ngono

  1. JamiiForums Tanzania Inadaiwa Maganga wa CWT aandaliwa kashfa ya ngono, chongolo ‘style’ kutumika

    Vita vya madaraka ndani ya Chama cha Walimu Tanzania (CWT) imezidi kushika kasi huku kiasi cha watu wanaodaiwa kuwa nyuma ya mkakati wa kuuondoa uongozi wa sasa madarakani, wakitumia mitandao ya kijamii kuwadhalilisha baadhi ya viongozi wa chama hicho. Katika kile kinachoelezwa kuwa sababu ya...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Ingekuwaje pesa ingepatikana kirahisi kama inavyopatikana Ngono

    leo nimewaza sana, nipo mbali na.nyumbani ,nimefuata biashara huku, nimeacha mji wangu, nipo mbali na watoto wangu, nipo katika nchi ambayo imejaa matukio ya kishamba(matumizi ya bundiki hapa wanaona ni kama ndio akil) Haya yote nafanya eti natafta pesa, nguvu ninazotumia , akili ninayotumia...
  3. JamiiForums Tanzania Wizara ya Afya imetangaza Shindano la kuandaa Jina na Nembo ya Mpango Jumuishi wa UKIMWI, Homa ya Ini na Magonjwa ya Ngono

  4. JamiiForums Tanzania Maudhui ya Mapenzi na Ngono Hakika yana Run Dunia ya Mitandaoni.

    Ama kwa hakika unaweza kusema Mungu wa kanisani na msikitini, na kwenye milima na majabali amekauka kwenye nafsi za binadamu. Kila post ya kingono ngono, maudhui ya mapenzi yanapata mileage mfano huko Twitter (X) , ni kufuru ni mwendo wa Angalia video kwenye comments. Popote pale Insta, hapa...
  5. JamiiForums Tanzania BASATA angalieni jinsi wasanii wanavyohamasisha ngono chafu

    Hizi ni scene zinazopatikana kwenye video ya wimbo wa Ameyatimba wa Whozu, akiwa amemshirikisha Mboso na Billnas. Imagine umekaa sebuleni na wanao au watu mnaoheshimiana mkasema ngoja tuwe wazalendo tuweke Wasafi TV, kisha ghafla mnakutana na hizi scene. Pia soma: 1. Whozu, Mbosso...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mary Chatanda awashauri wanawake kuwapa ngono waume zao ili wamkubali Rais Samia

    Mwenyekiti wa Umoja wa wanawake wa CCM (UWT), Mary Chatanda leo Oktoba 28, 2023 alipokuwa akihutubia mkutano wa hadhara eneo la Darajani Mjini Magharibi Unguja amesema Mumeo akija mpokee mwambie pole mzee na kazi, mwambie tunamtaka Samia na Mwinyi. Ukiona anakuwa mgumu msubiri saa 11 asubuhi...
  7. JamiiForums Tanzania Rushwa ya Ngono na Fedha zilitawala katika Idara za Uhamisho na Upangaji vituo vya kazi katika Halmashauri za Dodoma mwaka 2022

    Matukio ya Rushwa za Ngono na Fedha bado yanaendelea kuwa kikwazo cha upatikanaji wa Haki katika huduma ikiwemo kuwakosesha Watumishi wenye Sifa fursa za kupata Uhamisho wa Idara au Vituo vya Kazi kutokana na kukataa au kutoridhia masharti ya kutoa Rushwa. Ripoti ya Taasisi ya Kuzuia na...
  8. JamiiForums Tanzania Single Mothers ndio wanaongoza kwenye biashara ya ngono miji yote iliyochangamka Tanzania

    Pamoja na kwamba biashara ya ngono imekuwepo tangu enzi na enzi, katika nyakati za miaka ya hivi Karibuni kumekuwa na ongezeko la wanawake kuzaa nje ya ndoa bila kuwa na msingi wowote kimaisha, na wengine baadhi wameachika kwenye ndoa, wengine ni ndoa za vichaka yaani michepuko. Shuhuda yangu...
  9. JamiiForums Tanzania Ukurasa wa X wa timu ya Simba kuruhusu matangazo ya ngono katika comments

    Ni aibu timu kubwa kama Simba kuruhusu account zenye maadili mabovu ya picha za utupu na ngono katika comments. Simba ni timu inayoheshimiwa ndani na nje ya Nchi. Kuna watu wenye hadhi zao ni washabiki wa simba kama viongozi wa serikali, viongozi wa dini, wanafunzi wa chuo, shule nk. Inakuwaje...
  10. JamiiForums Tanzania Mratibu wa Miss Rwanda afungwa jela miaka 5 kwa kuwaomba Rushwa ya Ngono washiriki

    Hatua hiyo inakuja ikiwa ni miezi 10 imepita tangu Dieudonne Ishimwe, mwanamuziki wa zamani maarufu kama Prince Kid, afutiwe mashtaka ya ubakaji na kuwaomba Rushwa ya Ngono Washiriki wa Shindano hilo. Disemba 2023, Hakimu alitoa hukumu ya awali dhidi ya Ishimwe inayoonesha hakuwa na hatia...
  11. M

    JamiiForums Tanzania TCRA watakagua simu za Watanzania wote kuwajua wanaotumia VPN?

