ng'ombe

Ng'ombe
Ng'ombe ni wanyama wakubwa wanaokula nyasi. Ni wanyama wanaofugwa kwa wingi sana kwa ajili ya nyama, maziwa, ngozi au pia kwa kuvuta plau au gari la kukokotwa.

Kwa asili kuna aina mbili za ng'ombe-kaya: ng'ombe wa Ulaya na ng'ombe wa Uhindi ambazo ni nususpishi za B. primigenius (B. p. taurus na B. p. indicus mtawalia, ingawa mara nyingi nususpishi hizo zinaainishwa kama spishi za B. taurus na B. indicus). Zinatoka kwa nususpishi za zamani B. p. primigenius na B. p. namadicus.

Ng'ombe hula nyasi na hutembea kwa kwato. Ng'ombe waliofugwa na binadamu walitokana na ng'ombe-mwitu ili kujipatia nyama na maziwa. Katika nchi nyingi hutumiwa pia kama mnyama wa mizigo anayevuta plau au magari.
  1. U

    JamiiForums Tanzania Ng'ombe wakubwa aina hii sijawahi waona nchini Tanzania

    Wadau hamjamboni nyote? Ng'ombe wakubwa aina hiyo pichani sijawahi waona hapa nchini tanzania. Naona hao wanapatikana Sudan kwenye jamii ya Dinka. Wataalamu mifugo mtujuze kwanini hawapatikani Tanzania.
  2. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Serikali iliangalie hili la uuzwaji vyakula mtaani bila vibali maalum; kuna hatari kubwa mbeleni

    Nyama choma ya kuku na ng'ombe zimekuwa biashara iliyoshamiri hasa katika vituo mbalimbali vya daladala hasa jijini Dodoma na Dar es Salaam yaan mtu yeyote anaweka meza njiani na ndoo ndogo iliyojaa nyama anaanza kuuzia raia vitu kama mishikaki ya mia mbili, miguu ya kuku, vichwa vya kuku na...
  3. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Tuseme ukweli Nguruwe ni mbadala wa ng'ombe

    Nchi yetu imebarikiwa kuwa na mifugo mingi husasani nguruwe ila kutokana na wingi ng'ombe uonekana mboga kubwa kwa maitaji ya kila siku na wanyama wengine. Kuna nchi ambazo ng'ombe ni wachache ukilinganisha mbuzi, kuku, samaki na nguruwe. Tuje nchini China, Korea, Taiwan, Cambodia, Vietnam...
  4. Suley2019

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Mnyama anayefanana na ng'ombe aonekana ufukweni

    Dolphin had baby with a Cow Wakuu nimekutana nayo hii mtandaoni ni ya kweli? Je huyu ni mnyama gani
  5. comte

    JamiiForums Tanzania Ng'ombe ana maziwa ila hatoi maziwa

    Tuna kizazi cha hovyo sana kinacho dhani kuwa ukiwa na ng'ombe ni sawa sawa na kuwa na maziwa
  6. kipara kipya

    JamiiForums Tanzania Simba wameingia cha kike coastal union mangushi wana wali ng'ombe hawajawahi kushindwa kesi ya usajili!

    Simba wajipange kama wamefanya ujanja ujanja kutaka kutangaza mke kabla ya kumlipia mahari wala kutambulika rasmi,tangu dahali na dahali coastal union hawajawahi shindwa kesi wamuulize Aden Rage aliwahi kuifungia na kusema ameifuta kwenye kwenye vitabu vy FAT.kama wamejipanga waende watakako...
  7. USSR

    JamiiForums Tanzania Ufisadi: Tumechinja ng 'ombe zaidi ya 1500 asema Ridhiwani Kikwete

    Ukiacha ulechango wa harusi ambapo naibu waziri Ridhiwani alichangia million 30 leo ameposti kuwa wamechinja zaidi ya Ng'ombe 1500 kwa ajili ya idi. Chalinze hakuna maji, kumejaa umaskini hasa huko ndani ndani ,shule zipo hovyo zimejaa nyufa hakuna madarasa ila mbunge anajisifia kuchinja...
  8. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Nchi za Uarabuni wananunua mbolea ya ng'ombe. Tuchangamkie fursa

    India wanapiga sana pesa kwa ku export kinyesi cha ng'ombe. Jamaa hawa especially Kuwait wanahitaji kilimo kikue kwa kasi huko na ardhi yao sio rutuba so wanahitaji mbolea ya kinyesi cha ng'ombe kwa wingi mkubwa.
  9. Northern Lights

    JamiiForums Tanzania Kituo cha maziwa Kiluvya (ufugaji wa ng'ombe)

    Hello farmers, Nimesikia pale Kiluvya kuna kituo cha maziwa, ningependa anayepafahamu ashee ni maeneo gani na mmiliki ni nani. Nataka kuanza kufuga kwa ajili ya maziwa kwa hiyo nataman kujifunza zaidi. Yeyote pia anayefuga kibiashara naomba kujifunza shambani kwako. Shukrani
  10. R

    JamiiForums Tanzania Msaada: Ng'ombe kuacha kutoa maziwa ghafla inatokana na nini? Nifanye nini arudi katika hali ya kawaida?

