Kiuhalisia Ukraine inachakazwa sana!! Ila vyombo vya magharibi vinapotosha ili kukwepa aibu ya kushindwa kuilinda ukraine kupitia air defenses walizopeleka huko!
Asilimia 80 ya mji mkuu kiev hauna maji, na umeme na kila jimbo la ukraine hali ni mbaya hawana maji na umeme!! Kisa dogo...
Mchezaji nyota wa zamani wa Australia Chris Davidson amefariki baada ya kupigwa ngumi nje ya baa moja Kaskazini mwa Sydney.
Mwanamaji huyo mwenye umri wa miaka 45 alipigwa usoni na kuanguka, akigonga kichwa chake kwenye barabara, polisi walisema. Alitibiwa katika eneo la tukio lakini alifariki...
Kwanza nianze kumpongeza kwa anachokifanya,si kwamba nampongeza kwa kupigwa pigwa la,ila kwa kutumia fursa.waswahili wanasema "bahati haiji mara mbili" na "mungu akitaka kukupa hakuandikii barua"
Mandonga licha ya kupoteza kwa kupigwa kwa aibu katika mapambano yake.bado hajawahi kuonesha...
Sisi wapenzi halisi wa ngumi tunachukizwa na Upuuzi na dharau ambazo wanazifanya Azam katika mchezo wa Ngumi. Huu si mchezo wa Maigizo. Mtakuja sababisha mtu adhurike au afe ulingoni.
Lakini pia hiyo tabia kuna watu wataacha kabisa kufuatilia mchezo wa ngumi. Sababu inaonekana kabisa...
Angalia pambano la ngumi kati ya Liam Smith vs Hassan Mwakinyo kuanzia saa nne na nusu usiku wa leo tarehe 3 kuptia link hii hapa chini.
https://www.vipleague.st/boxing-sports-stream
Tayari mapambano yameshaanza ulingoni ndani ya Uwanja wa Majimaji Mjini Songea, leo Jumamosi Julai 30, 2022:
Ndunguru ashinda
Bondia Usungu Ndunguru amefanikiwa kupata ushindi dhidi ya Bernard Chitepete katika pambano la awali. Wamepigana uzito wa Super Light, raundi 6.
Mtu kachapika TKO...
Sasa na wewe usiwe kilaza hapa Jf ni the home of the Great Thinkers. Nimesema Karim Mandonga ndio " Mike Tyson" wa ngumi za Tz kwa sasa , sijasema ni Mike Tyson. Mike Tyson is not the same as " Mike Tyson"
Wakati wa utawala wake Mike Tyson alipendwa sana na mashabiki wa ngumi duniani...
Watu wa utamaduni hawachapi mwanamke kwa fimbo. Wanamchapa kwa Ukuni. mwanamke hapigwi makofi... hapigwi ngumi na mateke (hapa ndo unakosea kabisa ) afadhali kibao kimoja tu cha kumshtua akili lakini si ngumi na mateke. yaani ukimpiga mwanamke ngumi au teke wewe ufungwe kabisa hufai.
Mwanamke...
Imeripotiwa asubuhi hii 07 June 2022 huko Kigamboni!
Mzee mmoja ambaye jina lake bado halijafahamika! Leo asubuhi akiwa kama abiria kwenye bajaji maeneo ya kisiwani, alitokea abiria mwingine njiani, ambaye ni mwanamke akiwa kavaa vizuri tu mama wa watu, yule mzee akiwa abiria ndani alimkaribisha...
Diwani wa CCM kata ya Uwanja wa Taifa mjini Morogoro, Rashid Matesa ajeruhiwa baada ya kupigana na mwenyekiti wa CCM kata hiyo, Athumani Mswagala kwenye kikao cha chama kwa kinachodaiwa kupinga hoja ya mwenyekiti wake kutaka viongozi wawili wajadiliwe kutokana na utovu wa nidhamu
2 proud a.k.a sugu a.k.a mr 2 a.ka Jongwe... Taita la mataita.
Samahani kama nitamkwaza mheshimiwa lakini nimeona nimpe ushauri kidogo.
Kwenye hii video aliyopost haihitaji mtu awe bondia, hata mvulana anaejua mambo machache kuhusu ngumi ataona kwamba kuna tatizo kwenye urushaji wa ngumi...
Nilidhani Viongozi wetu huku kuelekea Kutimiza Miaka 60 ya Uhuru wa Tanzania wangskuwa wanahimiza zaidi 'Utanzania' wetu ila cha Kushangaza sasa Watanzania tunatakiwa Kuiga 'Tamaduni' za Wengine ambazo sina uhakika kama zitaeleweka vyema.
Kuna Mtanzania Mmoja jana akiwa pande za Morocco...
Huyu kijana kwa kweli hana uwezo wa kushinda pambano lolote la ndondi kama kunakuwa na uamuzi wa haki , hajui kupigana , ni vema akatafuta cha kufanya kabla hajauawa ulingoni .
Leo kwenye Vitasa vya Azam kaokolewa na Refa Mlundwa bila sababu ya msingi .
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndg. Daniel Chongolo anafanya mkutano na waandishi wa habari katika ukumbi wa Halmashauri Kuu (NEC) Makao Makuu ya Chama jijini Dodoma.
=====
KATIBU MKUU CCM AWAONYA WENYE NIA OVU SUALA LA UMEME, ATOA MAAGIZO KWA WIZARA TATU
CHAMA Cha Mapinduzi CCM...
Mimi ni mshabiki mzuri wa ngumi. Hivi karibuni kumekua na mwamko mkubwa wa ngumu za kulipwa nchini. Shida kubwa inakuja pale panapokua na pambano zuri lakini muda unakua sio rafiki kabisa.
Tukiangalia ngumi za Marekani ambazo nyingi wanapigana Las Vegas huwa zinakua masaa ya alfajiri kwetu. Kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.