ng'ombe

Ng'ombe
Ng'ombe ni wanyama wakubwa wanaokula nyasi. Ni wanyama wanaofugwa kwa wingi sana kwa ajili ya nyama, maziwa, ngozi au pia kwa kuvuta plau au gari la kukokotwa.

Kwa asili kuna aina mbili za ng'ombe-kaya: ng'ombe wa Ulaya na ng'ombe wa Uhindi ambazo ni nususpishi za B. primigenius (B. p. taurus na B. p. indicus mtawalia, ingawa mara nyingi nususpishi hizo zinaainishwa kama spishi za B. taurus na B. indicus). Zinatoka kwa nususpishi za zamani B. p. primigenius na B. p. namadicus.

Ng'ombe hula nyasi na hutembea kwa kwato. Ng'ombe waliofugwa na binadamu walitokana na ng'ombe-mwitu ili kujipatia nyama na maziwa. Katika nchi nyingi hutumiwa pia kama mnyama wa mizigo anayevuta plau au magari.
  1. Mzee Mwanakijiji

    JamiiForums Tanzania Zizini TV: Kwenye zizi la ng'ombe, Chui ndiye Mhubiri mkubwa wa "Amani na Utulivu"?

    Na. M. M. Mwanakijiji Sijui ni 'genius' gani huyo ambaye ameanzisha hili la kuwa "tunataka amani kwanza". Kwa wiki hasa baada ya Oktoba 29 kumekuwa na jitihada kubwa ya kujaribu kugeuza mambo kinyumenyume. Sasa tunaambiwa "amani kwanza" ndio mambo ya "haki" yaje baadaye. Hili sijui limeanzaje...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Upandishaji wa ng'ombe na nguruwe kwa njia ya mrija

    🌟 WAKATI NI SASA! 🌟 Upandishaji kwa Chupa (AI) kwa Ng’ombe na Nguruwe – Teknolojia ya Kisasa kwa Mafanikio ya Mifugo Yako! 🐄🐖 Unataka Ng’ombe au Nguruwe Wenye Maziwa Mengi, Uzito Mkubwa, na Uwezo Bora wa Kuzaa? Tunakuletea huduma ya kitaalamu ya AI (Artificial Insemination) kwa kutumia mbegu...
  3. excel

    JamiiForums Tanzania Rais Wa JMT hajui kama wananchi wanasafirishwa kama ng'ombe. mfikishieni Taarifa

    Inaumiza sana kuona sasa magari ya kusafirishia ng'ombe kwenda machinjioni kwa sasa ndio usafiri mkuu wa wananchi kwenda kwenye mikutano ya CCM (ila vyama vingine havithubutu kufanya hivi) Mh. Rais SSH hana hizi taarifa Huu usafiri sio salama
  4. Buyaka

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri aliyehonga wananchi nyama ya ng'ombe 500 alipigwa chini na kachero la uchafuzi

    Hajafanya lolote jimboni. Siku alipoibuka kaja na ng'ombe 500. Achinje wamchague. Ng'ombe mmoja kumnunua na kumsafirisha na kumchinja na kumpika na vinywaji na kuandaa tukio kadirio la chini laki 8. Laki nane X 500 = 400 milioni Umepata wapi hela hiyo ya kuchoma siku moja, akajibu...
  5. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wao wamepeleka baiskeli, sisi ADC tunapeleka Ng'ombe ili tutoke ngoma droo

    Mwenyekiti wa Chama cha Alliance for Democratic Change (ADC), Shaban Itutu, amehoji uwiano wa mamlaka kati ya Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa na Tume Huru ya Uchaguzi, akisema kuna mgongano unaoweza kuathiri haki na uwazi wa uchaguzi. Akizungumza Jumatatu, Agosti 18, 2025, katika Mafunzo...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Faida za kumkausha ng'ombe

    🟩 FAIDA ZA KUMKAUSHA NG’OMBE NA MUDA SAHIHI WA KUMKAUSHA 🐄 --- ✅ MUDA SAHIHI WA KUMKAUSHA Ng’ombe hukaushwa wiki 8 (siku 60) kabla ya kuzaa. Huu ni muda unaotosha kumpumzisha na kujiandaa kwa kizazi kijacho na uzalishaji mpya wa maziwa. --- 🌟 FAIDA ZA KUMKAUSHA NG’OMBE: 1. Huongeza...
  7. ufalmedigital

    JamiiForums Tanzania kuku anayeuzwa Tsh 700,000 bei kubwa kuliko ng'ombe

    kuku anayeuzwa bei zaidi ya ng'ombe angalia kuku anayeuzwa bei kubwa
  8. ufalmedigital

    JamiiForums Tanzania Kuku anayeuzwa Tsh 700,000 bei kubwa kuliko ng'ombe

    https://www.youtube.com/watch?v=GmJyilSz9i0&t=71s kuku anayeuzwa bei zaidi ya ng'ombe
  9. The ice breaker

    JamiiForums Tanzania Ngozi za ng'ombe zinahitajika

    Habari Nahitaji ngozi za ng'ombe , hata kama una mzigo wa tani laki moja , nachukua Nipigie 0616274277
  10. cacutee

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wananchi wa Bumbuli wachinja ng'ombe kusherehea January Makamba kukatwa

