Sielewi hili ni ngumu kumeza

Unique Flower

JF-Expert Member
Apr 19, 2019
12,714
24,892
Nilikuwa na aangalia taarifa ya habari sasa kuna mwanamama akasema akipata pesa atawasomeshea watoto wake.

Sasa hapo nikawaza kama watoto wana baba yao na ni kichwa cha familia, kwanini mama ammbebe mimba na amzalie watoto na bado majukumu ya familia afanye yeye wewe kama baba haki yako iko wapi hapo, na baadae unashangaa watoto wanamjua mama yao .

Kisa wakiwa wanakuhitaji hukuwa unahangaika nao ila wamefanikiwa unataka uwe mstari wa mbele kwa lipi je humu simpo ??
 
Habari yako haijakamilika. Baba wa watoto yuko wapi, uhusiano wa baba na mama watoto upoje, kama uhusiano haupo sawa umesikiliza na upande wa baba watoto kujua kosa lipo kwa nani?
 
Umuhimu wa mama na mtoto una thamani kubwa mda mwengine sisi wa baba tunaweza kushindwa kusomesha kwa kukimbia au kutelekeza lakini mama haka simama kama nguvu ya mwanawe.
 
Back
Top Bottom