Ng'ombe hula nyasi na hutembea kwa kwato. Ng'ombe waliofugwa na binadamu walitokana na ng'ombe-mwitu ili kujipatia nyama na maziwa. Katika nchi nyingi hutumiwa pia kama mnyama wa mizigo anayevuta plau au magari.
Habari wafugaji, Leo tutajifunza juu ya kumjua ng'ombe wako Kama yupo kwenye joto (estrus),
dalili za joto kwa ng’ombe:
1. Kukubali kupandwa (standing heat):
- Dalili kuu! Ng’ombe husimama kimya anapopandwa na wenzake au dume.
2. Kutoka ute mwepesi (clear mucus) sehemu za siri
- Mara...
Habari wafugaji Leo napenda kuwaletea somo juu ya aina ya mbegu za ng'ombe wa maziwa.karibi sana uwe kujifunza
✅AINA ZA MBEGU ZA NG'OMBE WA MAZIWA;
---
Breed za Ng’ombe wa Maziwa (Dairy Breeds)
1. Friesian (Holstein-Friesian)
- Maziwa mengi sana, rangi nyeusi na nyeupe
- Uwezo wa...
CCM huwa wanabeba watu kutoka sehemu mbalimbali nchini ili kujaza Uwanja hasa anapokuwepo Kiongozi wa Kitaifa kama Rais. Na kweli uwanja unajaa na Mgeni anafurahi.
Japo ni hatari na hairuhusiwi kisheria. Wala Polisi hawana cha kufanya.
Ila hawa Watanzania kuitwa ng'ombe napingana nalo. Nadhani...
Friessian cow
Bei Tsh 2,8m
Ni bonge la ng'ombe akitoka kuzaa ana litres 20+
Anayo mimba ina miezi mitatu
Kwa sasa ana litres 12 kwa siku
Amezaa mara 2 hii mimba ya 3
Location: Kivule , Dar es Salaam .
Simu: 0699208889
Whatsapp: 0743542046
Mtu mmoja ameeefariki dunia kwenye ajali iliyohusisha gari aina ya BMW na Bus la abiria la ABC,ajali hiyo iliyotokea barabara ya Dodoma-Morogoro eneo la Makalavati kwa mujibu wa mashuhuda wanasema dereva wa gari ndogo alikuwa anamkwepa Ng'ombe na kupelekea kwenda kugongana na Bus la abiria la...
Ndugu zangu hili liwafikie maafisa mifugo kote nchini Yale masindano wanayotumia kuwachoma ng'ombe ni hatari sana kwa afya ya binadamu nimeshuhudia ng'ombe wanachomwa sindano mnadani saa chache kabla ya kwenda kuchinjwa !
Na pia zinachomwa shindano zinapokaribia kusafirishwa na mlaji anaipata...
Sisi Wananchi tunaoishi hapa Mbagala Sabasaba tunapata changamoto ya mazingira kuchafuliwa na kuwa hatari kwa afya kutoka katika Machinjio ya Ng’ombe ambayo yapo kwenye makazi ya Watu.
Maji machafu ambayo yanatoka kwenye machinjio hayo tanatiririka kwenye makazi yetu na hakuna jitihada...
FUNGUKA!
Huenda safari zako nyingi ni za usiku.
1. Je, uliwahi kukutana na Trekta, Guta, au mikokoteni ya ng'ombe na punda ambayo inahatarisha usalama wa barabarani?
2. Taja wilaya/mkoa, au eneo lolote lenye changamoto ya wingi wa matrekta, guta, au mikokoteni ya ng'ombe na punda ambayo...
Unamfahamu Ayrshire? Huyu ni ng’ombe wa maziwa mwenye mchanganyiko wa tija kubwa, maziwa bora, na uvumilivu wa hali ya hewa ya Tanzania!
Sifa Kuu za Ayrshire:
Hutoa lita 20–30 za maziwa kwa siku 🥛
Maziwa yake yana kiwango kizuri cha mafuta (karibu 4%) – bora kwa matumizi ya nyumbani au...
Mwanaume, unaponunua ngo'mbe kamwe usinunue kwenye eneo au kijiji ulichopo.
Kwanini?! Kwa sababu kuna siku ng'ombe ataenda mtoni kwa lengo la kunywa maji.