    Mwazahumua wedi wagosi wa JF wabwanga na watate? Mwahumuaze wandee wose na va mame? Na wale wengine bila Shaka mtakuwa wazima. ✍️ ooh tatenaneee wabwanga tushikamane Jimbo la BUMBULI wananchi wamefurahi January Makamba kukatwa mpaka wameamua kuchinja. Tutaona mengi huu mwaka Ndio kwanza...
  11. Huihui2

    JamiiForums Tanzania Je Chung Ju Yung, mwanzilishi wa Hyundai aliyeuza ng'ombe mmoja wa baba yake ili kupata nauli ya kuhama Korea Kaskazini

    Chung Ju Yung: Mwanzilishi wa Hyundai na Mfano wa Mafanikio Je Chung Ju Yung (1915–2001) alikuwa mfanyabiashara wa Korea Kusini ambaye alibadilisha historia ya uchumi wa taifa hilo kupitia uanzishaji wa Hyundai Group. Anaenziwa kama moja ya nguzo muhimu za “Miracle on the Han River”—kuinuka kwa...
  12. Chibike

    JamiiForums Tanzania Tupeane connection kwenye biashara za mifugo kama ng'ombe na mbuzi

    Wadau hamjambo nyote Wafanya mishe za biashara za mifugo haswa mifugo kama mbuzi na ng'ombe tupeane fursa mbalimbali ziizoko kwenye biashara hio. Na je swali la ziada Yale maduka ya kuuza dawa za mifugo tu hua tunaziitaje? au ndio AGROVET... Na Kama Kuna thread zilishaanzishwa kwa kuelezea...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Muda sahihi wa kumpandisha ng'ombe

    --- 🐄📌 ELIMU KWA WAFUGAJI ⏱️ MUDA SAHIHI WA KUPANDISHA NG’OMBE --- 🔍 Kwa nini ni muhimu? Kupandisha kwa wakati sahihi huongeza nafasi ya kushika mimba na kuepuka kurudia mara kwa mara. --- ✅ NG’OMBE JIKE ANAPOTAYARI KUPANDWA: 1. Dalili za Joto: - Kutokwa na ute mweupe wa kunata -...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Faida za kukata pembe kwa ng'ombe (dehorning)

    Faida za Kukata Pembe kwa Ng’ombe (Dehorning):* --- 🐄📌 ELIMU KWA WAFUGAJI ✂️ Faida za Kukata Pembe kwa Ng’ombe (Dehorning) --- 🔍 Dehorning ni nini? Ni zoezi la kuondoa pembe za ndama au ng’ombe ili kuboresha afya, usalama na ustawi wa mifugo. --- 🗓️ Muda Sahihi wa Kukata Pembe: ➡️ Wiki...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa ndigana baridi (anaplasmosis) kwa ng'ombe

    --- 🐄📌 ELIMU KWA WAFUGAJI Ugonjwa wa Anaplasmosis (Ndigana Baridi) kwa Ng’ombe --- 🔍 Utangulizi: Anaplasmosis ni ugonjwa hatari unaosababishwa na vimelea vinavyoenezwa na kupe. Husababisha homa, upungufu wa damu, udhaifu na unaweza kusababisha vifo ikiwa haitatibiwa kwa wakati. --- 🦠...
  16. Stability

    JamiiForums Tanzania Naungana na Dr Hayaland, ulaji wa ugali ni mateso, no wonder wenzetu wanalishia nguruwe na ng'ombe

    Kwanza Mwili unakuwa hauweleki kabisa, watu wengi wameambulia kuwa vijeba kisa ya ugali au miili ilijitengeneza utafikiri scooby dooby doo. Ugali, haswa unapokobolewa, una index ya juu ya glycemic, kumaanisha kuwa inaweza kusababisha kuongezeka kwa kasi kwa viwango vya sukari kwenye damu...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa ndigana kali (east coast fever) kwa ng'ombe

    --- 📌 Elimu kwa Wafugaji – Ugonjwa wa Ndigana Kali (East Coast Fever – ECF) kwa Ng’ombe --- 🔬 ECF ni nini? Ni ugonjwa hatari unaowashambulia ng’ombe, husababishwa na kimelea aitwaye Theileria parva, anayeenezwa na kupe aina ya Brown Ear Tick (Rhipicephalus appendiculatus). --- 🚨 Dalili za...
  18. Yoda

    JamiiForums Tanzania Yanga tunaomba Wasabato mashabiki wachinjiwe ng'ombe, ngamia ni haramu kwa Wasabato.

    Yanga Ili kuwa na timu jumuishi ya mashabiki wote ni vyema mahitaji ya makundi yote ya washabiki ikiwemo Wasabato kuzingatiwa katika kipindi hichi cha kusherehekea ubingwa. Kutoa supu ya ngamia tu kunawanyima fursa mashabiki wasabato wasiokula ngamia kwani ni haramu kwao, ni vyema wao...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa ndorobo (trypanosomiasis) kwa ng'ombe

    Habari za Leo wafugaji nashukuru mungu kwa muda huu mzuri ambapo nitakwenda kutoa elimu juu ya ugonjwa wa ndorobo kwa ng'ombe; --- Ugonjwa wa (ndorobo) Trypanosomiasis kwa Ng'ombe --- Sababu: Ugonjwa huu husababishwa na vimelea vidogo vinavyoitwa Trypanosoma, vinavyoenezwa na mbu aina ya...
Back
Top Bottom