Eli Cohen
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 1,309
- 4,017
Uganga na uchawi upo tangia enzi, tunaweza kuona katika maandiko ni jinsi gani waganga wa farao walivyoweza badilisha fimbo zikawa nyoka.
Kwa kila maombi na hitaji la kiroho huwa panaambatanishwa na sadaka itokayo kwa yule anae ombwa.
Sasa Mganga hawezi kukueleza kila kitu, kwa maana mafanikio utaweza kuyapata lakini at what cost wewe ndio hutaelewa
Mganga ataomba "uwepo huo" ukusaidie katika mishe zako, kumaanisha mishe zako zinakuwa under supervision ya uwepo huo, lakini uwepo huo hauwezi kukwambia unahitaji nini in return.
Sasa ndio pale ushangaa mimba za mke wako zinatoka mara kwa mara, mtoto wa kwanza kufa, kuzaa mtoto zezeta, mtoto wako wa kike kuwa chakula yao ya kuzimu, kifo cha ghafla na mapema, kuzaa watoto wote wanaharibika na mambo ya dunia, magonjwa makali yasioisha nyumbani kwako, kufa kwa kila mke utakaeoa, etc.
So at some point, kuna sadaka utatoa kwa uwepo hule bila wewe kujijua and it will be painful, na muda mwingine utachukia utajiri huo wa kiganga.