Kisia nani atakuwa eneo hilo?! Ni mmiliki wake wa mwanzoni. Unajua atakachokifanya huyo mmiliki wake wa zamani?!
Atakachofanya ni kumpigia...
Leo katika group letu la mafunzo tunaendelea na somo letu, ambapo tutachambua aina bora zaidi za ng'ombe wa maziwa moja baada ya nyingine. Tutazungumzia sifa zao, changamoto wanazokumbana nazo, na mambo muhimu unayopaswa kufahamu kabla ya kuwafuga.
Kumbuka hapa tunazungumzia ng'ombe wenye uwezo...
Leo katika group letu la mafunzo tunaendelea na somo letu, ambapo tutachambua aina bora zaidi za ng'ombe wa maziwa moja baada ya nyingine. Tutazungumzia sifa zao, changamoto wanazokumbana nazo, na mambo muhimu unayopaswa kufahamu kabla ya kuwafuga.
Kumbuka hapa tunazungumzia ng'ombe wenye uwezo...
Ni ng'ombe jike katika familia fulani...huyu ng'ombe alikuwa anakamuliwa maziwa na kuleta riziki kwenye hiyo familia.
Mtoto wa kwanza mpaka wa mwisho kwenye hiyo familia alikuzwa na maziwa ya huyo ng'ombe pia vitu mbalimbali vilipatikana kwa faida ya maziwa yaliyokuwa yanauzwa.
Miaka ikapita...
Katika Darasa letu, mwendelezo wa mafunzo yetu kuhusu ufugaji wa ng’ombe wa maziwa kibiashara. Katika somo letu lililopita, tulizungumzia kuwa ng’ombe bora wa maziwa anaweza kutoa 🥛 lita 15 hadi 25 za maziwa kwa siku, huku mfugaji akipata kati ya Tsh 600,000 - 900,000 kwa mwezi! 💸
🤔 Lakini je...
Katika Uzi ulioisha tulielezea jinsi ambavyo Ufugaji wa ng’ombe wa maziwa ulivyo moja ya fursa zenye faida kubwa endapo utaufanya kwa mbinu sahihi. Moja kati ya swali kuu nililopata watu walitamani sana kufahamu changamoto ambazo unaweza kukutana nazo.
Lakini kama ilivyo kwenye sekta yoyote ya...
Mzee Sharif Kwezi kutoka Mwanza ni mmoja wa wafugaji wa ng'ombe wa maziwa walionufaika na mafunzo bora kutoka kwetu. Kwa sasa, anafuga ng'ombe 10 na hukamua mara 3 kwa siku, akipata takribani lita 214 za maziwa. Kwa bei ya 1,500 TZS kwa lita, anaingiza 321,000 TZS kila siku—zaidi ya milioni 9...
Nimeona huko mkoani Arusha mkuu wa mkoa huo kachicha ng'ombe 400 watu wale nyama bure bila malipo yoyote.
Hapa nimejiuliza hivi ng'ombe 400 watakua na thamani ya bei gani na kwa nini kafanya hivyo ana lengo gani!hata kama katumia hela yake?
Binafsi ningekuwepo nisingekula
Ukiwa na jamii ambayo inaweza ikala ng'ombe 400 kwa siku moja ni tafsiri ya utajiri.
Ng'ombe 400 ni tafsiri ya kukamilika kwa miradi ya maji, umeme, elimu na afya. Ni tafsiri kwamba Tanzania hatuna sababu ya kuomba misaada nje maana tuna surplus
Swali gumu ambalo tunapaswa kujiuliza ...
Huenda Heading isilete maana ya moja kwa kwa moja lakini kwenye maelezo nitaeleza kwa kirefu sana.Japo ni ndefu ila nitafupiza sana mimi sijui kuandika ....".inaendelea"
Hii ni familia kubwa ya kisukuma ambayo baba yao mzazi alifariki miaka zaidi ya 30 iliyopita.Hivyo kwa utamaduni wa...
Wananchi wa Wilaya ya Handeni mkoani Tanga wa kutoka dini mbalimbali, mapema hii leo wamefanya Dua ya kumuombea Rais Samia Suluhu Hassan pamoja na kuliombea Taifa.
Akitoa salamu za Mkoa wa Tanga wakati wa mkutano wa hadhara kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Mkata leo Februari 23, 2025, mkuu wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.