Leo nasema kwa mara ya mwisho Shida Kuu ndani ya Simba SC na yasipotatuliwa Wahusika Watapigwa Ngumi

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,647
109,036
Shida Kuu Simba Sports Club

1. Mwekezaji Mo na Uongo wake juu ya kuweka Tsh 20 Billion huku akifaidika zaidi na Timu kuliko Simba SC inavyofaidika nae

2. 90% ya Wajumbe wa Bodi ya Simba SC ni Wapigaji huku kila Mmoja akiwa na Mchezaji wake kwa ajili ya 10% na wasipoipata wanawalazimisha Wachomeshe ili Timu ifanye vibaya na Zigo la Lawama limwangukie Kocha Mkuu

3. Mwenyekiti wa Wanachama Mangungu kutoaminika na kutopewa Ushirkiano

4. Kocha Msaidizi Mgunda, Meneja wa Timu Rweymamu, Kocha mbovu wa Viungo na Mkuu wa Itifaki Makoye

5. Wachezaji Wazawa Wakonngwe na tabia yao ya Kuroga Wachezaji wa Kigeni

6. Usaliti kuanzia kwa Viongozi Waandamizi wa Simba SC hadi kwa Wachezaji Waandamizi wa Simba SC unaopelekea Timu Kuhujumiwa na kufanya vibaya.

7. Kuwatapeli na Kutowalipa Fedha zao Waganga wa Kienyeji wanaoipa Mafanikio Timu hasa katika Mechi Ngumu za Ndani na Nje Dhambi ambayo ilifanyika kwa Pesa za Rambirambi za aliyekuwa Mchezaji wetu tegemeo nafasi ya Kiungo Marehemu Patrick Mutesa Petit Tabu Mafisango ( Baba Crespo )

GENTAMYCINE namalizia kwa kuwaambia wana Simba SC mlioko hapa JamiiForums kuwa kama haya Mambo yangu Saba ( 7 ) tajwa hayatafanyiwa Kazi haraka na wana Simba SC wote Kuamka msitegemee Mafanikio yoyote yale.

Na Yanga SC iliyotulia sasa Administratively na Technically itaendelea Kutawala Soka la Tanzania ikifuatiwa na Azam FC ambao nawaona kwa Msimu ujao wanaenda kufanya vyema ndani na nje Kimashindano.

Kisha Kombe Kuu la Simba SC litakuwa ni kuimba Wimbo wetu wa Kipumbavu kuwa Yanga SC inabebwa na Marefa na TFF wakati wenye Akili Kubwa tunaona kuwa haibebwi isipokuwa imejipanga vyema na Imesajili Watu ( Majembe ) kweli na Kazi yao tunaiona Uwanjani.
 
Screenshot_20230526_004813_Chrome.jpg
 
huwa najiuliza kwanini mashabiki wa simba wasilalamikie uwekezaji kwa upande wa wawana cha ukamilike kuliko kila siku kumlalamikia Mo.
 
Shida Kuu Simba Sports Club

1. Mwekezaji Mo na Uongo wake juu ya kuweka Tsh 20 Billion huku akifaidika zaidi na Timu kuliko Simba SC inavyofaidika nae

2. 90% ya Wajumbe wa Bodi ya Simba SC ni Wapigaji huku kila Mmoja akiwa na Mchezaji wake kwa ajili ya 10% na wasipoipata wanawalazimisha Wachomeshe ili Timu ifanye vibaya na Zigo la Lawama limwangukie Kocha Mkuu

3. Mwenyekiti wa Wanachama Mangungu kutoaminika na kutopewa Ushirkiano

4. Kocha Msaidizi Mgunda, Meneja wa Timu Rweymamu, Kocha mbovu wa Viungo na Mkuu wa Itifaki Makoye

5. Wachezaji Wazawa Wakonngwe na tabia yao ya Kuroga Wachezaji wa Kigeni

6. Usaliti kuanzia kwa Viongozi Waandamizi wa Simba SC hadi kwa Wachezaji Waandamizi wa Simba SC unaopelekea Timu Kuhujumiwa na kufanya vibaya.

7. Kuwatapeli na Kutowalipa Fedha zao Waganga wa Kienyeji wanaoipa Mafanikio Timu hasa katika Mechi Ngumu za Ndani na Nje Dhambi ambayo ilifanyika kwa Pesa za Rambirambi za aliyekuwa Mchezaji wetu tegemeo nafasi ya Kiungo Marehemu Patrick Mutesa Petit Tabu Mafisango ( Baba Crespo )

GENTAMYCINE namalizia kwa kuwaambia wana Simba SC mlioko hapa JamiiForums kuwa kama haya Mambo yangu Saba ( 7 ) tajwa hayatafanyiwa Kazi haraka na wana Simba SC wote Kuamka msitegemee Mafanikio yoyote yale.

Na Yanga SC iliyotulia sasa Administratively na Technically itaendelea Kutawala Soka la Tanzania ikifuatiwa na Azam FC ambao nawaona kwa Msimu ujao wanaenda kufanya vyema ndani na nje Kimashindano.

Kisha Kombe Kuu la Simba SC litakuwa ni kuimba Wimbo wetu wa Kipumbavu kuwa Yanga SC inabebwa na Marefa na TFF wakati wenye Akili Kubwa tunaona kuwa haibebwi isipokuwa imejipanga vyema na Imesajili Watu ( Majembe ) kweli na Kazi yao tunaiona Uwanjani.
Kumekucha na makucha yake..!!
 
Timu kukosa UBINGWA ni kawaida hali ya ushindani tu!

Sio matatizo matatizo ni kitu cha kawaida hata team nyingi kubwa hukosa na kuwa kawaida kwanini KWA Simba iwe kama tatizo!!?

Alafu ni kama tunakosa uvumilivu mashabiki wa simba, sasa kama huyu jamaa iyo ni nini anaandika? Wote tunaumia hata wachezaji na viongozi sasa hivi tusubiri usajili kwanza tukiona mambo yameenda ndivyo sivyo ndio tutoke tuhoji!!

Hakuna shabiki aliyekomaa akapiga kelele misimu mi4 tumeongoza ligi nakuchukua vikombe, ivyo wachezaji wamechoka focus yetu sasa hivi ni kusajili wachezaji wazuri basi.... sasa hizi kelele zingine sijui za nini
 
Back
Top Bottom