikua mitaa ya ITV nikasema...
  15. JamiiForums Tanzania Sielewi hili ni ngumu kumeza

    Nilikuwa na aangalia taarifa ya habari sasa kuna mwanamama akasema akipata pesa atawasomeshea watoto wake. Sasa hapo nikawaza kama watoto wana baba yao na ni kichwa cha familia, kwanini mama ammbebe mimba na amzalie watoto na bado majukumu ya familia afanye yeye wewe kama baba haki yako iko...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Mpwayungu yupo sahihi, hii kazi ya ualimu ni ngumu sana

    Habari za asubuhi ndugu zanguni, Nimefanya kazi ya ualimu katika shule x mkoani Dodoma kwa miaka 3 sasa nikifundisha masomo ya A level kwenye shule moja ya private. Lakini naona kama hii kazi inakuwa ngumu sana kwangu kuendelea nayo sababu na experience vitu vifuatavyo vinavyoniumiza na...
  17. JamiiForums Tanzania Kwanini kutoka bara kuwa kiongozi Zanzibar ni ngumu tofauti na kutoka Zanzibar na kuwa kiongozi bara?

    WanaJF Kuna swali huwa linanitatiza kwa nini ni Rahisi sana Kwa mwanasiasa toka Zanzibar kuja kupata uongozi bara lakini ni nadra kusikia mtu wa bara kapata uongozi Zanzibar?
  18. K

    JamiiForums Tanzania Kauli za Ney wa Mitego ni ngumu kuliko za sifa boniventure. Sifa anaonewa. Aachiwe haraka

    Kauli za ney wa mitego ni ngumu kuliko za sifa. Sifa boniventure anaonewa. Aachiwe haraka. Hivi hiki kiwimbo Cha sifa kina maneno mazito Kama nyimbo ya amkeni ya ney? Kama sio why ney yupo nje na sifa yupo ndani? Tuachane na Hilo, twende kwa Lissu, Hivi kwa maneno ya lisu ukiyalinganisha na...
  19. JamiiForums Tanzania Wastaafu waweka ngumu Serikali kutoa Elimu ya Katiba kwa Miaka 3

    Mpango wa Serikali kutumia miaka mitatu kutoa elimu ya Katiba kwa wananchi kabla ya kuendelea na mchakato umepata upinzani mpya baada ya mawaziri wakuu watatu wastaafu kuhoji sababu za uelimishaji huo. Mawaziri wakuu hao ni, Cleopa Msuya na Frederick Sumaye na Jaji Joseph Warioba kwa nyakati...
  20. JamiiForums Tanzania Vuguvugu la elimu Katiba Mpya, wazee waweka ngumu

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…