Kinachoifanya ngono ionekane dili ni mavazi, lakini ukweli ngono yenyewe siyo ishu kiviiile

dmkali

JF-Expert Member
Nov 17, 2014
11,284
21,403
Kuna Wakati mtu anakomaa kwelikweli kusaka ngono

Wakati mwingine katika kusaka ngono watu hutumia pesa mingi, mda mwingi au madaraka ili kutimiza tu haja hii

Lakini Ukweli ni kwamba ngono siyo ishu ngumu kupatikana namna hiyo, ngono siyo dili kiivo kiasi Cha kuzungushana na kunyanyasana na kuburusana, kiufupi ngono Ni Kama kivuli tu ambacho hatupaswi kubaniana kujibanza Wakati wa mvua na jua!

Aliye ifanya ngono ionekane ni dili ni yule aliyengundua mavazi. Saikolojia inatuambia kilichofichwa huhitajika zaidi kuliko kilichozagaa.

Asili ya ngono ni Kama kiu ya maji! Huhitaji kuzungushwa ili kupatiwa. Ndiyo maana baadhi ya makabila mgeni rafiki wa kiume akikutembelea kwako, Kama huna wake wengi, sharti umkabidhi mkeo amkarimu mgeni kitandani!

Penzi siyo jamboo kuubwa la kumfanya mtu awaze atalipata wapi. Inatakiwa mtu nyege zikikolea, apatiwe chapu apige gemu nakusepa!

Kiufupi ngono haipaswi kabisa kuwa Jambo la kuumiza kichwa. Ukitaka kuielewa mada hii waulize Malaya ambavyo ngono isivyowashtua mshipa wala kuitetemekea! hii inaashilia dhahili maisha tumeyafanya magumu wenyewe lakini Ukweli ni kwamba hatupaswi hata kuwaza juzi tulifanya ngono na Nani!

..IT IS JUST A MATTER OF HIT& RUN....
 
Dmkali nikusanue..
Ngono inaweza isiwe dili kwa wapenzi au wanandoa kutokana nasababu kadha kadha lakini ukweli Ni kuwa ngono Ni tamu kuliko utamu wa madaraka na utajiri.

Duniani hakuna ngono/mapenzi matamu Kama kufanya na mtu unayempenda kwa dhati ya nafsi na kwa akili zako zote.
 
Kuna kijana alikamatwa akila mbuzi bandani. Itakuwa aliwaza hit and run.
 
Mkuu hata sofa ni zuri kwa nje ule muonekano, ila kwa ndani hakuna jipya, 😂😂😂..
 
Series ya Brave New World, unachoongelea kipo kwa hii series..
Kiuhalisia na kawaida ni ngum sana
 
Sijaelewa. Hit & Run siifurahii kama ninavyofurahia na wife. Huwa naona kama napiga selfie. Na hapo wife nimemzoea na mavazi yake hayohayo. Anyway, kila mtu na mtizamo wake
wanaume tumeumbiwa matamanio! ukiona kipya unapita nacho hivi...unasepa
 
Series ya Brave New World, unachoongelea kipo kwa hii series..
Kiuhalisia na kawaida ni ngum sana
all about fact! Nikutongoze, unizungushe, na pesa nikulipe halafu na masharti unipangie namna ya kudumu na wewe! huu unyampara wa Hali ya juu!
na kileleni nikufikishe ...mngekuwa mnatoa penzi kirahisi maisha yawe mepesi
 
Kuna Wakati mtu anakomaa kwelikweli kusaka ngono

Wakati mwingine katika kusaka ngono watu hutumia pesa mingi, mda mwingi au madaraka ili kutimiza tu haja hii

Lakini Ukweli ni kwamba ngono siyo ishu ngumu kupatikana namna hiyo, ngono siyo dili kiivo kiasi Cha kuzungushana na kunyanyasana na kuburusana, kiufupi ngono Ni Kama kivuli tu ambacho hatupaswi kubaniana kujibanza Wakati wa mvua na jua!

Aliye ifanya ngono ionekane ni dili ni yule aliyengundua mavazi. Saikolojia inatuambia kilichofichwa huhitajika zaidi kuliko kilichozagaa.

Asili ya ngono ni Kama kiu ya maji! Huhitaji kuzungushwa ili kupatiwa. Ndiyo maana baadhi ya makabila mgeni rafiki wa kiume akikutembelea kwako, Kama huna wake wengi, sharti umkabidhi mkeo amkarimu mgeni kitandani!

Penzi siyo jamboo kuubwa la kumfanya mtu awaze atalipata wapi. Inatakiwa mtu nyege zikikolea, apatiwe chapu apige gemu nakusepa!

Kiufupi ngono haipaswi kabisa kuwa Jambo la kuumiza kichwa. Ukitaka kuielewa mada hii waulize Malaya ambavyo ngono isivyowashtua mshipa wala kuitetemekea! hii inaashilia dhahili maisha tumeyafanya magumu wenyewe lakini Ukweli ni kwamba hatupaswi hata kuwaza juzi tulifanya ngono na Nani!

..IT IS JUST A MATTER OF HIT& RUN....
Sure kuna mda unaweza kuwa na demu ukampiga miti hisia zikakata ukamwambia vaa nguo unitege
 
Back
Top Bottom