Binafsi nina roho ya Musa, nachukia uonevu hata kama huo uonevu sijafanyiwa Mimi.
Yule mtu ana mapungufu ya akili , maana mtu mwenye akili timamu asingeweza kuvamia msafara ambao uko na limited time.
Yule mlinzi analipwa na fedha za umma kulinda Watanzania kwa njia moja ama nyingine.
Yaani...
Mlinzi wa msafara amtwanga bonge ya ngumi raia mwema aliyekuwa akijumuika barabarani kwenye maombolezo ya msiba wa Lowassa
Sio kwa ngumi hii aisee halafu huyu aliyepigwa inaonekana kama amekata Moto kabisa.
Ukisikia Mwanasoka anatoa maneno ya hovyo kwa chombo cha habari basi tambua kuwa amechoka dhihaka na dharau.
Hii ni post ya Ukurasa maarufu wa michezo Duniani ukimdhihaki Messi.
Hivi nifanyeje? Na ukizingatia nimetoa mahari kubwa na kuna kiasi bado na nadaiwa kule kwao na ukizingatia mwanamke mwenyewe ndiyo huyu yaani nilivyotegemea na niliyokutana nayo ni vitu viwili tofauti
Kosa ni kumuambia kwanini unamtumia picha zako mwanaume mwingine? Aisee akanyanyuka juu...
Nimeskitika sn Dulla na Ibra Classic kulalamikia chama Cha ngumi Tanzania eti Dulla alikuwa ameshinda.
Kibaya zaidi Ibra Classic anaongea bila aibu eti majaji wameshindwa kumbeba Dulla kwa sababu hata wao wanapoenda Ulaya huwapiga wazungu lakini majaji huwabeba wazungu wenzao...
Inadaiwa Msanii Harmonize na team yake ya Konde Gang walienda VVIP kwa ajili ya kushuhudia mchezo wa Tanzania dhidi ya Morocco kuwania kufuzu Kombe la Dunia 2026, wakati wa mapumziko, jana Usiku wa Novemba 21, 2023.
Watu hao wakashuka kwa lengo la kuelekea Uwanjani inaaminika wlaitaka kwenda...
Huu mchezo sio kabisa na hata kuita mchezo ni makosa kabisa. Watu wanaumizana huku wengine wanashangilia halafu eti unaitwa mchezo.
Najua ngumi ni biashara kubwa duniani na ni ajira kwa watu wengi ukiacha mabondia wenyewe, ila ukweli unabaki pale pale kuwa huu mchezo haufai kabisa.
Bahati...
Kamisheni ya ngumi za kulipwa Tanzania (TPBRC) imemfungia Bondia Hassan Mwakinyo kujihusisha na mchezo wa ngumi nje na ndani ya Tanzania kwa muda wa mwaka mmoja na faini ya shilingi milioni 1
Hatua hiyo imekuja kutokana na kugomea pambano lake lililokuwa lifanyike septemba 29.2023, Dar es...
Wakati tukiwa tunasubiri kuwaona Max na Pacome wakifanya vitu vyao pale mjini Chigali, tujifunze kitu kuhusu tofauti ya ngumi za mtaani kati ya Arusha, Dar na Mwanza.
Nitajikita zaidi kwenye behaviour ya mashuhuda wa ngumi. Hii itakusaidia wewe kijana mpambanaji unae safiri katika mikoa...
Picha: John Ngumi
Mshauri wa uwekezaji na mzoefu wa bodi John Ngumi amejiuzulu kutoka Bodi ya shirika la ndege la kitaifa Kenya Airways (KQ) baada ya kutumikia chombo hicho kwa miaka minne.
Aidha, Mwenyekiti wa Bodi ya KQ, Michael Joseph, ametoa taarifa maalumu ya kujiuzulu kwa John Ngumi...
Shida Kuu Simba Sports Club
1. Mwekezaji Mo na Uongo wake juu ya kuweka Tsh 20 Billion huku akifaidika zaidi na Timu kuliko Simba SC inavyofaidika nae
2. 90% ya Wajumbe wa Bodi ya Simba SC ni Wapigaji huku kila Mmoja akiwa na Mchezaji wake kwa ajili ya 10% na wasipoipata wanawalazimisha...
Mjumbe wa Ukraine alikua ameshikilia bendera ya kwao Ukraine, kisha wa Urusi akajifanya kichaa na kuja kumnyang'anya, aisei kapokea za uso, jameni watu wa Ukraine wana uchungu na nchi yao, na kuwafanyia utani wanaliamsha popote hata kama ugenini kwa watu...
Tunaharibu sana kuwa na upendeleo usiofaa hata kidogo.
Mtu anapelekewa mwanzo mwisho halafu anapewa ushindi wa mchongo.
Wapi amempiga huyu jamaa? Ile moja tu ya kubahatisha?
Shalomu Tanzania!
Nimekuwa nikiota ndoto za ajabu na kwa upande mwingine ndoto hizo, huwa zinanifurahisha na naamini pia iwapo itakuwa ni kweli' wote waliowahi kusababishiwa umasikini na ama kuteswa na wanaojiita CCM, basi tutakuwa na kila sababu ya kufanya sherehe anguko hili tukufu la wana...
Wiki juzi almanusura nife miaka ya nyuma kidogo nilikuwa naweza kutupa ngumi mbili tatu pumzi ya kati😂😂😂😂 Majuzi tuko huko baani nikiwanashtua kidogo, mara jamaa akaanzisha ugomvi, chap kasogeza meza tuzipange.
Sikutaka kubaki mnyonge nikijiamini na kale ka pumzi kangu!! Nimerusha ngumi ya...
Naomba ufafanuzi,
Mimi ni introvert mtaa mzima wanaelewa kuwa sina makuu na mtu. Siongeagi na mtu yoyote pasipo sababu za msingi.
Sasa hapa ninapopanga kuna mpangaji analewa then ananigonga madirisha yangu bila sababu. Nimefungua dirisha na nimemsalimia na kupitisha mkono vizuri na kumpa ngumi...
Karim Mandonga pamoja na kujizolea umaarufu katika mchezo wa ngumi, lakini wadau mbalimbali wanaona hautendei haki au kuupa heshima mchezo huo.
Jana nilikuwa naangalia clip moja akiwa Kenya katika maandalizi ya pambamo lake. Wakati anazungumza na waandishi, akasema mpinzani wake akipata ngumi...
Mwamba mwenyewe, Karimu Mandonga, mtu kazi a.k.a Sungunyo kaibuka kivingine huko Nairobi Kenya na aina ya ngumi kali sana itakayomvagaa mtu tarehe 14.01.2023.
Kazi ya hatari inaenda kufanywa na Mandonga kaingia msitu wa Mau Mau na ngumi Sungunyo, awe Mkenya awe Mjaluo atakutana na kipigo cha...
Mambo vipi WanaJf na wapenzi wa ndondi kwa ujumla. Hoja yangu ni kwamba mchezo wa Ngumi Tanzania au bongo ni wa Kimchongo sana, sioni maendeleo yoyote ya Ngumi zaidi ya kumtumia Mandonga kuuhadaa wapenzi wa Ngumi. Mapambano yenyewe ya Mandonga ndio yanayobeba event nzima ya siku...
Visa vya John Pompeo viko zaidi ya milioni
Mwaka 2013 ,bosi wa chama cha wamiliki wa malori aliingia kwenye mikwaruzano na waziri wa ujenzi enzi hizo.bwana Pompeo
Iko hivi kulikuwa na sheria kuwa malori yakizidisha uzito kwenye mzani kama uzito huo hauzidi asilimia tano basi yangesamehewa,ila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.