    Madaktari wa Mifugo: Ng'ombe amekata maziwa ghafla to zero level All of a sudden amekata maziwa. Mchungaji anasema uchangamfu aliokuwa nao umepungua. Inaweza kusababishwa na nini? And what is the remedy? Wakati alikuwa natoa lita 6 asubuhi na 5 jioni.
  11. NALIA NGWENA

    JamiiForums Tanzania Wachambuzi wameisahau Kengold kuwa imepanda ligi kuu, wanaisifu Pamba muda wote kwa kua wamepewa supu ya Ng'ombe na mboga ya kupeleka nyumbani

    Hili ndiyo taifa lenye wachambuzi wa ajabu kabisa katika tasnia ya mpira wa miguu, wachambuzi wengi walijifungia Mwanza toka waliposikia kuwa timu itachinja ng'ombe 25, wamesahau kabisa kuwa kengold kutoka Mbeya nayo imepanda ligi kuu na ndiyo timu iliyoongoza kwa point 70 na kufuatiwa na pamba...
  12. U

    JamiiForums Tanzania Je, supu ya ngozi ya ng'ombe inayouzwa maeneo ya Mbagala ina usalama kiafya?

    Je supu ya ngozi ya ng'ombe inayouzwa maeneo ya mbagala inausalama kiafya Wadau hamjamboni nyote? Kichwa cha habari chahusika Supu ya ngozi imayochanganywa na mapupu & bandama ambayo hupelekea rangi yake kuwa nyeusi ni maarufu maeneo tajwa Wadau je kiafya kuna Usalama? Karibuni tujadili
  13. ward41

    JamiiForums Tanzania Wa Israel wanakaribia kumchinja ng'ombe mwekundu. Ni ishara mbaya

    Kabla ya Ujenzi wa hekalu La Suleiman, Mambo yafatayo yanatangulia kwanza 1) Kutoa sadaka ya ng'ombe mwekundu. 2) Hii sadaka ni kwa ajili ya kutakasa eneo la Ujenzi wa hekalu. 3) Tayari wa Israel wanakaribia kumchinja huyu ng'ombe 4) Kunyakuliwa kwa kanisa 5) Ubomowaji wa msikiti wa alqsa...
  14. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Mnakumbuka jeuri ya pesa ya Qatar kupandisha ndege ng'ombe wa maziwa 4000 sababu Saudia ilizuia kupitisha maziwa

    Watu na pesa zao, yaani wana kitu kimoja kinacho wapa pesa lakini kimewapa zaidi ya vitu vingi duniani. Miaka ya nyuma Saudi Arabia alimuwekea vikwazo Qatar ila mwisho wa siku kapandisha ndege ng'ombe! Mwenye kisa hiki tuelezeni.
  15. ALAGWA SAFI

    JamiiForums Tanzania Nataka nianze kufuga ng'ombe wa kienyeji. Naomba ushauri

    Mambo vipi wadau nataka kufuga ng'ombe wa kienyeji vijijini bajeti yangu milion 5. Nataka ninunue ndama 1@150000tsh niwakuze kwa miaka 3 then niwauze je? Ni changamoto gani nitakumbana nazo nijiadhari mapema. Location yangu ni Dodoma
  16. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Video: Rais Samia apewa zawadi ya ng'ombe na madereva bodaboda

    Bodaboda mkoani Mwanza wamemzawadia Rais Samia Suluhu ng’ombe ikiwa ni shukurani zao kwa juhudi kubwa anazofanya. 📹 SwahiliTimes
  17. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Waziri anayetumia V8 kuchungia ng'ombe ni nani?

    Yapo mambo yaliyoibuliwa kwenye haya Maandamano tunayoendelea nayo yanasisimua sana . Imeibuka Taarifa kwamba yuko Waziri mwenye ng'ombe wengi sana , ambaye anatumia V8 kuchungia mifugo hiyo , yaani iko hivi , wachunga ng'ombe walioajiriwa na Mh huyo wamepewa V8 Kufuatilia ng'ombe hao huko...
  18. Kinumbo

    JamiiForums Tanzania Pata maziwa ya ng'ombe halisi kabisa

    Wakuu natumai mko njema kabisa. Kwa wakazi wa Dar es salaam nawasogezea huduma hii adhimu kabisa. Natoa huduma ya kuuza maziwa ya ng'ombe halisi kabisa, ni maziwa ya ng'ombe OG. Namanisha kuwa ni maziwa halisi yasio kuwa ata na tone la maji, ni maziwa ambayo ng'ombe anakamuliwa kisha unaletewa...
  19. Papaa Mobimba

    JamiiForums Tanzania Kufa kufaana; Wanakijiji wagawana nyama baada ya ng'ombe 16 kupigwa radi

    Wananchi wa Kalebezo kata ya Nyarubungo Wilaya ya Biharamulo, wakigawana kitoweo baada ya maafa ya radi kuua ng'ombe 16, mali ya Richard Daudi. Ajali hiyo ilitokea Januari 13 mwaka.
  20. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Iweje ng'ombe auzwe kwa bei inayozidi ya gari la kifahari?

    Ukiwa na bilioni tatu, utanunua gari lipi la kifahari? V8? Range Rover? Mercedes Benz S Class? Nimeyataja hayo magari kwa kuwa ninayapenda. Na kama wewe ni mpenzi wa magari tajwa kama mimi, unaweza kuyapata yote ukiwa na bilioni tatu, na bado ukabakiwa na chenchi. Kama kwa hela hiyo unaweza...
Back
Top Bottom