    Nimeona katazo la Tcra kuzuia matumizi ya Vpn nakusema kuwa kuna faini ya mil 5. Sasa kwa sababu karibu kila Mtanzania mwenye smart foni amedownload VPN na anaitumia kuangalia mambo yake binafsi ya kifaragha . Je, TCRA itawag'amua vipi watu wakiwa na simu zao mkononi. Msaada wa kitalaamu
  12. JamiiForums Tanzania Tatizo la Ndoa SI kukosekana Kwa Upendo Bali kukosekana Urafiki baina ya wanandoa.

    Baada ya Salam. Hebu Leo tuangalie nafasi ya Urafiki katika ndoa maana wengi hujikuta tunaoa au kuolewa Kwa sababu tofauti. -Kuna wanaolewa/kuoa sababu ya Mali au umaarufu -Kuolewa-kuoa baada ya mistake ya mimba -Kuolewa-kuoa sababu ya umri kuwa mkubwa au umri wa kuolewa kufika -Kuolewa-kuoa...
  13. JamiiForums Tanzania Kisa cha binti wa field na host supervisor wake

    Moja kati ya mambo yamezungumzwa sana ni pamoja na rushwa ya ngono katika taasisi za elimu - yaani wanafunzi wa taasisi za elimu ya juu kuombwa au kutoa "utamu" kwa wakufunzi ili wapate alama nzuri na kisha wafaulu mitihani yao. Hili limezungumzwa sana na hadi uchunguzi wa kina umefanyika katika...
  14. O

    JamiiForums Tanzania Rushwa ya ngono ilivyotamalaki Stendi ya Magufuli

    Dar es Salaam. Imeelezwa rushwa ya ngono katika mchakato wa upatikanaji kazi kwa wafanyakazi wa usafirishaji (mabasi) na kwa abiria waliokosa fedha za kujikimu katika kituo cha mabasi cha Magufuli ni miongoni mwa jinamizi linalotafuna katika stendi hiyo iliyopo Mbezi, jijini Dar es Salaam...
  15. JamiiForums Tanzania Kujamiana siyo jambo baya endapo utazingatia haya

    Ndugu zangu nataka niwatoe wasiwasi kuwa kujamiana sio jambo baya na msiogope kujamiana nawaomba mzingatie yafuatayo: Usijamiane na mme au mke wa mtu Usijamiane na watoto Usimlazimishe mtu kujamiana nawe bila ridhaa yake Zingatika kinga na hakikisha unazuia maambukizi ya magonjwa ya zinaa...
  16. JamiiForums Tanzania Biashara ya ngono ndiyo biashara inayofanywa na Wanawake wengi zaidi

    TAKWIMU: Biashara ya NGONO ndio Biashara inayofanywa na WANAWAKE wengi zaidi. Ndio ukweli, Nimekuwa mtu wa kwenda katika maeneo ya starehe hasa katika mji wa DSM. Katika Bar/Night Club hizo WANAWAKE ndio wengi 1> Wahudumu 2>Wanywaji Hao wote wengi wao ni wafanyabiashara. Sasa piga mahesabu...
  17. JamiiForums Tanzania Kufanya ngono na mtu au wakati usio sahihi kumeharibu maisha ya watu wengi hasa vijana. Tumia njia hii kujinasua

    Nyumbani it's first time kaja dada wa kazi kutoka Mbeya, Hana maajabu ila akili za wanaume si mnazijua. Nikaanza kumtamani. Nikaanza kumlia timing, nikawaza wife akienda kwenye kitchen party au send-off usiku nimkule. Yesu tusaidie wanaume. Unajua unaweza kuharibu familia kwa tendo la dk 3...
  18. JamiiForums Tanzania Msanii Ruby amlipua Majizzo: Rushwa ya Ngono na mambo faragha

    Msanii Ruby ambae siku ya Leo ameenda live Instagram ameonesha kuchukizwa na kutoa ya moyoni dhidi ya Boss wa EFM na ETV anayefahamika kama Fransic Siza a.k.a Majizzo au Majay. Msanii huyo wa kizazi kipya ametoa kauli ya kutakwa kimapenzi na Boss huyo ambae kwa sasa ameoa mke "Elizabeth...
  19. JamiiForums Tanzania Kupata ngono mikoani ni gharama kuliko Dar

    Kama mwanaume utahitaji show utoe hamu zako na hauna bajeti nzuri gharama ya chini kabisa ni Tsh 30000-50000 kwa raundi 3. Jijini Dar gharama ya kupata ngono haizidi 15000 kwa raundi 3
  20. JamiiForums Tanzania Kuna wakati mwingine sisi wanaume huwa tunahitaji ngono ya kimalaya 'rough sex' kwa wake zetu

    Yani unataka upate kitu cha tofauti toka kwa Mke wako. Ile fujo ya kingono isiyo na aibu. Unamletea na ka beer/ wine ili atoe aibu expecting that in bed she is gona give it all, jamani ile mnafika kwa bed unamshika..anajinyongolota as always, Mvivu, mzembe na ma excuses kibao. The rough sex...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…